BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 21.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 21, 2019
 • Na Zuhura Yunus & Dayo Yusuf

Comments • 34

 • Getaro Magaiwa
  Getaro Magaiwa 4 months ago

  hongera BBC kwa habari nzuri""" Tunaomba muendelee kutujuza hivoooooo!!!!

 • Ramadhani Hassani
  Ramadhani Hassani 4 months ago

  zuhraaa Masha allah

 • Amon Loshilaa
  Amon Loshilaa 4 months ago

  Safi sana BBC we are getting all news around the world

 • Maseke Chacha
  Maseke Chacha 4 months ago

  Hogera sana Dada zuhuru kwakuturetea habari nzuri

 • Omary Nassor
  Omary Nassor 4 months ago

  No change africa

 • Petro Msigwa
  Petro Msigwa 4 months ago

  Poleni sana Dada zangu. Mwenyez Mungu awejuu ya mahangaiko yenu na aweze kuwainua. Inaumiza sana

 • Hajji Rama
  Hajji Rama 4 months ago +1

  Hongereni BBC Swahili kwa habari zenu

 • Moussa Tiger
  Moussa Tiger 4 months ago

  Naipenda BBC

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu 4 months ago +2

  Asante BBC kwa habari

 • Vañ Geź
  Vañ Geź 4 months ago

  Pongezi BBC

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 4 months ago +1

  Kwan hakuna njia mbadala mpka wajiuze jmn

 • Juma Habib
  Juma Habib 4 months ago +3

  Hongereni BBCswahil kwa habari za uhakika

 • Jacob Zawadi
  Jacob Zawadi 4 months ago +2

  Pamoja dira ya dunia tokea drc
  Yanayo tokea Sierra Leone lina sikitisha

 • Naila Mohd
  Naila Mohd 4 months ago +3

  Nice habari

 • michael samson
  michael samson 4 months ago +6

  DADA, UNASAUTI NZULI SANA NAPENDA SANA KUKUSKILIZA

 • Sadick Thobias
  Sadick Thobias 4 months ago +17

  Kama unamkubali ZUHURA YUNUS gongo like hapa

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason 4 months ago +2

  Asante mwanangu kwhabar nzr kazi njema

 • Yohanna Nyamwanga
  Yohanna Nyamwanga 4 months ago +2

  Wohonda kadadaa kazuri very safi nipe namba yako

 • anthony patrice
  anthony patrice 4 months ago +2

  ASANTEEE KWA TAARIFA LAKINI NAKUPENDA SANAAAAAAA ZUHURA

 • jarsa duba
  jarsa duba 4 months ago +2

  Asante BBC kwa habari

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 4 months ago +4

  Hao mabinti bora wamrudie mungu na wafanye kazi halali au waolewe kuliko kuwa makahaba

 • ibrahim tatock
  ibrahim tatock 4 months ago +4

  Hongereni waleta habari BBC mko vizuri tunawapata tulipo

 • bwire mark
  bwire mark 4 months ago +3

  I would like to give thankfully all BBC jounarist for giving good news#BBC

  • Elimisha Nyamoga
   Elimisha Nyamoga 4 months ago

   Ushaandikiwa kwamba ni idhaaa ya kiswahili sasa ww mbna unakuwa mtumwa wa lugha???

 • mbaraka Ahmed
  mbaraka Ahmed 4 months ago +4

  hakika nyny Ni zaid ya dira ya dunia

 • EDMOND ABDOUL
  EDMOND ABDOUL 4 months ago +1

  Sawa kabisa

 • Lameck Ntamala
  Lameck Ntamala 4 months ago +13

  hongeleni BBC Swahili kwa habari nzuri na zisizo na mashaka hakika ninyi nikituo bora Ulimwenguni# gonga like hapa twende sawa

 • Charles Mayilla
  Charles Mayilla 4 months ago +2

  Nawakubali kwa kusoma taarifa zilizo za kweli

 • ADOLPH GOZIBERTH
  ADOLPH GOZIBERTH 4 months ago +1

  Ahsante kwa habr

 • Emmanuel Samora
  Emmanuel Samora 4 months ago +5

  BBC Swahili nawapenda xn kwa taarifa makin

 • Eddi Malon
  Eddi Malon 4 months ago +4

  Gonga like wa kwanza leo.