BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 08.03.2019

Share
Embed
 • Published on Mar 8, 2019

Comments • 39

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu 8 months ago

  Safi BBC

 • Mpasua Msonobari
  Mpasua Msonobari 8 months ago +1

  R.I.P All. Tanzania yanusurika huku Kenya ikiomboleza maafa ya wakenya 32 kwa ajali mbaya ya ndege, nchini Uhabeshi. #EthiopianAirlines #ET302 #EtiopianAirlinesCrash #AjaliNdege #CNN #News #BreakingNews #SwahiliNews #SwahiliBreakingNews. Kwa habari zaidi kwa Kiswahili rejelea kiungo hiki: thexvid.com/video/GOHiEOS0SW8/video.html

 • Abd Rashid
  Abd Rashid 8 months ago

  Hii kilinganisha mwana mke na mwanaume wawe sawa muliyatowa wapi?nyinyi muna imani gani?muliyatoa wapi hakuna usawa kati ya mwana mke na mwanaume

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. 8 months ago

  Amen amen. Wanawake simameni kwenye sheria ya Mungu mtayashinda yote. Na zarau kwa waume zenu acheni. Biblia : Mwanzo 3: 16. Uo usawa wa kijinsia uwe na mipaka katika ndoa. Kama amuwezi bakini makwenu. Mungu awasaidie. Amen.

 • Hassan juma Chipua
  Hassan juma Chipua 8 months ago

  Mwanamisi kumbuka dini yako nayo yakubali jambo hili ?

 • Almost Goro
  Almost Goro 8 months ago

  Thanks BBC swahili

 • Gilbert Fredrick
  Gilbert Fredrick 8 months ago

  I love BBC

 • Hassan mamera
  Hassan mamera 8 months ago

  Yan bbc leo mninikera

 • Ismail abeid Katani
  Ismail abeid Katani 8 months ago +2

  Kuna haja ya kufafanua zaidi juu ya huo usawa kati ya wanaume na wanawake. Kwa asili tulivyoumbwa kiongozi ni mwanaume ndilo kusudi la Mungu. Pia maandiko yanasema hivyo, wanawake msikubali kudanganywa kama alivyodanganywa Hawa na shetani kuulizwa Adamu, kama wangekuwa sawa angeulizwa Hawa peke yake, angeadhibiwa peke yake bila kumuhusisha Mume wake na kiongozi wake kwa kila jambo. Huo in muendelezo wa matendo ya shetani

 • Official Kamdudu
  Official Kamdudu 8 months ago

  haki sawa kwa mwanaume na mwanamke ni sio mpango wa Mungu ni mpango wa Shetani aliyelaaniwa ndio maana hamuwezi kufanikiwa hata siku moja

 • Kihanda 255
  Kihanda 255 8 months ago

  Ndugu zangu Waislam Mtambue kuwa Mtandao haumpeleki mtu Mbinguni na Mungu hapendezwi na Mtandao. Mungu anapendwa na Matendo tu. Mwacheni Marium Omary na maisha yake kwani hamumjui. Mnajua moja tu kuwa ni Mwislam basi na pia hamjua kma bado anaendelea na Uislam au laah. Mwacheni Mama wawatu. Pambaneni kivyenu.

 • mussa hamisi
  mussa hamisi 8 months ago

  Jina zuri kabisa Mariamu Omary lakini hulitendei haqi yake kichwa wazi kama uko upande wa pili utaulizwa na ALLAH siku ikifika maana wajifanya hujui

 • mussa hamisi
  mussa hamisi 8 months ago +1

  Wallah huu MSIBA kabisa mwanamke ata kua sawa na mwanaume Innalillah wainnaillaih raajiun 🙏🙏🙏

 • Zena daud Zena
  Zena daud Zena 8 months ago

  Maryam Omar kichwa wazi kuwa kama zuhra mashaallha anapendeza

 • hamisi kagembe
  hamisi kagembe 8 months ago

  Baadae sana usawa vitabu vyamungu vimesha maliza swalahilo aitotokea kamwe mwanamke kua sawa namwanaume jamani mwanamke sikuzote atakua chini2 ya mwanaume ndio kiongozi katika familia mwanamke awezi kuongoza kundi la wanaume kirahisi kama mnavyo taka msipingane na mungu

 • Deus Lugendo
  Deus Lugendo 8 months ago

  usawa wa mwanamke na mwanaume itachukua mda sana

 • Saleh Suleyman
  Saleh Suleyman 8 months ago +1

  Huyu mdada hajui wala hawezi kuitumikia studio mukhtasar anarejea mara 4 bado sana bbc ni salim kikeke au zuhura yunus or berrlo wombani tu

 • Ali Abdallah
  Ali Abdallah 8 months ago

  Happy women's day
  ila da Maryam tulikumis sana na wewe usimis kuvaa mtandio

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 8 months ago +1

  Happy women's day

 • William Keita
  William Keita 8 months ago

  Hi siku ya wanawake ni nzuri mno mi naona mngepigania kupewa kipaumbele kuliko wanaume ktk Ajira uhasibu,siasa na uongonzi ni vitu mnaviweza ila ukisema kuwa sawa na wanaume n ngumu maana kuna kazi zingine automatic znabagua jinsia na ukiona mwanamke kaweza ujue anahormon nyingi za kiume

 • Al rumh Ali
  Al rumh Ali 8 months ago

  Penda sana Da zuuu

 • ahmed shariff
  ahmed shariff 8 months ago +2

  Dunia hii bila Mwanamke haiwezikani Mwanamke ni Mama, Mwanamke ni Mke Mwanamke ni Dada.

 • Ramadhani Mussa
  Ramadhani Mussa 8 months ago +1

  Haki Za Wanawake Kwa Utamaduni Upiii ?????
  ACheni Kupigia Chapuo Tamaduni Za Ulaya na Kuona Tamaduni Za Mabara Mengine ni Ushenzi !!!

  • Trophaina Magogwa
   Trophaina Magogwa 8 months ago

   Ramadhani Mussa unyanyasaji wa wanaume umezidi Tanzania

  • William Keita
   William Keita 8 months ago

   Vitiligo ni urembo real mungu awabariki kushinda unyanyapaa

 • saad salum
  saad salum 8 months ago +1

  Hamna lolote kazi yamwanamke nipambo lanyumba tu na kuwa mke hamuna jengine

 • chance muhango
  chance muhango 8 months ago +1

  KARIBU TENA WAPI ESTHER KAHUMBI

 • Saleh Khamis
  Saleh Khamis 8 months ago +1

  ukhty Maryam kutokana na jina lako zuri kabisa mashalla mi nahisi ww ni muislam damu kwaiyo tunakuomba uvae japo mtandio au kilemba kichwani mwako kama ilivyo sheria ya kiislam

  • Faridah Hamza
   Faridah Hamza 8 months ago

   Kila jina la kiislam halimaniishi kuwa ni muislam, mwingine alisharitad na mwingine alijiita kutokana na mazingira

  • Lugano Nsubisi
   Lugano Nsubisi 8 months ago

   Hilo nijina tu yeye ni roman Catholic

  • Swalehe Ayubu
   Swalehe Ayubu 8 months ago

   Vaa kama zuhura yunus acha kuiga ukafiri

 • Biba zanzibariyyah
  Biba zanzibariyyah 8 months ago +1

  Mbona leo hujajistiri ww ni muislam Haifa kukaa kichwa wazi

 • Macho Maimu
  Macho Maimu 8 months ago

  Nilikumic sana mariam ulikuwa wapi mama suprise leo sbb siku yenu kina mama

 • kaika Sumuleck Sumuleck kaika

  Thanks BBC swahili karibu mariam

 • Samie Ndinguri
  Samie Ndinguri 8 months ago

  karibu mariam

 • D.W.BON. abhaf
  D.W.BON. abhaf 8 months ago +1

  Thanks BBC swahili