AIC Mpanda Town Choir

Share
Embed
 • Published on Jul 26, 2017
 • Mfuko Uliotoboka
 • MusicMusic

Comments • 77

 • mutagaywa kampa
  mutagaywa kampa 29 days ago

  Wimbo uko vzuri sana

 • Veronica Kasanga
  Veronica Kasanga Month ago

  yeye alisema nijaribu muone kama sitafugua

 • JOHNSON JULIUS
  JOHNSON JULIUS Month ago

  Huu wimbo umejaa nguvu ya Roho Mtakatifu sana ndani yake maana unanibariki sana.

 • JOHNSON JULIUS
  JOHNSON JULIUS 2 months ago

  Wimbo huu umenigusa sana ktk suala la kumtolea Bwana. Mbarikiwe sana na Yesu Kristo aliyehai.

 • Ayoub Mgella
  Ayoub Mgella 3 months ago

  Hongereni Aict Nawapendaga sana kwa nyimbo zenu zenye kugusa na kufundisha

 • Daud Stivin
  Daud Stivin 3 months ago

  God bless uuuu

 • Emama Zakalia
  Emama Zakalia 3 months ago

  Zuri sana hiyo nimeipeda

 • Lawrence Sabiti
  Lawrence Sabiti 3 months ago

  NIMEGISWA SANA NA WIMBO WENU MUNGU AWABARIKI

 • Upendo Mhewa
  Upendo Mhewa 3 months ago +1

  Daah!! nmeipenda sanaa! Solo list big up saanaa!!

 • Eddah Mwampagama
  Eddah Mwampagama 4 months ago

  Nawapenda saana

 • Boniface Cokouvi
  Boniface Cokouvi 6 months ago

  GOD BLESSED YOU

 • HEKIMA MGENI
  HEKIMA MGENI 6 months ago

  Haya mengine yote niziada kikubwa uxafi wa moyo tu❤

 • Mfakwa Sarakikya
  Mfakwa Sarakikya 7 months ago

  Remiiiiiiiii...... umeufanyia wimbo kweliii.... sastein ya nguvuuuuuu hongereni wanakwaya

 • Mashaka Sylivester
  Mashaka Sylivester 7 months ago

  Mbona nyimbo zingine za album hii bado hamjaziweka

 • ISMAILI MANDAY
  ISMAILI MANDAY 7 months ago

  Karibuni na katesh

 • Ruth Muja
  Ruth Muja 8 months ago

  Good song

 • FEISSAL MTINGINYA
  FEISSAL MTINGINYA 8 months ago

  Ampanda

 • Peter Kay Kimanthy
  Peter Kay Kimanthy 9 months ago

  soo nice hii nimeitazama na kuiskiza zaidi ya mara hamsini sasa...kazi saaaaafi.

 • daudi hamisi
  daudi hamisi 9 months ago +1

  Nabarikiwa Sana nany

 • Ashel Abel
  Ashel Abel 10 months ago +1

  Safi sana ujumbe mzuri mbarikiwe

 • Sophia Msuya
  Sophia Msuya 11 months ago +1

  Jamani mimi huu wimbo nakupenda Sana unani bariki mimi Sana nafarijika kwakweli mwenyewe unasaut nzuri iliyopewa na mungu

 • aganyila ayubu
  aganyila ayubu 11 months ago +1

  MBARIKIWE

 • Eve Makula
  Eve Makula 11 months ago

  SOLOLIST BIG UP

 • Johar Jonas
  Johar Jonas 11 months ago

  penda sana wew

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa Year ago +1

  Lakini kutafuta mtu kusaidia kuinua si shida,nchi za wenzetu wanatafuta anayeweza hata kwa gharama yeyote ili wafanikishe wasitumie tu nguvu za giza kuwezesha uimbaji hilo tu halikubaliki,SDA Rwanda wanakodi mtu kutoka nchi ya Uganda ili waimbe vizuri

 • Emanuel Kisena
  Emanuel Kisena Year ago +1

  Nymbo nzur sana...Amen

 • maryam matar
  maryam matar Year ago +1

  Tumien vibaji vyenu msikodi watu ni aibu kuwaimbia

  • Nickson Thomas
   Nickson Thomas 28 days ago

   Hiyo aibu iko wapi dada acha wivu watu tumebarikiwa kushirikiana inapendeza na inaleta changamoto na kujifunza pia hata kama audio kaimba mwingine na video mwingine hakuna dhambi Kristo ameinuliwa na hisi ninyi ndio wale wenye roho za mashindano mnaopenda mema yawe kwenu tu watu wakitaka kuboresha jambo liwe jema kwa utukufu wa Mungu ndio vitu kama hivi vinainuka ooh mara wamekodi mara sio wakwao huyo, duh!! Kama ss wote ni wa Kristo yeyote anayemtumikia Kristo ni wakwetu mahali popote!!! Waimbaji mmbarikiwe kazi yenu ni njema hata akiimba mzungu na sauti yake muigize jina la Bwana litainuliwaaaaa AMEN

  • Neema Masengwa
   Neema Masengwa 8 months ago

   Hii sauti ya solo wa aic mwanza

 • maryam matar
  maryam matar Year ago

  Mbona mnagandamizia sauti hii sauti niya remi

 • Ibrahim S Lyaka
  Ibrahim S Lyaka Year ago

  God bless you

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa Year ago +1

  Mbona AIC wote wana sauti moja mikoa yote?

  • Nickson Thomas
   Nickson Thomas 28 days ago

   Tumebarikiwa kwa wimbo hayo mengine tupa kule,,kushirikisha masololist hiyo ni moja ya umoja na ushirikiano na inapendeza katika Kristo nawashangaa mnaoponda!!

  • JAPHET ANDREA
   JAPHET ANDREA 10 months ago

   +maryam matar kwel tena wmbo unaitwa mm n Mt nlyeona Mateso kaaimba hyo saut

  • maryam matar
   maryam matar Year ago

   Trophaina Magogwa sauti niya solo mmoja anaimba nyakato mwanza hao wamegandamizi tyu

 • Jacob Kilai
  Jacob Kilai Year ago

  Excellent Gospel , May God bless you.

 • Leah Shilatu
  Leah Shilatu Year ago

  amina

 • peter tarihwa
  peter tarihwa Year ago +1

  solo remi abarikiwe sana

 • makolo majura
  makolo majura Year ago +1

  Mungu awatie nguvu ili injili isonge mbele

 • Rachel Elias
  Rachel Elias Year ago +2

  Mungu azidi kuibariki kazi yenu 🙏

 • Meshack Magwesela
  Meshack Magwesela Year ago +1

  Mungu awabalikini sana na kuwalinda katika kazi zenu

 • Simon Makau
  Simon Makau Year ago +1

  Wimbo mzuri sana, unaobariki...

 • Caroline John
  Caroline John Year ago +4

  Huduma nzur saaana lkn msifanye vitu kwa kutegemea watu jaribun kujifunza tu uimbaji ili mpate masololist msitegemee watu wengine kuwasololia!!

  • Ananias Josphat
   Ananias Josphat 3 months ago

   Solo wa wimbo anaitwa Remy wa nyakato mwanza!!
   lkn siyo mbayaaa

  • Veronica Andrew
   Veronica Andrew 7 months ago

   Caroline John noMI

  • consolata anyango
   consolata anyango 8 months ago

   having the same feeling here waaa haviendani na hiyo muimbaji

  • kinyumb Mapunda
   kinyumb Mapunda 10 months ago

   Caroline John hee!!! huyo solo sio wa hiyo kwaya?

  • Ludovick Mseka
   Ludovick Mseka Year ago

   Caroline John sio mbaya dada, wakiwa wanahudumu huwa hawachukui watu, hii in huduma lkn ni mradi wa kwaya lzm wawe serius, hawa ni wajanja sana wametafuta nani atawatoa wakaona wachukue jembe

 • Regina Joshua
  Regina Joshua Year ago

  mungu awabark San mpanda

 • daniel mwendwa
  daniel mwendwa Year ago

  nice and encouraging song may God bless the entire organization so much

 • Scolastica Mwete
  Scolastica Mwete Year ago +1

  jaman nabarikiwa saaaana huu wimbo. mungu awabariki waimbaji wooote

 • Fednan Crew
  Fednan Crew Year ago +1

  Wonderful and excellent job. God Bless you. Sweet and awesome voices and music

 • Elimwema Zacharia
  Elimwema Zacharia Year ago +1

  Amen Bwana wa Majeshi atende jambo kwenu

 • Mandela Mashombo
  Mandela Mashombo Year ago +2

  namkubali sollo sana

 • Masoud Sospeter
  Masoud Sospeter Year ago

  mko vzr sana

 • Alfled John
  Alfled John 2 years ago

  kazen moyo katika kuifany huduma ya mungu Aict mpanda. mimi yohana zakalia kutoka ibindi amina#

 • zilpa murumwa
  zilpa murumwa 2 years ago +1

  Nice song

 • Phanuel Makaya
  Phanuel Makaya 2 years ago +1

  Good

  • Colleta Gibson
   Colleta Gibson Month ago

   Hongereni kwakujitoa mbarikiwe kwa uimbaji mzuri

  • Stephano Muganda
   Stephano Muganda 3 months ago

   Ameen mam G Mungu na azidi kukubariki.

  • Jackson Simon
   Jackson Simon 7 months ago

   mtc nawapenda sana, MUNGU kama aishivyo utukufu una yeye milele hata milele utufuku mpaka utufuku! safi sana

 • Edwin Lugata
  Edwin Lugata 2 years ago +1

  Nabarikiwa Sana mpanda Mungu awabaiki Sana hakika Mungu tumjarib kwa matoleo na tupate baraka thankx,,,,,,

  • Hesbon Kibegwa
   Hesbon Kibegwa 10 months ago

   Well encouraging song which express God is character, give generously!!!

  • Hesbon Kibegwa
   Hesbon Kibegwa 10 months ago

   Hi mpanda, awesome song!!!

  • Benjamin Edward
   Benjamin Edward Year ago

   Nabalikiwa Sana haipo laha igine Kama uimbaji

 • Emmanuel J Ng'wenga
  Emmanuel J Ng'wenga 2 years ago +3

  Mungu awatie nguvu katka kuifanya kazi yake

 • Sospeter Mgendi
  Sospeter Mgendi 2 years ago +1

  mungu awabariki sana

 • Juds Jamsi
  Juds Jamsi 2 years ago +1

  angera sana

 • Nainai Mvala
  Nainai Mvala 2 years ago +4

  bigup mpanda choir

 • Milka Pando
  Milka Pando 2 years ago +1

  huduma yenu izidi kubarikiwa AIC Mpanda

 • Emmanuel James
  Emmanuel James 2 years ago +2

  Barikiweni Sana

 • Kilasa Elisha
  Kilasa Elisha 2 years ago

  weka zote