BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 09.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 9, 2019
 • Na Salim Kikeke

Comments • 49

 • Rock City Native
  Rock City Native 4 months ago

  Alafu BBC msipotoshe watu, si kwamba watu hawataki siasa za majukwaani ila kuna mtu mmoja Kashazipiga marufuku na sasa amebaki yeye tu nchi zima anazunguka kufanya siasa yeye pamoja na wapambe wake tena kwakutumia kodi zetu sisi wanyonge. Hata huku mitandaoni tuna andika roho zikiwa mikononi.

 • Iddi Bale
  Iddi Bale 4 months ago

  tatizo hawaoi

 • Welongo Jack Son Weljacxe

  Nipo mubashara

 • Lameck Ntamala
  Lameck Ntamala 4 months ago +2

  nawapongeza sana kituo pendwa BBC swahili

 • asiliyake chuma
  asiliyake chuma 4 months ago

  Mdude ndio nan

 • Godfrey Lyimo
  Godfrey Lyimo 4 months ago

  Malema bado wakati wake!! Vyama hivi vilivyoasisi siasa za mataifa ya Afrika ni ngumu sana kivitoa kwasbb vyama vya upizani vimejijenga mijini ambako watu wake hawapigi kura lakini wako busy na siasa za mitandaoni

  • Rock City Native
   Rock City Native 4 months ago

   Godfrey Lyimo
   Hata vijijini kuna watu wengi tu hawapigi kura. Tatizo watu wengi hasa wapinzani hawana inani na wasimamizi wa uchaguzi hivyo hususia kupiga kura na kubaki kupambana kwa kutumia mitandao.

 • Mac Kiteka
  Mac Kiteka 4 months ago +1

  Hizi issue zinachukuliwa poa poa ila zinaitia doa Tanzania yetu, tusubiri matunda yake

 • Mishael Misana
  Mishael Misana 4 months ago

  Kila la kheri africa kusini

 • Mwanaharabu Kunga
  Mwanaharabu Kunga 4 months ago

  Pumzika kwa amani Mzee Mengi

 • Freemason Africa Makao Makuu Tanzania

  Kwani ukiwa mkosowaji wa serekali
  Ndio wakuteke jamani ccm jamani mbona mnafanya hivi

 • Almost Goro
  Almost Goro 4 months ago +1

  Thanks BBC swahili

 • Ismail Buchwa
  Ismail Buchwa 4 months ago +1

  Ulikua usiku mwingine tena wa kindumbwindumbwi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…penda sa zuhura yunus

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +1

  Haaaaaaaaa ni ajabu ila spurs atapigwa tuuu ,liverpool moto wa kuotea mbaaal spurs atawapiga ao ao vifaaa duro na sio kumfunga liverpool ......NEVER NEVER .

 • Adil Haj
  Adil Haj 4 months ago +2

  Nawapata vizur tuu muko vyema .adil haj from fiji island

 • anthony patrice
  anthony patrice 4 months ago +1

  asanteeeeeeee sana kwa taarifa

 • Ibnu Ally
  Ibnu Ally 4 months ago +4

  Ukitaka ugomvi na watu wasiojuilikana ikosoe serikali ya CCM

 • NIGHMUN
  NIGHMUN 4 months ago +2

  Duh PS izo

 • Salim Doctor
  Salim Doctor 4 months ago +2

  Chaliii ya R

 • Ibnu Ally
  Ibnu Ally 4 months ago +2

  Huyu papa haogopi kufuatilia ishu za watu

 • Arahaman mdee
  Arahaman mdee 4 months ago +1

  Makonda katukosea sana wachaga

 • Siwema Melchior
  Siwema Melchior 4 months ago +1

  Tanzania tumepoteza kiungo muhimu katika uchumi. Apumzike kwa amani.

 • Siwema Melchior
  Siwema Melchior 4 months ago +5

  Tume ya Uchaguzi Afrika Kusini tendeni haki katika uchaguzi huu.

 • mbaraka Ahmed
  mbaraka Ahmed 4 months ago +6

  pole xna ,,kamanda mdude , cc sote tutakufa kutetea hk hii bro,xo don't wory

 • Muki Kibati
  Muki Kibati 4 months ago +2

  Mnakosoa hamsifii

 • Abdul Dude
  Abdul Dude 4 months ago +1

  BBC mko vizur nawapata mwanzo mwisho endeeleen kutupatia habar

 • Abdrasheed kansimba
  Abdrasheed kansimba 4 months ago +1

  +255

 • Jamal Mmoja
  Jamal Mmoja 4 months ago +3

  Bbc swahili acheni kupamba mambo ila nahic anaewapa taarifa nimzandiki
  Huyo mnaemuita mkosowaji wa serikali yetu ya Tanzania hafahamiki wala hana ukosowaji wowote
  Wako wakosowaji tunaowafahamu cc
  Huyo mbugilambugila hafahamiki hata

  • asiliyake chuma
   asiliyake chuma 4 months ago

   Mdude kuma2

  • Adroph William
   Adroph William 4 months ago

   Jamal Mmoja Huna lolote unalojua

  • Godfrey Lyimo
   Godfrey Lyimo 4 months ago

   Taifa hili kama vijana tutajijengea chuki sbb ya itikadi za siasa kama ninavyoona conversions kwenye comment ni hatari..Taifa letu sote na siasa ni ulingo tu wa kutawala

  • George Tryphone
   George Tryphone 4 months ago

   @Kassim Mohammed wew bwege tuuu

  • Bby Aams
   Bby Aams 4 months ago

   asante bbc

 • Laurian Simon
  Laurian Simon 4 months ago +2

  Nawapata vizuri