BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 16.08.2019

Share
Embed
 • Published on Aug 16, 2019

Comments • 58

 • # Mr.Olive
  # Mr.Olive Month ago

  Did you see what I saw? Did this illan hug this man? Haya yalisemwa kuwa yatatokea, End of the world

 • # Mr.Olive
  # Mr.Olive Month ago

  Sababu iko wazi kabisa, serikali zetu wanalishwa na hawa jamaa kisha ma gavernas ndio wakuu wakufanya biashara rahisi.

 • My Africa
  My Africa 2 months ago

  Je ! Ukiwa kama mamangu unavaa hivo Je n dadangu nae avaheje nyumbani? Kwani mwalimu wa kwanza ni mama ndani ya familia.

 • My Africa
  My Africa 2 months ago +1

  Wana wake waki Africa, wamesha jiiza Kweli. tamaduni zaki Afrika wamesha zitoa. Nywele bandia na uku visuruali mtupu. Tamaduni zotu zaki Afrika ziko wapi? Yaani nyinyi wa mama wazima kama watoto!!! Ahh!!.

 • My Africa
  My Africa 2 months ago +1

  Wanatoka india, wakiingia kenya na Zanzibar kiirasi bila wasiwasi.

 • My Africa
  My Africa 2 months ago +1

  Si nyinyi munawapa nafasi Zanzibar na Mombasa?

 • suleiman bakar
  suleiman bakar 2 months ago

  zanzibar ina mafanikio gani labda njaa na ubaya wa roho wa viongozi

 • Isayah Paul
  Isayah Paul 2 months ago

  Bado kazi ipo kubwa sana yakuifanya dunia kuwa sehemu salama ya vizazi vinavyokuja.

 • Steven Kyando
  Steven Kyando 2 months ago

  Asante bbc tunawapata vizuri

 • Almost Goro
  Almost Goro 2 months ago

  Thanks BBC swahili

 • Saleem Ali Uthumaniy
  Saleem Ali Uthumaniy 2 months ago +1

  #BBC tuko pamoja muko vizuri Kutupa Habari mbali mbali Hongereni

 • Ally Russinga
  Ally Russinga 2 months ago

  Ndugu zetu wa kenya mmetuangusha kwa nn msiwahukumu hawa watu nyny wenyewe

  • Chobastian - Chobo
   Chobastian - Chobo 2 months ago

   humphrey sangito unavosema hatujaweza kujiongoza kwa ww ni mzungu au mchina naona kama unataka kujitoa

  • humphrey sangito
   humphrey sangito 2 months ago

   Ally Russinga sio kwamba wanakuangusha bali Afrikaaans hamjaweza kujiongoza kwa kila kitu...Angalia viongoz wahalifu wa kisiasa wanafungwa huko zehegi...na pia hata hapa Tanzania Akina Shikuba walifungwa huko marekani

 • All in one
  All in one 2 months ago +2

  Haoo wachina nao wanafuata nyayo za wazungu kututawala wanachukua malizetu nyiingi ikisha wanatusaidia kufanya utafiti wa kichocho

 • ZANZIBAR ONE TV
  ZANZIBAR ONE TV 2 months ago

  #Bbc Swahili kila siku ninapopata nafasi huwaskiliza Taarifa zenu ,ninachowashauri muengeze muda wa taarifa ya habari

 • Alexis Mwinyi
  Alexis Mwinyi 2 months ago +4

  Niaunga Israel mkono mia kwa mia.
  Kwasababu uwezi kumchukia mtu kisha eti unakwenda kutembea nyumbani mwake.

 • tz m n y
  tz m n y 2 months ago

  Mariam homali nakupenda sana

 • Daniel Elinest
  Daniel Elinest 2 months ago

  Daniel Ernest Ngimba kutoka Dar es salaam.
  Huyu Akasha sio yule aliyefungwa hapa Tanzania enzi za utawala wa Raisi mstaafu Alli Hassan Mwinyi? au sio huyu??
  Naomba mnifahamishe wapendwa.

 • Ngome tv Arusha
  Ngome tv Arusha 2 months ago +3

  Nashangaa kule marekan hawa wadada wanapojitapa kuna Uhuru mwingne unaopitiliza hapo america ebu mkristo aende nchi za kiislamu akajigambe kwa mfano nchi kama misri wakrsto ambao ni mawaziri kama mmoja Iran saudia ata kutembea na biblia unauliwa

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi 2 months ago

  Shkamoo Mariam na BBC yote nawapata vyema

 • Sleyman Rizman
  Sleyman Rizman 2 months ago

  Bbc mpo juuu kuliko ata uko juuuu

 • Link Reuben
  Link Reuben 2 months ago +2

  Hao wanao ichukia Israeli, wanamaslahi yao binafsi, lakini wanataka kuwaponza walio nyuma yao; watu masikini wasio jua mbele wala nyuma. Trump yupo sawa. Hakuna mtu ambaye amewahi kuidhalau Israel akafanyikiwa!

  • Link Reuben
   Link Reuben 2 months ago

   @kauthar jadiyd umejuaje kama nina kichaa, haujui hata kutumia lugha vizuri. Haya nambie wewe maana ya allah ni nini?! Inabidi umjue Mungu wa kweli; yakikemewa mapepo yanatoka , wachawi hawasogei. Jina la Yesu ndo kila kitu!!

  • Link Reuben
   Link Reuben 2 months ago

   @kauthar jadiyd Huna unachopoteza, maana upo gizani
   Lakini utakuja jutia kwa nini ulizaliwa, unaonekana si mtu wakufanya tafiti na kujifunza mambo, inawezekana hata huyo allah unayemtaja haujui ni nani.

  • Link Reuben
   Link Reuben 2 months ago

   @kauthar jadiyd wayahusi ndo watu gani, mbona hausomeki!
   Ukitaka kujua Mungu ni nani uliza maswali uelekezwe, maana inaonekana upo mbali sana kiuelewa!

 • Mwinyi Khatibu
  Mwinyi Khatibu 2 months ago

  mpopowa xn bbc

 • Richard Michael
  Richard Michael 2 months ago

  1. Hawa wacheza raga wamejiabisha kihaswa haswa na wana bahati hawako Tanzania maana huku ni miaka mpaka 30 gerezani.
  2. Kama nchi inafanya isivyo stahiki, kwa nini isisemwe? Israel imekuwa ikichukua maeneo ya Palestina kwa ushirika wa Marekani kama alivyojitangazia Trump kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel. Kauli kama hizi ambazo zinakiuka makubaliano kama ya Oslo lazima yakemewe.
  Asanteni sana BBC Swahili kwa kutujuza na kutupa habari kwa juma zima. Muwe na wikiendi njema

 • Fadhili masoi
  Fadhili masoi 2 months ago

  Asanteni sana BBC. kwa kutuwekea habari TheXvid

 • Abby Jason
  Abby Jason 2 months ago +1

  😱😱 kwaiyo kumbe twaweza kujiona tu wazima kumbe twatembea na wadudu kwa mwili bila kujijua 😓😓!!!!!!

 • philip rupia
  philip rupia 2 months ago +1

  habari zimepangiliwa vizuri sana.#tz

 • Brother Mo
  Brother Mo 2 months ago +1

  nawakubali sana BBC news