BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 24.04.2019

Share
Embed
 • Published on Apr 24, 2019
 • Na Salim Kikeke

Comments • 66

 • UKHTY UKHTY
  UKHTY UKHTY 4 months ago

  Mungu warehemu marehem wote

 • frank william
  frank william 4 months ago

  Mwanaume anaweza akatoweka duniani

 • Michael Mathew
  Michael Mathew 4 months ago

  Waislam wengine hawafai

 • Julius Lupumbwe
  Julius Lupumbwe 4 months ago

  Asante BBC kwataarifa njema

 • Vañ Geź
  Vañ Geź 4 months ago

  Asanteni kwa taarifa nzuti bbc

 • Richard Muga Costantine

  Enyi WABONGO hacha maneno ya kujiriwaza chukua hatua mapema amia sehem salama ,wasikilizwe watalam.

 • gayany mwansasu
  gayany mwansasu 4 months ago

  Asante BBC kwa taharifa japo nyingi zinatutoa machoz 😂😂

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu 4 months ago

  Safi

 • Ashu Ashu
  Ashu Ashu 4 months ago

  Ahsante salim

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 4 months ago

  Bbc watu wazuri kumbe mnapitia Comment zetu;Mungu awaongezee Hekima kwa kweli mnatufaa saana wananchi kote Duniaji

 • محمد يوسف
  محمد يوسف 4 months ago

  MBONA MMEONESHA BENDERA YA IRANI KWENYE HABARI ZA KOREA

 • Bariki Laizer
  Bariki Laizer 4 months ago +2

  Hakika ni hatari mm Niko Arusha tz nawashauri wafanyeharaka kuondoka

 • Gambishi Dwese
  Gambishi Dwese 4 months ago +2

  Watanzania wanaishi kwa imani cyo kwa kujua. Kama MTU anapewa tahadhari halafu anasema anamwamini mungu, INA maana hajui chochote na wala huwa hapati taarifa mbalimbali za majanga.

 • Gambishi Dwese
  Gambishi Dwese 4 months ago +1

  Mungu anayeabudiwa na aliyemuumbaji inakuwaje ayaruhusu Haya?.

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 4 months ago +4

  Elimu inaitajika sana uku tz kuhusu kibunga kinchokuja maan sis watz n wabishi sana

 • Kassim Juma
  Kassim Juma 4 months ago

  Ukiuwa muislam mmoja watakufa wakristo kumi.

  • Diamond Tv
   Diamond Tv 4 months ago +1

   Acha kuongea upumbavu makundi mengi ya ualifu na mauwaji ni ya kiisilamu sasa sidhani kama din ya kweli ndio iliyopewa haki ya kutoa uhai wa mtu Ngona nao walipe kisasi ndio utajua

  • dominic boniphace
   dominic boniphace 4 months ago

   Mnakosa uźalenďo baàda ya kushikana kuà wamoja ndo kwànzá mñawekeàñ çhuki chungeni sàña mjue akili kàm izi mwenye nguvu atazidi kuwabomoa

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili  4 months ago

   mmh

  • Ibrahim Sheha
   Ibrahim Sheha 4 months ago

   Uhakika

 • George Tryphone
  George Tryphone 4 months ago +1

  Hao Ni waislam walio ua watu Sri Lanka Sasa watu wamekaa kimyaa

  • Ramadhani Mzamilo
   Ramadhani Mzamilo 4 months ago

   Una uhakika wee kwamba ni waislamu fala nini wew,,acha chuki wewe

 • Bariki Laizer
  Bariki Laizer 4 months ago +2

  Watanzania wengi hawajui nguvu ya kimpunga mm ningehama maramoja

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 4 months ago +1

  Mungu na mbio nyie Watz angalieni kibunga hicho nyie wa Bondeni

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 4 months ago +1

  Salim shukrani sana kwa taarifa

 • Daud Daud
  Daud Daud 4 months ago +2

  Sawa tunamwachia Mungu tu kwa kuwa ana maajabu yake LAKINI MUNGU HUSAIDIA WALE WANAOJISAIDIA WENYEWE. Ole wako wewe unaemjaribu Bwana wetu

 • Mishael Misana
  Mishael Misana 4 months ago +4

  Poleni sana sirlankz

 • sadick Mwakigola
  sadick Mwakigola 4 months ago +1

  Polen ndugu zetu BBC nawapata

 • Samwel Shao
  Samwel Shao 4 months ago +1

  Tunahtaji kutoa elimu kwa watu wabshi kama hawa wa kusini

 • paul daniel
  paul daniel 4 months ago +2

  UN mnalaani nini?? Marekani wameuwa watu wangapi?? Acheni upumbavu

  • Maz Dunga
   Maz Dunga 4 months ago

   Unamaanisha nini sasa? Funguka tusikie

 • jafari bori
  jafari bori 4 months ago +3

  Ivi ikitokea m marekani au muingereza atekwe na alazimishe kuchunga au kufanya mapenzi basi ujuwe viongozi wetu wa kitaifa pamoja na sisi wananchi hatutakuwa naamani kisatu mzungu ndio kaathirika, lakini hili la w Africa huwenda nisifike popote hata kulaaniwa kwabitendo vyao vya kinyama dhidi ya waafrica,haki ya mtu haina tabaka

 • Salim Doctor
  Salim Doctor 4 months ago +2

  Elizabeth kazi ni hela sibure

 • Francis Kisulah
  Francis Kisulah 4 months ago +1

  Yeah BBC news mnanifanya kuwa updated

 • Lugano Nsubisi
  Lugano Nsubisi 4 months ago +2

  Hakuna dini ninayo ichukia kama Islamic wakristo 100 italipwa tu!!

  • Amour Faki
   Amour Faki 4 months ago

   Duh pol

  • dominic boniphace
   dominic boniphace 4 months ago

   Waķristo ña waislam ķilà mtu ana haki ya kuabudu kile anacho amiñi kwanzá mjue iżi chuki zinàpàñdikwa nà wàzuñgu pamoja nà mitañdao ya umoja ya nchi zeñye ñģuvu wañachoķifanya wanatakà warudishe vita iliyoķuepo miaka 10 iļiyo pità kwanza wa tz atuna udini wala ukabila tushiķate tuwapiñge wenye nguvu ñaskuzot chuki inamchoma añae ifađhi kwañi ķuhusu diñi yà kweli ķuna m2 aļie muona mora akishuka aķatak hii dini niyakweli tuache tabia ya ķukaliĺi ndugu zàñgu

  • Muksin Ahmad
   Muksin Ahmad 4 months ago

   Hawatakuwa raadhi mayahudi na wa Kristo mpaka mufuate nyayo zao

  • Petro Fabian
   Petro Fabian 4 months ago +1

   @Ahmad Salim ikiwa kuna Mungu anaagiza kulipiza kisasi kwa kuua ,duuh!!!!huyo Mungu ni mbaya kuliko hata shetani.

 • abdirizack hussein
  abdirizack hussein 4 months ago +1

  South Africa watu wabaya

 • Ngome tv Arusha
  Ngome tv Arusha 4 months ago +4

  Mbona sioni watu wakishutumu hila jambo LA mauaji kule srilanga kama lile LA juzi kule msikitin au kuna nini sioni ncho za kiarabu wakipiga kelele kama lile mji church Christ

  • Ashu Ashu
   Ashu Ashu 4 months ago

   @Ismail Buchwa ni kweli Esmail hilo ni hakika roho ngumu haichagui dini wala kabila.

  • Ismail Buchwa
   Ismail Buchwa 4 months ago

   Mbona wapo wa islam wengi tu walio fariki ktika shambulio hilo la kigaidi waturuki wa bangladesh na wengineo ugaidi ni ugaidi na wala hauna dini wala kabila

  • Ismail Buchwa
   Ismail Buchwa 4 months ago

   Usihusishe ugaidi na dini vitu viwili tofauti

  • Ashu Ashu
   Ashu Ashu 4 months ago

   Imeniuma roho yangu sana tupendane dini zote sisi sote ni binadamu tuko sawa

  • Ashu Ashu
   Ashu Ashu 4 months ago

   Mimi niko nchi ya kiarabu imeniumba sana maana wote ni viumbe mungu atutie iman kwa kuangamiza viumbe wenzie.

 • A B
  A B 4 months ago +3

  BBC hatuna zaidi ya kuzungumza na nyie leo.
  Tumesikitika sana kuona vitendo wakivyofanyiwa watu wetu (Waafrika) huko Uingereza. Imetusikitisha sana.😢
  Sirilanka poleni. Sio haki kuwaua waumini kanisani.😭
  South Africa imeahidi kutoa pesa na msaada ya mazishi kwa wale waliokumbwa na maafa hayo. 👍
  Tunasubiri kuona jinsi wale watakaokumbwa na kimbunga Kenneth watasaidiwa vipi, wasije kusimangwa kama vile yaliyotokea kwenye tetemeko la ardhi kule Tanzania 🤭
  Tupo na nyie Afrika, msife moyo.😇

 • Hamis John
  Hamis John 4 months ago +1

  Polen san ndugu zetu wa Africa kusin kwa mahafa makubwa

 • jarsa duba
  jarsa duba 4 months ago +2

  Asante BBC kwa habari na ni vyema waondoke kumbunga ni hatari mno

 • David S Sangi.
  David S Sangi. 4 months ago +1

  Asante BBC nawapata sana

 • hussein omari
  hussein omari 4 months ago +3

  Ahsante sana BBC nawapata vema