BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 03.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 3, 2019
 • Na Mariam Omar & Zawadi Machibya

Comments • 24

 • Asifiwe Makela
  Asifiwe Makela Month ago

  nawapata mubashàra BBC

 • Thobias Mosha
  Thobias Mosha Month ago

  Africa kusini nilikupenda sana. Lakini kwahili sijafurai

 • accr mangox
  accr mangox Month ago

  BBC Swahili mbona hamjatuhabarisha kuhusu jaribio lililofeli la juan guaido na mshirika wake marekani ?

 • Ngusa Robert
  Ngusa Robert Month ago

  Asante sana BBC kwa talifa nzuli

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  mwenyezi mungu akuripe kwakufungua msikiti

 • Vañ Geź
  Vañ Geź Month ago

  Asante BBC👏

 • Abdul Swamad
  Abdul Swamad Month ago

  Mtaacha kuabudu ngombe nyinyi wahindi vibunga vitazidi Allah awaangamize

  • A B
   A B Month ago

   Abdul Swamad Ndio wachache (minority) lakini India ndio nchi ya 3 duniani inayoongoza kwa Waislamu wingi baada ya Indonesia, Bangladesh. India ina Waislam wengi na wanyenyekevu, wanaopenda amani kuliko nchi za Kiarabu.
   Kimbunga kinatokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Usimuombee mwenzako mabaya hata kama anaabudu jiwe. Waarabu walikuwa na miungu wengi kabla ya kuja kwa dini ya Kiislam. Polepole kaka Abdul

 • Kim Rudiger
  Kim Rudiger Month ago +3

  Wasomali watatawala dunia kibiashara ivi karibun

  • Kim Rudiger
   Kim Rudiger Month ago

   @Heri Rajabu tulipofikia sasaivi ndugu wasomali wapo nchi zote duniani. Rabda tanzania tu ndo sio wengi

  • Heri Rajabu
   Heri Rajabu Month ago

   Etiopia not Somalia bro

 • shaka zulu nkulumanati

  Asanteni Mmno Bbc. nina waelewa Sana jamani endeleeni kutujuza.

 • anthony patrice
  anthony patrice Month ago +2

  asanteeeeeeeee kwa taarifa

 • A B
  A B Month ago +3

  Uhuru wa waandishi wa habari ni muhimu sana sema kuna waandishi wa habari wengine ni wahuni, wachonganishaji na mara nyingi ni wachochezi.
  Raia wa kigeni wamewafundisha biashara raia wa Afrika Kusini? Angalia historia ya raia wa Taiwani, wale Wareno waliofukuzwa Msumbiji, Wagiri ndio wenye biashara kubwa za restaurants na hata Wahindi waliokuwepo hapo zaidi ya karne moja. Mkaburu amejenga hiyo nchi. Haujasema jinsi Wasomali wanavyoichafua Mayfair, enzi hizo Mayfair ulikuwa kama mji huu wa London.
  Hakuna lolote wageni wameleta mapya, isipokuwa ni kama wamefuata nyayo na kuhamia na kukaa kwenye makao ambayo yaliyohamwa na wazungu. Ganda la muwa la jana, susumizi kaona tamu leo.
  Kaka Isaka kazungumza vizuri sana👏 👍Yule Mfalme wa Wazulu ni mbaguzi sana na hata hapendi makabila mengine, ndio maana wanacharuana na Malema.
  Nguvu sasa imehamia Limpopo, Malema na Ramaphosa ndio wanawika.
  Ushoga unaambukiza Ukimwi. BBC saa nyingine mezeeni na habari kama hivi, zinaleta kinyaa. Wacha tuitwe Homophobic.
  Na sisi tunawapa pole Wahindi maana tuliwaona wengi wametoa misaada kule Beira, Malawi na Gibambwee. Kimbunga iko kali sana, nakuja Afrika halafu nakwenda kula wewe Indiaa, Pole bana Patel.
  BBC👍

 • O Wanjera
  O Wanjera Month ago +2

  Habari kabambe sana!

 • Maher zain
  Maher zain Month ago +1

  Kwani hawa wa S.africa hawako kwa nchi zakigeni nawafanya kazi.je hii sikuchukua kazi kwa nchi zawatu mbna wao hawashambuliwi

 • Juma Edward
  Juma Edward Month ago +2

  Vimbunga vimekuwa kama vitishio maalumu duniani!

 • haji haroub
  haji haroub Month ago +2

  Asanten sana Kwa kutuhabarisha kwan hakika nawapata vyema nikiwa Zanzibar

 • Najeeb Bhalo
  Najeeb Bhalo Month ago +1

  Uhuru wa wana habari ni kiungo muhimu katika kustawisha nchi za kiafrika.

 • Eddi Malon
  Eddi Malon Month ago +1

  Si mbaya wanne leo.

 • jack china
  jack china Month ago +1

  Huo utafiti wenu kuhusu mambukizi uwe wa kweli na mlio isikia hiyo report muifanyie kazi

 • Humud Alhashmiy tV
  Humud Alhashmiy tV Month ago +2

  Uhuru wa waandishi habar nisuala muhim sanaa katika tasnia nzima ya habar .... duniani kote mheshimu waandishi wa habar... polen india

 • Karimu Bakari
  Karimu Bakari Month ago +1

  Safi BBC KB APA nawapata toka masasi sokosela