BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 11.09.2019

Share
Embed
 • Published on Sep 11, 2019
 • Na Zuhura Yunus

Comments • 46

 • Mishael Misana
  Mishael Misana Month ago

  Hicho kivuko kilitutesa sana ila mm namshukuru mungu maana nilinusulika katika ajari hyo,ila sitosahau 20/9/2018 saa 7:48 mchana siku ya alhamisi

 • Philipo humphrey
  Philipo humphrey Month ago +1

  Haki itendekeeee juu ya wakenya,especially huyo mzeeee

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. Month ago

  Amen amen. Pole Zimbabwe ,pole Afrika. Mungu aturehem. Amen.

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. Month ago

  Amen amen . wakolini waliwatenda babuzetu vibaya. Hadi leo sijui babu yangu mzaa Baba sijui kafia wapi wala kazikwa wapi. Inauma sana na kusikitisa. Mungu atusaidie. Amen.

 • modest tryphone
  modest tryphone Month ago +2

  Mungu Muumbaji simamisha ufalme wako wa milele vita ikome kwenye uso wa dunia

 • Uledi Mtumwa
  Uledi Mtumwa Month ago

  Kenya watwana wa wazungu. Poleni ardhi wazungu warudi kwao.

 • Mwanaisha Hussein
  Mwanaisha Hussein Month ago

  Wazungu acheni viburi vyenu wapatieni wakenya haki zao na malipo ni duniani kwa MUNGU hisabu

 • Lion Land Safaris
  Lion Land Safaris Month ago +2

  13:35 ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ ALLAH asiwasamehe wale wote wanayewatesa watu kwa KIBURI na DHULMA.

 • Rocky star nyota3 5G
  Rocky star nyota3 5G Month ago +1

  freedom ๐Ÿ”™๐Ÿ”œkwasababu vita na vurugu zisizo na maana siyo suruhisho kwa dunia ya leo

 • Lugano mwambulukutu
  Lugano mwambulukutu Month ago +4

  Nchi za kiislam hakuna aman ata kidogo

  • Zahara Hasan
   Zahara Hasan Month ago +1

   @Lugano mwambulukutu
   Ww sio kafiri wao ndo kafiri sema tuu hawajijui , wanajihesabia haki
   Wao ni kafiri wa matendo

  • Lugano mwambulukutu
   Lugano mwambulukutu Month ago

   @mohamed Aideed kama makundi ya kigaidi yanatoka uingereza na marekani sawa mnao tuita makafiri tunaishi kama tuko kanani

  • Lugano mwambulukutu
   Lugano mwambulukutu Month ago

   Mimi naishi kwa amani Tanzania Na ukafiri wangu vipi Iran, vipi Iraq, kwa watukufu wanakufa kama kuku

  • Zahara Hasan
   Zahara Hasan Month ago

   Mohammed
   Ww mwenyewe ni kafiri , unamatamshi ya kikafiri hovyoooo

  • mohamed Aideed
   mohamed Aideed Month ago

   Sababu ni ndugu zako makafiri kutoka ulaya

 • Muba Mdetele
  Muba Mdetele Month ago

  Mungu awalinde bbc

 • moseshamis Lions
  moseshamis Lions Month ago

  Kudai aridhi nami naliunga mkono asilimia Mia,tena ikibidi wafukuzwe tyu sababu aridhi iko Africa na sio ya bara la ubaya kila mtu ajivunie cha kwao,

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz Month ago

  wakoloni walitesa watu mno na kuleta maradhi ya kila aina ivi ni lini afrika tutakuwa huru?

 • Simon kasato
  Simon kasato Month ago

  Imenitia moyo methali ya kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa ugomvi

 • Simon kasato
  Simon kasato Month ago

  Wakenya gangeni yajayo

  • Nehemia Eskaka
   Nehemia Eskaka Month ago

   Kama mliwanyang'anya aridhi na mkawaua shelia itende haki

 • Ernest sinje
  Ernest sinje Month ago

  ardhi ya kenya mpaka leo bado inamilikiwa na makampuni ya uingereza

 • hassan abdul kilomba
  hassan abdul kilomba Month ago +2

  its right for Kenyan land to return back and to see all land Lee's are removed soon

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago

  Huyo waziri wa UK jinga sana..!

 • tz m n y
  tz m n y Month ago +2

  UK. Nyinyi ndio mlio zulumu haki za wakenya. na mnaendelea kutuzulumu wa afrika alafu mnaubili democras

 • Wiliam Keita
  Wiliam Keita Month ago +1

  AMERICA NAJUA INACHOCHEA MAPIGANO HAYA MATAIFA YAKIARAB ILI KUHAKIKISHA USALAMA WAO WABADAE ILA DUNIA NA ASASI ZA HAKI ZA KIBINADAM WANAPASWA KUSIMAMIA UKWELI WA HAKI WANAO ASIRIKA HAWANA HATIA. US INGERUDISHA WANAJESHI WAO NA VIFAA VYA VYA KIVITA KWAO

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason Month ago +7

  Hakika ZUHRA ni fest left tazama anavyojistir uvaji wake

  • Maher zain
   Maher zain Month ago +1

   Kabisa.na wengne kina maryam Omar wachukue mfano

 • Hasani Ally
  Hasani Ally Month ago +1

  Amani nikitu chenye thamani sana

 • Ump Ump
  Ump Ump Month ago +1

  Jana sikupata BBC hakuingia kwangu na vile naipensa sana๐Ÿ™„

 • Hassan Khalifa
  Hassan Khalifa Month ago +5

  Zuhra kwakwel ni mwanamke wa kuigwa kimavazi mpaka utangazaji

  • Maher zain
   Maher zain Month ago

   Kwli kabisa.huyo maryam Omar afuate mfano

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga Month ago +6

  Sasa hapo wanaopigani ni IRAN na marekani????au yemen na waasi nyie wamarekani kwakweli hukumu ya MUNGU itawakumbaa tu sababu mnauwa watu kwa ajili ya maslai yenu

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga Month ago +2

  Kama sheria inataka mupime upywa pimeni ardhi muwekezaji apate ardhi yake halali na hao wananchi wapate fidia zao kwa sababu walichukua ardhi kinyume na sheria au sheria za wakat huo zikikuwa mbovu

 • Onesmo Josephat
  Onesmo Josephat Month ago +1

  Sema taarifa ya Jana ckuipata, cjui shida ilikuwa nn?. Lkn tuko pamoja, # BBC Swahili.

 • Issa Mohd
  Issa Mohd Month ago +2

  Ahsante Zuhura Yunus kwa habar

  • Haji Omar
   Haji Omar Month ago

   Warabu munafeli wp mbon vita kila mda na munapesa kubwa inathaman nyie ndo munatakiwa kuongoza dunia em tulien

  • MUSTAPHA MCHUCHA
   MUSTAPHA MCHUCHA Month ago

   Iran technology imeja

  • MUSTAPHA MCHUCHA
   MUSTAPHA MCHUCHA Month ago

   marekani tafadhali yaone mataifa hayo hayo sio Iran uiwezi

  • Adam Kondo
   Adam Kondo Month ago

   poleni tunawaombea

 • BONIFACE MUATHE
  BONIFACE MUATHE Month ago

  thexvid.com/video/vYKOPEeIo-A/video.html

 • Nuru Abdallah
  Nuru Abdallah Month ago +1

  Wazungu niwaizi warudisha mashamba ya wenyewe

 • YOKAMA Tz
  YOKAMA Tz Month ago +2

  BBC oyeeeeeeh

  • kashindye ngamba099
   kashindye ngamba099 Month ago +1

   Tatizo la BBC wao ni kutangaza zile habari mbaya za afrika tu!

 • Richard Fedrick
  Richard Fedrick Month ago +10

  Nitazidi kuwakubali leo mm ni wakwanza gonga like zenu