BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 02.09.2019

Share
Embed
 • Published on Sep 2, 2019
 • Na Salim Kikeke & Beryl Wambani

Comments • 41

 • Gesche Tuchtfeld-Haug

  Is there a swahili-subtitle available for the news?

 • Mohamed Ali Rajabu
  Mohamed Ali Rajabu Month ago

  Asante sana NASSOR kwa kutuwakilosha ZANZIBAR

 • Almost Goro
  Almost Goro Month ago

  Thanks BBC swahili

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz Month ago

  tunakuombea mtanzania mwenzetu unaeshiriki mashindano ya mbio za boti Allah akupe ushindi uitangaze tabzania yetu

 • Walivyo Juma
  Walivyo Juma Month ago

  BBC muko vizuri habari zenu ni zenye uwakika mno

 • Ramadhani Hassani
  Ramadhani Hassani Month ago

  shukrani BBC

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago

  Afrika kusini ilitakiwa isipate Uhuru,watu wake wana roho mbaya sana yaani ni bora tu wangeendelea kutawaliwa na mazungu...!

  • DAR TOWN
   DAR TOWN Month ago

   Afrika Kusini Ni wanyama

 • Hamad Ali
  Hamad Ali Month ago

  wakt mm nimshabik wenu mkuu

 • Hamad Ali
  Hamad Ali Month ago

  salim mna zingua hamnipi taarifa baadh ya xku

  • Romeo Romeo
   Romeo Romeo Month ago

   Jumamosi na Jumapili hawako hewani.

 • Hassan Hassan
  Hassan Hassan Month ago

  Hongeren bbc

 • James Mahatane
  James Mahatane Month ago

  Duniani tuna pita tusi gombane kwa jambo lolote sisi ni binadam tu zaminiane kwa kila jambo na kwakila nchi

 • Martini Sadru
  Martini Sadru Month ago

  Salm uko vizurl jamaa etu

 • SANGA BUTO
  SANGA BUTO Month ago

  Nawapata vizuri sana toka tabora tz

 • A B
  A B Month ago +1

  BBC tunawapa vizuri, sasa tupo Kusini mwa Afrika.
  Hali ni tete dhidi ya wageni na mali zao kule Jhb na Pretoria.

 • Ben Gallet
  Ben Gallet Month ago +1

  Kutoka kati kati ya jiji LA mwanza Ben Gallet BBC

 • Ashrita Abdallah
  Ashrita Abdallah Month ago +1

  Hawa waafrika kusini kwanini wanapenda kuwanyanysa waafrika wenzao?

 • Daudi Siloma
  Daudi Siloma Month ago

  Thanks bbc nawapata nikiwa Zanzibar

 • Uledi Mtumwa
  Uledi Mtumwa Month ago

  South Africa ni balaa sana

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason Month ago

  Asante shekh wang

 • Dj Tumaa Classic
  Dj Tumaa Classic Month ago

  Bonyeza subscribe dj tumaa classic uone MAAJABU

 • Dj Tumaa Classic
  Dj Tumaa Classic Month ago

  Bonyeza subscribe dj tumaa classic uone MAAJABU

 • Jacob Masaki
  Jacob Masaki Month ago +2

  Nawapata vizuri kutoka kilimanjaro sanya juu

 • Blessing Fataki
  Blessing Fataki Month ago

  ❤️❤️bbc swahili 🇨🇩

 • Gerald Joel
  Gerald Joel Month ago

  Majanga kweli Nawapa pole wote

  • Michael Kadege
   Michael Kadege Month ago

   Kweli Italy kuna ubaguzi sana wa ragi mm mweyiewè nimeona maiko elisha kadege kutoka torino Italia

  • Dj Tumaa Classic
   Dj Tumaa Classic Month ago

   Bonyeza subscribe dj tumaa classic uone MAAJABU

 • Zack Richard
  Zack Richard Month ago +1

  nawapata vzriii...nikiwa manispaa ya Iringa

 • Zack Richard
  Zack Richard Month ago +2

  hii ni BBC ...thanks

 • Thobias Odhiambo
  Thobias Odhiambo Month ago +1

  Asante BBC kwa taarifa murua. Tunawapata vizuri sana kutoka mjini Karagwe.