BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 13.09.2019

Share
Embed
 • Published on Sep 13, 2019
 • Na Mariam Omar & Zawadi Machibya

Comments • 49

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. Month ago

  Amen amen. Mungu wa Mbingu na Nchi atusaidie Waafrika mana naona Bara letu katika mazabau isiyo ya Mungu. (Mungu aturehem , atulinde , atuepushe na mabaya na wasiyo itakia Afrika mema). Amen amen.

 • ikrissa idrissa
  ikrissa idrissa Month ago

  fuck washatuambukiza hawa 😷

 • Pendael Ulanga
  Pendael Ulanga Month ago

  Agenda za siri za mataifa yasopenda maendeleo zaendelea . C.ai ae waanza agenda kwa nini ghafla tuu wahusika wakajitokeza kutoa tahadhari kwa watu wao wakiwa wameshapandikiza virusi

 • Pendael Ulanga
  Pendael Ulanga Month ago

  Unajaribia kwa binadamu ? Wa Afrika hatuna akili

 • Pendael Ulanga
  Pendael Ulanga Month ago

  Wanazidi kupandikiza matatizo ya magonjwa Afrika na wakashindwe katika jina la Aliye Juu. Waafrika Tuamke tuwe makini na hizi chanjo mnakumbuka yalotokea Libya? Mnakumbuka yanoendelea DR congo

 • Muba Mdetele
  Muba Mdetele Month ago

  Tupo pamoja bbc

 • Danis Silunde
  Danis Silunde Month ago +1

  Nyakatj za mwisho, Ee Baba nyosha mkono wako na utufanyie wepesi tz.

 • Salama Khamis
  Salama Khamis Month ago +2

  Huku kwetu tuna chanjo ya Kansa yakizazi tukimaliza hio sijui tutaletewa yanini. Mungu. tulinde na. ajenda hizi. za siri

  • Pendael Ulanga
   Pendael Ulanga Month ago

   Sana wanazidi kutudhoofisha hawa jamaa viongozi Wa Africa mbugira mbugira kukubali kuletewa virusi maana hatunauwezo Wa kugundua madhara kwa miaka ijayo

 • Abdallah Kawambwa
  Abdallah Kawambwa Month ago

  Dada mariamu watangaza vizuri lakin shungi tuu lakin Dada ukovizuri

 • Beasi Mwambene
  Beasi Mwambene Month ago

  Habali. Nzuri mbona matatizo. Hayaishi

 • Zuhura Muhanga
  Zuhura Muhanga Month ago

  Sasa kilachanjo lazima wajaribiwe watu weusi

 • abuuman mansour
  abuuman mansour Month ago +1

  Nyie bbc makafir nyie khabar zenu kuhusu mujahidini WA boko haramu ni za uongo

 • Hassan Makoye
  Hassan Makoye Month ago +1

  Wazungu wanatuzngua xxi mbona wao hizo chanjo hawatoi ?

  • Pendael Ulanga
   Pendael Ulanga Month ago

   Wanatudhoofisha watanzania tusikubali wanatafuta kiki ya kuleta chanjo zao zenye wadudu

 • abuuman mansour
  abuuman mansour Month ago

  HASANI ally we ni kafir murtad llaana tullah

 • emily clemence
  emily clemence Month ago +3

  Matatizo mengi ya Africa kama vile civil war, magonjwa chanzo ni nchi za magharib hakuna ubishi hapo ukitaka kuamin angalia zile nchi zenye resources ndizo zenye ugomvi wenyewe kwa wenyewe kama congo.

 • joseph mboya
  joseph mboya Month ago +3

  Baada ya watu wasiojulikana ,sasa ni ugonjwa usiojulikana.

 • Mishael Misana
  Mishael Misana Month ago

  Mungu tunusuru na ugonjwa huo +255

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz Month ago +2

  nimeshtuka kusikia huo ugonjwa usiojulikana kuzuka katika nchi yangu tanzania eeh mola wewe ndio unaejua kila kitu katika dunia hi tunusuru na hayo maradhi yasitukumbe👏

 • محمد يوسف
  محمد يوسف Month ago +1

  INCHI ZA MAGHARIBI WAKITENGENEZA DAWA NA KUTAKA KUKUZA UCHUMI WAO WANATENGENEZA UGONJWA ILI DAWA ZAO ZINUNULIWE.

  • SAIDI RAMADHANI
   SAIDI RAMADHANI Month ago

   Na sisi tutengeneze ugonjwa tupeleke nchi za magharb af tutengeneze dawa nadhan tutaziuza sana kwan wengi kule ni matajr

 • faibath ollan
  faibath ollan Month ago

  Chanzo kaileta nani na imefanyiwa utafiti na nchi gani ikiongozwa na wataam wepi

 • Amir Lehao
  Amir Lehao Month ago

  Mungu ibariki Tanzania tusaidie kugundua huo ugonjwa

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago +7

  Mungu atuokoe Tanzania..,sasa watu wasiyojulikana wamerudi kwa style ya ugonjwa usiojulikana...!

  • Pendael Ulanga
   Pendael Ulanga Month ago

   Tutaletewa sumu hizo na tutajiua wenyewe

  • Pendael Ulanga
   Pendael Ulanga Month ago

   Wasojulikana ni wanaoleta chanjo iliyopandikizwa magonjwa yasiyojulikana tusikubaliane na hii chanjo. Nani anajua madhara ya hii chanjo kwa miaka 50 ijayo?

 • Hasani Ally
  Hasani Ally Month ago

  Hikaka wanayo wafanya boko haramu ni vitendo vya kigaidi

 • ahmed shariff
  ahmed shariff Month ago +3

  Ugonjwa usiojulikana + watu wasiojulikana = ........

  • Wahida Shabaz
   Wahida Shabaz Month ago

   haya magonjwa mengine watu wanayatengeneza ili kuuza dawa zao ila kiukweli watu wasiotupenda waafrika wanatumia nguvu nyingi kutaangamiza

  • IDRISSA JUMA KONA
   IDRISSA JUMA KONA Month ago

   Godfrey Makubo...hhhhhh

  • Godfrey Makubo
   Godfrey Makubo Month ago

   VIFO VISIVYOJULIKANA

 • Mathayo Wilson
  Mathayo Wilson Month ago

  NILIWAHI KUSIKIA MAREKANI KUWA MARALIA NI BISTORIA KWA KUWATIBU MBUU, NAMWAMINI MUNGU MTU MWEUSI ATAGUNDUA DAWA ITAKAYO TOKOMEZA MARADHI NDANI YA MBUU....

 • Zahir Suleiman
  Zahir Suleiman Month ago +4

  Allah atuhifadhi na majanga ya maradhi....

 • Onesmo Josephat
  Onesmo Josephat Month ago +4

  Eeee!! MUNGU Tunusuru Tanzania isije ikawa ni ugonjwa wa Ebola

 • TAMUswahili TV
  TAMUswahili TV Month ago +3

  tumechoka na machajo haya ya wazungu, hivi mtu mweusi atabadilika lini

 • Gerald Joel
  Gerald Joel Month ago +2

  Malaria ni tishiyo

 • Thobias Odhiambo
  Thobias Odhiambo Month ago +6

  Asante sana BBC kwa kutuletea taarifa nzuri na ya uhakika. Kikeke na wenzako mbarikiwe sana.

  • Hasani Ally
   Hasani Ally Month ago

   Hakika yanayo fanywa na hili kundi la boko haramu no vitendo vya ugaidi

  • Jamidu Swaibu
   Jamidu Swaibu Month ago

   Malaria mbna Africa tu