DIRA YA DUNIA JUMATANO 13/02/2019

Share
Embed
 • Published on Feb 13, 2019
 • Zuhura Yunus na Dayo Yusuf

Comments • 15

 • Daudipaulo Matanga
  Daudipaulo Matanga 7 months ago

  duu noma sana

 • Moussa Tiger
  Moussa Tiger 7 months ago

  I love BBC

 • Suleiman Hussein
  Suleiman Hussein 7 months ago

  asante zuhura kwa habari nzuri

 • Ally Singu
  Ally Singu 7 months ago

  Thanks for news

 • A B
  A B 7 months ago

  Jinsi BBC wanavyotoa habari, utajua tuu hivi ndivyo nchi za Ulaya wanavyoingilia na nia zao katika mambo ya ndani ya nchi za Afrika.
  BBC ipo hapa sio kwa ajili ya mapenzi ya Waafrika, tuseme ukweli. BBC ipo hapa kwa ajili ya kutetea sera za Wazungu, na kumwaga, kusambaza nakulinda propaganda za Magharibi.
  Hawa Africa Eye, mbona hawatuambii ukweli?.
  Wale waasi wa Libya, walikuwa ni wanajeshi wa Misri au ni waasi raia wa Libya?. Nani alitoa pesa na silaha kuijeuza Libya yetu mpaka ilivyofikia hivi ilivyo hivi leo?

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 7 months ago

  Tulejeshewe vitu vyetu n sisi tunaweza kuvitunza

 • Abdul Swamad
  Abdul Swamad 7 months ago +1

  Mbna hamuingii TheXvid live

 • Nyota My3
  Nyota My3 7 months ago +2

  Asanteni sana BBC swahili... Kwa habari

 • Wlkm Wlkm
  Wlkm Wlkm 7 months ago

  Safi sana BBC

 • Maimba Yunus
  Maimba Yunus 7 months ago

  Sasa zuhura mnaisema Sudani kwasababu ni masikini..?

  • ghaaa likii
   ghaaa likii 7 months ago

   nafikili kuwa kama kunafedha zinazokusanywa Kwa kutokana na makumbusho,ni vema fedha zigawiwe Kwa inchi husika,hofu yangu matunzo na ulinzi Wa hayo makumbusho hususa ni baadhi ya nchi za Africa.

 • S Q S
  S Q S 7 months ago

  Je habari kama hii sio uchochezi ?

 • nyanza john
  nyanza john 7 months ago

  Nawapenda Sana Sana tu

 • moseshamis Lions
  moseshamis Lions 7 months ago +1

  Mko vizuri sana

 • Thobias Chacha
  Thobias Chacha 7 months ago +1

  Mpo makini sana katika utoaji wa habari zisizoegemea upande wowote. Tungependa vyombo vingi vya habari, hasa vile vinavyojikomba kwa serikali dhalimu za kiafrika, viige mfano wenu. Nchi nyingi za kiafrika zimerejea kwenye ukoloni mamboleo kwa sababu ya udikteta wa viongozi kuminya uhuru wa habari na watu kujieleza.