BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 30.08.2019

Share
Embed
 • Published on Aug 30, 2019
 • Na Mariam Omar & Beryl Wambani

Comments • 68

 • george massebu
  george massebu Month ago

  Hizi mashine za maji hapa Mwanza ziko wapi? mbona mi sijaziona

 • buruhani omari
  buruhani omari Month ago

  Ndege imeachiwa amjasema nyinyi mpoje

 • Hadija Amada
  Hadija Amada Month ago

  Haki ya mtu huwa haipotei

 • Donarld Jerry
  Donarld Jerry Month ago

  Hummm? Mbona wakimbizi wa namna hiyo uingereza tena?

 • Amos Moses
  Amos Moses Month ago

  MAMILIONI YA WATANZANIA WAMEICHOKA CCM. SASA WANATAKA UHURU NA MAENDELEO YA KILA MWANANCHI. WIZI.UFISADI.MAUAJI.KUULIWA WATU OVYO. KUTEKWA WAPINZANI. KUTEKWA WAFANYABIASHARA.KUTEKWA WAANDISHI WA HABARI. KUTEKWA HADI WASANII..kisa eti unaikosoa serikali. Je sio haki YA raia kuikosoa serikali? Mbona hofu kubwa hadi munapiga watu risasi NA kuwauwa. Wengine kuchomwa moto.Wengine kunyongwa. Wengine kutupwa baharini. HIVI NYINYI AKINA MAGUFULI. MUSIBA. MAKONDA NA HENGE LENU MUNAZANI MUNGU HAWAONI? MUNAZANI MUNGU ATAWAACHA TU.... MUNATUMIA VITISHO NA VYOMBO VYA DOLA KWA NGUVU ZOTE..KUWANYIMA RAIA HAKI ZAO ZA KISHERIA.HAKI ZAO ZA KIKATIBA....MUNAUWA NA KUNYONGA. ..nyinyi ni mafisi TU. Leo hii kama utafanyika uchaguzi wa halalIi. NA kusimamiwa NA mataifa makubwa YA nje. .NAKUAMBIENI CCM WATAHAMIA MSITUNI KWA AIBU. INCHI HAINA AMANI. NI WIZI.HOFU.ZULMA TU INAYOENDELEA.
  1 second ago

  • Denny brown
   Denny brown Month ago

   @Abraham Kibona kweli kabisa nchi inaamani nakama anadhani ccm nimafisadi embu angalie facts google aone njinsi uchumi unavyo kuwa chini ya jpm wapinzani wamefungwa macho hawajui kwamba mataifa makubwa ndio mashetani hawajali afrika na kama wanataka nchi iuzwe basi wampe kura tundu lissu wataona.

  • Abraham Kibona
   Abraham Kibona Month ago

   Haya ni maneno yako mwenyewe

 • Samson Dulla
  Samson Dulla Month ago +1

  Ahsanten BBC kwa taarifa

 • Ahsante Nadile
  Ahsante Nadile Month ago

  Kuhusu ndege ya TZ, ardhi ni mali ya Taifa, katika madai ya fidia ardhi iondolewe - land expropriation without compensation ndo mwendo wa sasa hata RSA.

 • theophilo theodosy
  theophilo theodosy Month ago +1

  Vibaraka wakubwa

 • theophilo theodosy
  theophilo theodosy Month ago +4

  BBC huwa wanaripoti mabaya TU ya Africa.
  Stupid

 • emmy amoury
  emmy amoury Month ago

  Mtu ambaye sio raia hawezi kumiliki ardhi

 • David Nicholaus
  David Nicholaus Month ago

  Hivi Tanzania imekuwJe? BBC wana report tu nini kinaendelea.. Lakini mwingine ana comment BBC ni adui wa Tanzania....tafakar

 • hemed jackson
  hemed jackson Month ago +2

  Channel ya kinafiki dunian hii kaz kuchochea mamb mpk yakolee nchi zinazowatum kin marekan hazitangaziw vby na hawa

 • Isayah Paul
  Isayah Paul Month ago

  Vijana wa maji mpo vizuri hongereni sanaπŸ™πŸ™

 • MT TV
  MT TV Month ago

  Group jipya la kijadili mambo muhimu ya nchi yetu chat.whatsapp.com/EFFkhFu2XfF86MvE15gX1C

 • Ramadhani Kidunda
  Ramadhani Kidunda Month ago +7

  Maryam Omar mkumbuke Molla wako jamn, uweze kumtii ili ufaulu Dunian na Akhera

 • tz m n y
  tz m n y Month ago

  Uyo kabendela mbona anatembea vizuli? Acheni unafki

 • tz m n y
  tz m n y Month ago +3

  Nyinyi BBC ni maadui wa Tanzanian

  • Rhoda Richard
   Rhoda Richard Month ago

   Watu wengi wanasemaga ivoo..hiv nikwanini naomba kujua kuhusu ilo..NIJUZE

 • Andy Graphic
  Andy Graphic Month ago +1

  Wanawake acheni mambo yakutaka kutumia dawa kiholela. Mtakufa Cancer sana. Ndo maana hata wanaume wanawakimbia kwasababu ya mili zenu zilizo jaa kemikali.

 • kadogo angelica
  kadogo angelica Month ago

  .

 • Saleh Suleyman
  Saleh Suleyman Month ago

  Huyu dada hajui hata kutangaza kila mtu na fani yke

 • mkush platnam
  mkush platnam Month ago +3

  sheria ya tz hairuhusu mtu ambae siyo raia kumiliki hardh , uyo alikuwa mwekezaji tu,

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz Month ago +1

  sasa wewe jemsi siutolewe jinsia 1 ubaki na 1 na ingependeza ubaki na jinsia ya kiume maana ukibaki na jinsia ya kike utakosa maatiti na je utazaa na je utaishi maisha gani au ndio unakuwa shoga

  • Rhoda Richard
   Rhoda Richard Month ago

   Halaf wamekosea kuonesha sura yake..wangemficha

 • Almost Goro
  Almost Goro Month ago +1

  Thanks BBC swahili

 • My Africa
  My Africa Month ago +2

  Watu wawili wenye: sura moja, tabia moja, akili moja, fikra moja, hisia moja, kama herehere tu. Boris Johnson na Mr Tweeters... Pole sana.

 • My Africa
  My Africa Month ago +4

  Mtangazaji mwenye tabasamu Bbc, mama huyo. Mama Mariam Omari .

 • Junha Nbabu
  Junha Nbabu Month ago +2

  Mariam bado hujafikiria kumtii molawako kwadhahiri kabisa,?

  • Ali Abasi
   Ali Abasi Month ago

   Kwani kuitwa mariam omar ndio uislam.bali uislam ni niimani na vitendo wala sio jina.

  • Junha Nbabu
   Junha Nbabu Month ago

   @Stanslaus Angelus na dini Je,

  • Stanslaus Angelus
   Stanslaus Angelus Month ago

   Mariiam ni mahiri,namkubali

 • Zacharia Bwire
  Zacharia Bwire Month ago +5

  Picha ya ndege,ni kuhujumu wafuatiliaji was BBC SWAHILI

 • Link Reuben
  Link Reuben Month ago +2

  Huyo kabendela bila shaka magereza wanaweza kumsaidia, kwasababu ndo wenye dhamana!

 • Pendael Ulanga
  Pendael Ulanga Month ago +3

  Hiyo picha ya ndege na kichwa cha habari haviendani kabisa na ujumbe na maudhui humo ndani. BBC mmeanza kuchakachua habari mmeishiwa ama vichwa vya habari?

  • DAR TOWN
   DAR TOWN Month ago

   Wanapenda kuchafua Nchi yetu

 • Deus tutu
  Deus tutu Month ago

  saf sana pongez kwao vijana wa maji

 • David Markos
  David Markos Month ago +5

  Hiyo picture ya ndege inauhusiano gani na Habari mliyoitangaza ? Hiyo ni kejeli tuu ? Fake news outlet !!

 • Maxwell Rabala
  Maxwell Rabala Month ago +3

  Huyo mkulima wa 1983 na air tz zina uhusiano gani

 • Samson Pandala
  Samson Pandala Month ago +2

  Hakuna ardhi ya mtu apa ardhi yote ni mali ya serikali uo ni mpango 2 wa watu washenzi kutaka kuturudisha nyumba Tanzania ina mali nyingi 2 huko south Afrika mbona hawazishikilii uwo ni mpango 2 lakini ndege yetu itarudi

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   @Walivyo Juma Serikali inadaiwa ndio maana ndege, tusikatae kule kudaiwa. Bora hata kuomba tulipe deni taratibu ile ndege irudishwe kwanza.

  • Walivyo Juma
   Walivyo Juma Month ago +1

   Tufikili kabla atujasema mambo yapo kwenye makaratasi

  • Walivyo Juma
   Walivyo Juma Month ago

   Swali serekali aidaiwi?

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   Ni deni! Ila ilipwe tu tupate ndege yetu.

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason Month ago +1

  Asante MARIAM OMARY kwahabar kemkem za dunia BBC iko juuuuuuu

 • Jah Abdallah
  Jah Abdallah Month ago

  Daaaa ivyo,?nauliza swali jamani mtu mweusi na mzungu nani mwenye akili timamu,,,katika dunia hiii?nashindwa kuelewa,,,kwahili jambo lililo fanyikaka hapa jhb,,,aaaaaaaaaa kaburu anadai aridhi yake Tanzania aaaaaaaaaaaa,duuu sijawai kuona hii kari?awa jama awatupendi mtu mmoja tu, daaaaaaa,ina uma sana aaaa yahani hanadai aridhi yetu Tanzania hapa hapa kuna kitu,,,,mimi ninaona hivi wao wamechumuwa ndege yetu na sisi tu wasubiri ndege yao ikija bongo tuizuie hakuna kuoneana haibu south air ways nasisi tulizuie mpakaka waludishe ndege yetu, kama iwe iwe tu,,awa makaburu awana haki ya aridhi, makufuli oyeeeee m south Africa jah

 • leila mohamed
  leila mohamed Month ago

  Ahsanteni BBC!

 • Yusuphu Zaidi
  Yusuphu Zaidi Month ago

  Ninaomba serikali iwawezeshe hao vijana waliobuni machine ili watengeneze nyiingi kwani mbali na kitoa ajira mazingira yanatunzwa

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi Month ago +2

  Congratulations BBC

 • bocker nyarusahi
  bocker nyarusahi Month ago +1

  Ahsante Bbc

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago +7

  Kwani Tanzania albino na mashoga huwa hawahesabiwi kwenye sensa...?

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   Hao Kenya sio mashoga, ni waliozaliwa na jinsi zote mbili (hermaphrodites)

  • Swaumu Kea keel 2 much Keya
   Swaumu Kea keel 2 much Keya Month ago

   Nani kakudanganya albino wanahesabiwa mashoga huwa wanajificha wenyewe

 • Leila Innocent
  Leila Innocent Month ago

  Mbalikiwe tu kama umezaliwa na njinsia mbili

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago +8

  Huyo mkenya mwenye jinsia mbili mpumbavu sana,yaani ana sura ya kiume sauti ya kiume lakini yeye anachagua aishi kama mwanamke...!Jinga sana,shoga mkubwa...!

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   @Pius Mnanka macho sawa nakuunga mkono, sasa kama hormones zimekataa na ni za kike? Ndio maana wameongeza iwe jinsia ya tatu maana muonekano na uhalisia wa ndani zinaweza kuwa na vita.

  • Pius Mnanka
   Pius Mnanka Month ago

   @FM Morn Star We si unaona huyo sehemu kubwa ya mwili wake ni mwanaume...!

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   @hamis mnyaya hata hivyo imeshatambulika kwenye nchi yake, kwa hiyo sio mwanamke au mwanaume. "Hermophrodites" wapo kila enzi, kabila, rangi na hata wanyama. Wengine wakiwahishwa hospitali wakiwa wadogo wawe jinsia moja, baadaye "hormones" zinaiva za ile nyingine, huyo mtu anaanza kuishi kwa taabu zaidi.

  • hamis mnyaya
   hamis mnyaya Month ago

   Pius Mnanka inaonekana ya kike ndo ina msukumo zaidi ?Ndo maana anataka kuwa demu ila pia kuna uwezekano wa kumkausha jinsia moja kama akitaka yaonekana anapenda ya kike.

  • FM Morn Star
   FM Morn Star Month ago

   @Pius Mnanka sasa wewe unataka ajitambulishe kwa jinsia gani?

 • Baraka Gideon
  Baraka Gideon Month ago +3

  BBC is the best channel...πŸ‘