BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 18.03.2019

Share
Embed
 • Published on Mar 18, 2019
 • Na Salim Kikeke

Comments • 53

 • Janeth Samuel
  Janeth Samuel 8 months ago

  Poleni sana msumbiji na Malawi.

 • juma mohamed
  juma mohamed 8 months ago

  Salim ni mzuri saana tena sana katika kumili screen na hii ni muhimu sana kwa mtangazaji wa TV but Pronunciation yako ya utangazaji wa kiswahili si nuri unatolea maneno kupitia pua instead kutumia 100% mdomo( lips,ulimi) I mean hauna makhraja lkharouf nafikiri hii pia imekufanya ushindwe kutangaza kingereza!!! Nilikusikiliza siku moja unatangaza Focus on Africa ( For me hukunivutia pronunciation yako very poor tatizo lile lile la kiswahili unatumia pua pia) sema kiswahili ni afadhali kwa vile ni mother tong yako but english ni mbaya sana tena!!!

 • juma mohamed
  juma mohamed 8 months ago

  Nimegundua huyu Salim Kikeke ni kama Watanganyika wengine tu anawachukia sana Wazanzibari na ndo mana habari za Zanzibar hazipi kipaumbele!!! anahiari atoe habari nyengine zisizo na umuhimu sana!! than hajui Wazanzibari ndo wasikilizaji na watazamaji wa kwanza wa BBC swahili!!! Nafikiri pia kwasababu tunaujua udhaifu wake

 • Abby Adams
  Abby Adams 8 months ago

  Kagame na Mseveni jitafakarini,ubabe wenu wa kitoto unaichafua jumuia ya Africa mashariki

 • Rachel Dauson
  Rachel Dauson 8 months ago

  I'll likagame limbwa ilo lituletee usenge wake tz lione Moto

 • Dick Augustino
  Dick Augustino 8 months ago

  Poleni kwa njaa knya

 • Haji Makame
  Haji Makame 8 months ago

  Daa poleni ndungu

 • Salama Sefu
  Salama Sefu 8 months ago

  Poleni xana jamani

 • ROBERT CHURI
  ROBERT CHURI 8 months ago

  poleni sana watu wa msumbiji mungu you pamoja nanyi

 • eliphazi amon
  eliphazi amon 8 months ago

  Kagame ni mkosiiii east Africa community,,,kagame still a president, no east Africa community union

 • A B
  A B 8 months ago

  Je, Waingereza watawaondolea Zimbabwe vikwazo? Hali ni mbaya sana katika Taifa hili la Kiafrika. Hali ni mbaya sana ambayo imetokana na vikwazo vilivyowekwa na Wazungu.
  Roho za Waafrika wasiokuwa na hatia zinaendelea kuteseka nchini Zimbabwe kutokana vikwazo hivyo. Hali ni mbaya.
  Vikwazo hivyo ni sawa na Ukoloni. Ni unyanyaso dhahiri.
  Huruma kwa Zimbabwe. Waafrika, tusiipe Zimbabwe yetu mgongo.
  Zimbabwe wanateseka leo kutokana na kuukamilisha Uhuru wao, ardhi kurudi kwa wazawa.
  Huruma kwa Zimbabwe.

 • Kennedy Kimani
  Kennedy Kimani 8 months ago

  OZIL !!! SO KIND OF HIM.

 • Haroun Ali
  Haroun Ali 8 months ago +1

  Inna lillaahi wainna ilayhi rajiun

 • Saidy Ally
  Saidy Ally 8 months ago

  Ndoo maana nakubali bbc mkovizuli kwa habali

 • Suma Traveler
  Suma Traveler 8 months ago

  Hongera sana ozil sikuamini kwa ulichokifanya

 • Aisha Ubalozi
  Aisha Ubalozi 8 months ago

  Mungu yuko pamoja nanyi poleni sana

 • Shuasai Shuasai
  Shuasai Shuasai 8 months ago

  Subhanlah ­čś¬allah asitujaalie hivyo na ss tunaoshi Katika ukanda wa bahari ­čś¬allah asijaalie ivo

 • Bakar Hamad
  Bakar Hamad 8 months ago

  Lipumba yy kapata jina tu la cuf xx tupo tukutane 2020 mungu akitufikisha

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 8 months ago +2

  Mungu isaidie kenya mungu isaidie East A na janga l njaa

 • Mwenekabugu Ngombe
  Mwenekabugu Ngombe 8 months ago

  Wa Pakistani watapatashida saana kama hawajitowi inchini kwetu Congo Drc

 • Gosbert Rwezahura
  Gosbert Rwezahura 8 months ago

  Hivi ubaguzi wa wazungu utakwisha lini? Vijana hawa wawili wa Kongo wanajitahidi lakini tunaona wanavyobaguliwa Sweden. Kwa nini Waafrika tusisaidiane na viongozi wakajali maendeleo ya watu wao na wote tukafanya kazi kwa nguvu na kuendeleza nchi zetu na kuachana na hizi nchi za wazungu? Natambua si wazungu wote ni wabaguzi, baadhi yao ni wazuri lakini na sisi wengi wetu tuna matatizo ya kuwainamia na kulamba miguu yao. Nchi zetu ni huru kisiasa lakini upande huu bado tuko mateka. Kwa nini nchi zetu huonesha maigizo yao kwenye runinga zetu lakini kwao huwezi kuoneshwa kitu chema toka Afrika labda vita na njaa? Kwa nini Waafrika hushangilia timu za kandanda za Ulaya kama vile Arsenal na Real Madrid wakati hata wachezaji wa timu zao hawawajui majina? Huku ndo kutawalika kifikra.

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka 8 months ago

  Poleni wahanga...,

 • Global News TV
  Global News TV 8 months ago

  Majanga ya kimaumbile yameigeukia Afrika!!! Ni hatari sana. Tujiandae vema na global warming. Doom's days.

 • gegan gphray Mwaigoga
  gegan gphray Mwaigoga 8 months ago +1

  rais wangu JOHN POMBE MAGUFULI NA MKUU WA MKOA PAULO MAKONDA MIMI NAIPENDA TANZANIA NCHI YANGU SANA.ILA NYIE VIONGOZI MNA TABIA YAKUTUZALAWU SISI TULIO 0.ILA NATOA ONYO KWA TAIFA//KUNA MAAFA MAKUBWA YANAKUJA NA TUSIPOUNGANA NA KUCHUKUWA TAHADHARI WATU 730 WATAPOTEZA MAISHA HII SIKU// NAOMBA KUTENGWE HELA MAPEMA NA KUANDAA WAOKOAJI WAKUTOSHA// NAOMBA TUSALI SANA NA TENA SANA..NI MDA TUUNGANE KUPINGA MACHAFU YOTE // MAKONDA UWA SAHIHI SANA ILA MASHERTAN UMPIGA VITA NA SERIKALI KUTOMUUNGA MKONO...TUSIWE WAKUPINGA BALI KUTOA SURUU\

 • Sofia Asukuku
  Sofia Asukuku 8 months ago

  Inchi mbili zote ,,niwakorofi tu

 • Wilondja Alumbe
  Wilondja Alumbe 8 months ago

  Hivi zinakuaka dakika 30?

 • alfred Tembo
  alfred Tembo 8 months ago

  Poleni sana kina baba kina mama ndugu. Serekali wafanye jambo waache ufisadi maana kila uchao mabilioni yapesa kenya yaporwa na watu wanaumia namazingira ya ukosefu wa chakula namaji niaibu kubwa sana hii kenya na pato lakenya linavyo tumiwa na mabwenyenye

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. 8 months ago

  Amen amen. Poleno sana ndugu. Mungu awarehemu . Amen.

  • Amani na Upendo.
   Amani na Upendo. 8 months ago

   Amen amen. Wazee wetu tafuteni Amani sisi ni ndugu moja . Mungu awape hekima kupata suluu . Mungu awape rehema ya mvua Amen.

 • Santo D
  Santo D 8 months ago

  Poleni msumbiji

 • Wilsony Tz
  Wilsony Tz 8 months ago

  silikali iwasaidie wananchi hao wanaikumbwa na njaa

 • Ali Ashur
  Ali Ashur 8 months ago

  Ehh jamani viongozi wa Uganda na Ruwnda si mulete suluhisho LA kudumu baina yenu wananchi wasio na hatia ndio wanaumia

 • D.W.BON. abhaf
  D.W.BON. abhaf 8 months ago +1

  Ahsante BBC swahili kwa taarifa zenu bomba;!!

 • Gift Musa
  Gift Musa 8 months ago +4

  Poleni sana msumbiji na Zimbabwe.Salam kutoka GIFT FASHION-DODOMA ,waundaji wa travolta za ngoz,sendo, wallet,boot za kijesh n.k

  • Said A Lumuli
   Said A Lumuli 8 months ago

   Duka lenu liko mtaa gani nipo area c,

 • Kassim Ayoub
  Kassim Ayoub 8 months ago

  Cr7 apigwe fain tu hule sio ustaarab hat kdg

 • Kassim Ayoub
  Kassim Ayoub 8 months ago

  Cr7 apigwe fain tu hule sio ustaarab hat kdg

  • Rama CCR7
   Rama CCR7 8 months ago

   Asha usenge wewe kwani coach wa atletico aukumuona naye gisi alifanya asheni ushabiki wa kijingi

 • leyman salim
  leyman salim 8 months ago +10

  Viongozi wa kenya wanaiba mabilioni na kuna watu wanakufa njaa. Ila mungu anaona watakwenda jibu maswali

 • Fariji Rweyemamu
  Fariji Rweyemamu 8 months ago +1

  Ahsante Sana kwa taarifa nzuri

 • Deus Lugendo
  Deus Lugendo 8 months ago

  rwanda ni wababe

 • Elisha Maiko
  Elisha Maiko 8 months ago +1

  Thanks for the good news

 • Ally suleiman
  Ally suleiman 8 months ago

  from pemba zanzb

 • Ally suleiman
  Ally suleiman 8 months ago

  wapil kukoment

 • Hafidhi Athumani
  Hafidhi Athumani 8 months ago +5

  Nawapata BBC from Tanzania