BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 25.03.2019

Share
Embed
 • Published on Mar 25, 2019
 • Na Salim Kikeke & Dayo Yusuf

Comments • 77

 • Deus tutu
  Deus tutu 5 months ago

  viongoz mnakunywa mvinyo watu wanakufa njaa na nyie mtajibu kiama

 • zuberi bakari
  zuberi bakari 5 months ago

  wao nimefurahi sana kuona wachezaji wetu wamefikiriwa future yao pongezi kubwa kwa tanzania

 • gurisha mkenga
  gurisha mkenga 5 months ago

  Food service is urgently needed to serve the life of civilians around turkana plz the gvt in power help ur people

 • Tani Suleiman
  Tani Suleiman 5 months ago +1

  why to ignore this situation 🙅🙅 the person had been see malnutrition???

 • Nuru Abdallah
  Nuru Abdallah 5 months ago

  Serikali ya Kenya iyache ujinga watu wanakufa na njaa

 • James Musyoka
  James Musyoka 5 months ago

  Mimi ni mkaaji turukana na ile njaa iko huku ni mungu na ata sasa watu wanazidi kufariki kwa kukosa chakula

 • GetMotivated
  GetMotivated 5 months ago +2

  Mbona TANZANIA iliposaidia kwenye Kimbunga idai hamkutangaza, mwatangaza inaposaidia Uengereza tu

 • humphrey sangito
  humphrey sangito 5 months ago +2

  Kweli life is compeletly unfair...theres no love ..no humanity.. no unity aaghhh...nothing at alll...
  But why dont you all kenyan visit this place and provide wherever its possible to.

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 5 months ago

  Wow Raisi Magufuli umekuwa uliyeendelea kabisa siyo Mzungu hata mzungu yupo feki Hivyo ndo inatakiwa ili nao wachezaji wajisikie

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 5 months ago

  Ebora inataka nini Jamani duniani?Mungu atunusuru

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 5 months ago

  Nimeamini Siasa ya Nchi zilizoendelea ni Kali Trump ameshakaa madarakani miaka Lundo lakin bado tu wanafuatilia?Dunia iko mwisho

 • DJ IMMA
  DJ IMMA 5 months ago

  nendeni wenyewe mkaone

 • Obadia Malopa
  Obadia Malopa 5 months ago

  Mkurugenzi anaongea maneno rahisi kwa kuwa yeye anapata kila kitu na anaishi pazuri.Inasikitisha sana.

 • Wamala Ibrahim
  Wamala Ibrahim 5 months ago

  Watabakia kusubilitu hayo siyomaneno ya kiongozi nanijuhudi yenu watu munaongoza wapate maisha mazuli

 • YUSUFU KAZAMBA
  YUSUFU KAZAMBA 5 months ago

  viongozi wengi wa Afrika ni vipofu hata km wanajifanya kuona

 • Mustapha Tibaijuka
  Mustapha Tibaijuka 5 months ago

  Hili ndo tatizo la viongozi wa Afrika wakisha kula wakashiba wanawabeza wananchi wao walio waweka madarakani

 • Bahati Masolwa
  Bahati Masolwa 5 months ago

  Ukabira unawaumiza wakenya. Naimani watu wa Kabira Fulani wangekuwa wananjaa wangepata misisaada ya kutosha.

 • Mwasiti Ramadhan
  Mwasiti Ramadhan 5 months ago

  Ishi huyu kiongoz wakenya wangempima kwanza akili kabla hajaongea!watu wanautapiamlo wa njaa ye anataka ushahid upi chiz kweli hilo

 • Ritha Donatus
  Ritha Donatus 5 months ago

  Kenya Kuna uongozi mbaya sana , wao wanakana hakuna njaa wakati watu waho wanakufa kutokana na balaa la njaa na ukame..shirika la msalaba mwekundu wanatakiwa kuangalia hili kwa Jicho la pili.

 • Farida Mkesso
  Farida Mkesso 5 months ago

  Hivi viongozi wa Kenya mna nini jamani kwa nini msiende huko mkajionea hali halisi ya ukame kwa kweli mnakera sana, hebu muwe na roho ya ubinadamu

 • BONGO UPDATES
  BONGO UPDATES 5 months ago

  james hana akili hata kidogo kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

 • BONGO UPDATES
  BONGO UPDATES 5 months ago

  afrika tuna viongozi matope kweli,stupid kabisa kama kwa macho huoni,utaona ukiwa kipofu??? from tanzania

 • Mohamed Muhidin
  Mohamed Muhidin 5 months ago

  Huyu jamaa anaye hoojiwa hataki kusema ukweli, watoto wake wako Nairobi Alafu anasema eti! Mutu akifa watu walete barua ya kuhakikisha!!!!!!!! Hiyo itasaydia nn?! Wanakula maali ya wakenya wabunge na mawaziiri na magavana na watu wanakufa njaa!!! Huyo jamaa aletwe mbele ya wakenya Alafu anyongwe

 • gigo tz
  gigo tz 5 months ago +1

  Mungu anawaona kenya

 • Mfaume Mfaume
  Mfaume Mfaume 5 months ago

  ewe rais wakenya saidiwananchiwako ona wanavyo teketea!?????

 • Abbas Adam
  Abbas Adam 5 months ago

  Viongozi wakenya wako kma viongozi tu waserekali nasio viongozi wawananchi wanakaa tu mijini nakula bata hawatazami watu wanateseka vijijini

 • Donation Kimati
  Donation Kimati 5 months ago

  nyie viongozi wa kenya acheni ujinga mnacheza na maisha wenzenu kisa nyie mnakula huyu kiongozi anaongea pumba kweli trup alisema waafrica ni matundu ya choo ni kweli.

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 5 months ago

  Ivi viongoz mna nini kwaiyo mnataka wat wote wafe ndo mtatoa misaada au mbona mnatia hasira jmn

 • Mchungaji Jesse
  Mchungaji Jesse 5 months ago

  Viongozi wa kisiasa Africa mbadilike...mind your people

 • Peter Kisongoro Mtey
  Peter Kisongoro Mtey 5 months ago

  KWELI aliyeshiba humjui mwenye njaa. Eti inawezekana wametembea umbali murefu! Na kukonda ni uzee!?

 • Josophat Ngeme
  Josophat Ngeme 5 months ago

  Kenya viongox m wapi, taifa kubwa hivyo mmeshindwa kusaidia watu wenu

 • Yusuph Jonathan
  Yusuph Jonathan 5 months ago

  Kwa nn wakatae kuwa watu wanakufa kwa njaa watalaniwa hawa viongoz

 • abasi bogga
  abasi bogga 5 months ago

  hao wakenya turkana wakasaidiwe haraka km mnamuogpa MUNGU.

 • Kelembu Kelembu
  Kelembu Kelembu 5 months ago

  sasa kama wananchi wanakiri kufa njaa Kwanini serikali inasema uwongo.?

 • Musa Ngao
  Musa Ngao 5 months ago

  Kenya haina haja ya kuanza kusubiri maripot au majadiliano tumieni macho tu nakupeleka chakula si vzr watu kufa kwa njaa kama hamna uwezo huo ombeni kwa majirani!

 • Stephen Mgema
  Stephen Mgema 5 months ago

  Si muende kuona, kwa nn msubilie kuletewa taarifa!? Go to the field, don't be a desk officer.....!

 • ahmed shariff
  ahmed shariff 5 months ago

  Ni kweli hakuna njaa kwa viongozi kwa sababu wao wanakula chips kwa mirija ndo maana wanasubiri mahakama ithibitishe kama kuna njaa Nchi hiyo

 • AMASHA KIGELULYE
  AMASHA KIGELULYE 5 months ago +8

  nyi viongozi Hamna akili wote ,watu wanaonekana kwa macho wameathirika unataka ufanye utafiti Wa nn?Kenya leadership Rabbish

  • Abuu Hafsah
   Abuu Hafsah 5 months ago

   Viongoz Wa Kenya ni wahuni hawa

 • Daniel Mafara
  Daniel Mafara 5 months ago

  Nikisikia eti Chama Omar Matata anakuja, huwa nasubiri habari matata! Jamani namupenda chama Omar! Just the way he reads the News

 • ernest sinje
  ernest sinje 5 months ago

  kenya please viongozi do something...

 • kahema chowdry
  kahema chowdry 5 months ago

  KWA NINI HAMUENDI WENYEWE KUONA -HII NDIO TATIZO LA VIONGOZI WA AFRICA

 • Peris Charlse Njoki
  Peris Charlse Njoki 5 months ago +1

  Wako na akiba na watu wanakufa?kazi ya akiba zao nini au uzaidisi wake nini? Wapumbavu nyie!!

 • Shungi Disho
  Shungi Disho 5 months ago

  disho shungi nipo raleigh north carolina marekani, nazitakia nchi zetu zote za africa ya mashariki nakati mafanikio katika mashindano ya afcon kule misri.

 • Shungi Disho
  Shungi Disho 5 months ago +5

  ina sikitisha sana kiongozi kukana kitu kinachoonekana wazi wazi.

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 5 months ago +1

  Msumbiji poleni sana

 • Boaz Sebastian
  Boaz Sebastian 5 months ago +1

  waanga wanakubali kwamba wamepoteza ndungu Kwa sababu ya njaa
  alafu nyie viongozi mnaleta siasa kwenye maisha ya watu ,sema ukweli watu wapate misaada

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 5 months ago +2

  KENYA mnachojua ni english language ambayo ndio lugha ya mashoga wenzenu lkn ukwel kuhusu watu kufa njaa hamtaki kusema

  • Melkizedeki Wiliam
   Melkizedeki Wiliam 5 months ago

   Da! ebwana umeona, Kenya wanachojua ni English tu. yaan! wanaona ktk vyombo vya habari watu wao wamekonda kwa njaa halafu wanataka kufanya utafiti. Da! hatar.

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 5 months ago

  Ndio upumbavu wa wanahabar wa africa mashariki angalia BBC wanatupa ukwel lkn waandishi hasa wa kenya mlivowajinga hamsemi ukweli japo mm ni m TANZANIA lkn hali kenya mi 1.1 wana njaa kenya embu vuken mpaka mje TANZANIA

 • Mnyama Mkushi
  Mnyama Mkushi 5 months ago

  Kongo ebolahaitaisha tatizo hawatakikuacha kula nyani

 • Mnyama Mkushi
  Mnyama Mkushi 5 months ago

  Huyo hajawahi kushinda njaa anaongea kamahajui anaongelea maisha yawatu atapata laanakubwa inamanahayo matundapori nyenye akipewa siataona kamakiama

 • Aloyce Stephan
  Aloyce Stephan 5 months ago +1

  Jaman viogoz wa Kenya bado mnakanusha tu kwamb hakun njaa hili hali wat wanaonekan kabis wamedhoofik ,Kwan kutambua njaa inahitaj degree ndug zang Kuna msemo unaosem mficha maradhi ugonjwa humuumbua ,mnaficha nn ? watu wanakufa kwa njaa nyie bado mnakanusha hiy do unity unaoimba kweny wimbo wenu wa taifa

  • Julius Kabalika
   Julius Kabalika 5 months ago

   Kenya buana, eti waliokufa walitembea umbali mrefu!! Wamekufa njaa aibu kwa serikali.

 • Elisabeth Ciragane
  Elisabeth Ciragane 5 months ago +4

  Kenya viongozi wabaya mmeshiba Ila njaa yasumbuwa watu wa hali ya chini Hadi kufa, kwa nini muone aibu? Endeni DRC mkaibe zahabu Kama Kagame ili mpate chakula ya KU wapa watu wenu msione aibu ombeni tu msaada ninyi Pia .

 • alfred Tembo
  alfred Tembo 5 months ago +2

  Hiii viongozi wa kenya wanaficha aibu lakini wacha mabwenyenye wakule pesa walalahoi wateseke

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi 5 months ago +4

  Halafu viongozi wa kenya wanasema hakuna njaa. Bure kabisa

 • mwaweko miuda
  mwaweko miuda 5 months ago

  Wakenya saidieni watu wenu wasiendelee kuteseka acheni kupindisha maneno watu wanakufa.

 • Rasiha Msangi
  Rasiha Msangi 5 months ago +2

  Eti tunaweza kusaidia mpaka miaka kumi hiyo michache mmeshindwa kumi ndio mtaweza kweli kwenye miti mingi kumekosa wajenzi

 • Kassim Juma
  Kassim Juma 5 months ago +5

  Tatizo ra Kenya ni ukabira maana kama wangekua wakikuyu wangesikirizwa mapema na msaada wangepata mapema.

  • Kim Rudiger
   Kim Rudiger 5 months ago

   @Elimisha Nyamoga mungu wako Akuongoze

  • Elimisha Nyamoga
   Elimisha Nyamoga 5 months ago

   Ni upumbavu wa serikali yenu ya kenya na huwa mnajiona wasomi sana sabb mnazungumza lugha ya mashoga wenzenu wazungu

 • bonny ngowo
  bonny ngowo 5 months ago

  I'm sick tired of African politicians.They never accept the truth;eti Kenya ina akiba ya chakula ya kutosha:eti mutu alitembea umbali mrefu.....uhhhh

 • Ngome tv Arusha
  Ngome tv Arusha 5 months ago +2

  Huyu mkenya anayehojiwa kuhusu njaa na watu kufa kama kusoma hajui ata picha huoni kwan mkikiri kuna njaa na vifo nitusi kwani njaa huletwi na mtu kirini ili wenye nacho wawagaie

 • Nepo Rura
  Nepo Rura 5 months ago

  BBC sijawapata wiki Jana nzima