BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 17/05/2019

Share
Embed
 • Published on May 17, 2019
 • Na Zuhura Yunus & Zawadi Machibya

Comments • 45

 • Chibo the don
  Chibo the don 4 months ago +1

  Muonekano wa Leo siyo mzur

 • Abdullah Bakar
  Abdullah Bakar 4 months ago +1

  Kwa Mfumo huo US watawachukua wataalam wote wa mataifa maskini, hasa ya kutoka J. Madola.,

 • Wahida Wahida
  Wahida Wahida 4 months ago +1

  Yani kupinga ushoga kashtakiwa dahh kweli dunia nzima imeisha

 • Wahida Wahida
  Wahida Wahida 4 months ago +1

  Bbc nawakubali sana

 • mudy mussa
  mudy mussa 4 months ago +1

  BBC kwanza wengine watafuata

 • bakari masalu
  bakari masalu 4 months ago +1

  Taarifa zenu n za uhakika.Hongereni

 • Siwema Melchior
  Siwema Melchior 4 months ago +1

  Hongera wataalamu wa afya kwa jitihada mnazoendelea kuzifanya dhidi ya kansa

 • Vañ Geź
  Vañ Geź 4 months ago +2

  Mungu wangu!!!😢 inauzunisha sana doa ya jinsia moja dunia iishe tu Yesu arundi natamani

 • Vañ Geź
  Vañ Geź 4 months ago +1

  Nawapata vyema254

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu 4 months ago +3

  Asante BBC kwa habari

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 4 months ago +4

  Saratani n hatar sana ikipatikana dawa itasaidia watu wengi sana

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  maraisi wananyonya masikini kira siku tumiwazoea

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  ndoa ya jisia moja rana kubwa sana mtajibu siku yamaripo

 • Joseph Kalonga
  Joseph Kalonga 4 months ago +3

  Tanzania tutarudishiwa lini kichwa cha Chifu Wa wachaga ( Mangi ) na tutarudishiwa lini Dinasou wetu mkubwa kuliko wote duniani aliopo Ujerumani !?

 • Ramadhani Hassani
  Ramadhani Hassani 4 months ago +1

  shukrani

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka 4 months ago +5

  Wale mnaong'ang'ania eti kingereza siyo diri mnaona faida yake...!Nyie endeleeni kubaki na kiswahili chenu cha kuuimbia taarabu...!

  • RAHMA ABDILLAHI
   RAHMA ABDILLAHI 4 months ago +1

   Ni muhimu mtu kujifunza lugha za dunia... hasa kiingereza,kifaransa,kiarabu,kiswahili,kijerumani,kichina na hata ki-hispanyola.

  • humphrey sangito
   humphrey sangito 4 months ago +1

   Wajinga ndio watakaokosa fursa kwa kuzarau kingereza .. Ambayo ni lugha ya dunia nzima

 • Jese Bayo
  Jese Bayo 4 months ago +4

  Trump anataka wakulima wa kulima mashamba yao huko xx nenden mkalime yule ni killer

  • Jese Bayo
   Jese Bayo 4 months ago

   @Salvatory Kipyoka axante waambie

  • Salvatory Kipyoka
   Salvatory Kipyoka 4 months ago +1

   Acha mapoyoyo wasio penda nchi zao kazi kupenda kudoea maendeleo ya nchi za watu wakaliwe vichwa !

 • Ashim bakuza
  Ashim bakuza 4 months ago +3

  Mko juu na mtaendelea kuwa namba moja Bora kwa matangazo ya habali duniani

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi 4 months ago +2

  BBC ramadhan Kareem nawapata vizur mkipeperusha habari zenu shikamoo zuhra

 • abed masanja
  abed masanja 4 months ago +4

  Heh yaani mtu kutoa maoni yake ni kosa. kweli shetani ametaka ulimwengu

 • Ahmed Mohammed
  Ahmed Mohammed 4 months ago +3

  Huyu tramp ni mlagai hana siyasa ana kibri na anasumbua dunia nzma

 • SANGA BUTO
  SANGA BUTO 4 months ago +3

  Mko vizuri sana bbc

 • Iliasa Chogogwe
  Iliasa Chogogwe 4 months ago +3

  Nikilala bila kuona BBC usingiz hauji

 • Mshumbusi Deogratias
  Mshumbusi Deogratias 4 months ago +2

  zawadi machibya zao la radio kwizera

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +7

  Hajakosea kweliii jahanam inawasubir wapenz wa jinsia moja

  • humphrey sangito
   humphrey sangito 4 months ago

   Wazungu wapuuzi sana ..akikosea muafrika dunia yote inazarau...kakin mzungu akihamasisha upuuzi dunia inafurahia na kuona ni sawa

  • Romeo Romeo
   Romeo Romeo 4 months ago +1

   Kweli ni moto tu

 • king Kibo
  king Kibo 4 months ago +6

  Good news. BBC nawapongeza kwa uchambuz mzur wa habar. Kwangu mm nyie Ndio namba moja

 • dima dulu
  dima dulu 4 months ago +3

  Shukran BBC

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +4

  Haaa nyie taiwaan mnatak sunami aaaaaa

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +2

  Aaaa ndoabya jinsia mojaa tenaa haaaaa

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +3

  Aaaa hali ya hewa ok .muko vizur bbc aassnten kwa habar

 • Ayoub Bin khubeid
  Ayoub Bin khubeid 4 months ago +2

  nice

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +3

  Naona leo imechelewa

 • Emanuel Msaga88
  Emanuel Msaga88 4 months ago +3

  Asante BBC kwa taarifa murua

 • Sam Mlokoz
  Sam Mlokoz 4 months ago +4

  Donald trump rais wa kweli

  • Rama CCR7
   Rama CCR7 4 months ago

   Sam Mlokoz kwa leo nimempenda bure trump