BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 27.02.2019

Share
Embed
 • Published on Feb 27, 2019
 • Na Salim Kikeke & Dayo Yusuf

Comments • 17

 • Emmanuel Issa bùninga
  Emmanuel Issa bùninga 6 months ago

  BBC ninapenda Sana mnavyotangaza michezo Ila amututangazihi msimamo wa ligi ,jaribuni kututangazia ata hata wa tano Bora wa msimamo wa ligi ulaya

 • MAXSWEL RABALA
  MAXSWEL RABALA 6 months ago

  Kim unainyima Marekani Usingizi ,,,

 • MAXSWEL RABALA
  MAXSWEL RABALA 6 months ago

  Kim unainyima Marekani Usingizi ,,,

 • Fally me too
  Fally me too 6 months ago

  Tunashukuru kwa kutuhabarisha Ahsante

 • Awadhi Mbarak
  Awadhi Mbarak 6 months ago

  Mwana dada iyo sketi hadi maziwani🤗🤗🤗🤗

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 6 months ago +1

  Filam za africa bado sana yaan bado yaan unatazam filamu mwisho inapoisha utadhan ndo inaanza

 • David Lonoyinakupenda
  David Lonoyinakupenda 6 months ago +2

  Hv kwann Ethiopia laia wake wengi huwa wanaadhirika sana Duniani?kuna nini Ethiopia?

 • Yared Amos
  Yared Amos 6 months ago +1

  asante kwa taarifa

 • A B
  A B 6 months ago +1

  Narendra Modi alipoingia tu madarakani baada ya chama chake kushinda ambacho kilisaidiwa kuingiwa madarakani na Mabaniani wenye msimamo mkali,
  Kumekuwa na matokeo mbalimbali ya kinyama na unyanyasaji yakifanywa na hawa wafuasi wa Narendra Modi na bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.
  Vyombo vingi vya habari duniani vimekuwa vikitangaza vitendo hivyo viovu ikiwa ni pamoja na kuwaua Waislam wanaofuga ng'ombe, kubaka watoto wachanga, kuwafanyia maudhi Wahindi wanaoingia kwenye dini ya Kikiristo, dharau, chuki na ubaguzi dhiki ya Waafrika pia umeengezeka nk
  Utawala wa N Modi una harufu mbaya, hata kama akionekana ni mtu ambae amepanua uhusiano wa Kibiashara kati ya India na nchi nyingi duniani, lakini siasa yake ya ndani ni mvundo ulio oza. Siasa ya akina Ghandi ya kuzangatia Ubinadamu, imepotea India.
  Pakistani na wao wamenukuliwa na shirika la kijasusi la Marekani kuwa wao ni kigeugeu au unafiki ingawa ndani ya Intelijensia ya Pakistani wanaamini kuwa hivyo ndio wanatakiwa kujenga uhusiano wao na Marekani.
  Tunategemea jumuia ya Kimataifa itaingilia na kutafuta namna ya kuwasuluhisha haya mataifa jirani. Mchina anamtetea Mpakistani kwa mbali, kwani China pia ina tatizo kama hilo hilo na mipaka ya India...
  Hakuna la zaidi, isipokuwa tunategemea Amani kurudi haraka kwenye maeneo hayo...
  Juzi tu hapa Trump ameukashifu mfumo wa Kikomusti, leo anaisifia Vietnam nchi ya Kikomunisti kwa maendeleo makubwa...
  Sio zaidi isipokuwa Marekani inaiogopa Korea ya Kaskazini kwa uwezo wake wa kivita au tuseme ni silaha Korea waliokuwa nazo...
  Mbona hawapo tayari kuzungumza na N Madura...
  Marekani waonevu bhana...

 • Evans Msabila
  Evans Msabila 6 months ago

  thanks BBC

 • hamisi kagembe
  hamisi kagembe 6 months ago +1

  Nice

 • rich hurt
  rich hurt 6 months ago +1

  thanks BBC

 • Majuma Hussein
  Majuma Hussein 6 months ago +1

  Shukran

 • Wddy tech
  Wddy tech 6 months ago +1

  Asante