BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 31.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 31, 2019
 • Na Salim Kikeke & Zawadi Machibya

Comments • 51

 • timothy musau
  timothy musau 4 months ago

  Kiswahili cha wacongo chachekesha.

 • Malson Kuniya Lekandu
  Malson Kuniya Lekandu 4 months ago +1

  Television ya bbc ndo pekee inafanya vzr mpaka sasa more appreciate

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu 4 months ago +1

  Asante BBC kwa habari

 • Nami crtl
  Nami crtl 4 months ago +2

  Allah tunakuomba weka neno lako na nguvu kwa watu wa Syria 🇸🇾 inshallh🙏

 • Hedaya Katembo
  Hedaya Katembo 4 months ago +1

  Mwenyezi Mungu wajaalie hii vita ishee inshallah.

 • Cosmas S Quintine
  Cosmas S Quintine 4 months ago +2

  Moyo wangu unaumia sana kwa yanayotokea Syria Mungu awatetee watu wake!

 • Heavenly Patric
  Heavenly Patric 4 months ago +3

  Jambo zuri Uganda 🇺🇬 mlilo amua

 • Young Yayoo
  Young Yayoo 4 months ago +1

  Kiswahili cha Congo mbona inafurahisha hvo

 • Muhammad Mahmoud
  Muhammad Mahmoud 4 months ago +3

  America inataka dunia nzma itawale+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦

 • DAR TOWN
  DAR TOWN 4 months ago +1

  Msiombe vita.

 • Simon Nzalia
  Simon Nzalia 4 months ago +1

  Nimefurahia sana msaada aliotoa mbwana samata

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 4 months ago +1

  Shukran sana bbc love you

 • Nyamushala Parfait
  Nyamushala Parfait 4 months ago +5

  Prayers for Syria 🇸🇾 😓😓😓🙏🙏

 • Bahati Masolwa
  Bahati Masolwa 4 months ago

  Kuweni makini na rekodi za michezo.

 • Zubeir Mohammedy
  Zubeir Mohammedy 4 months ago +3

  Inauma sana jinsi amerika wanavyoendelea kuharibu Syria

 • Fatma Jumaa
  Fatma Jumaa 4 months ago +1

  Kwao akina zari huko

 • Fatma Jumaa
  Fatma Jumaa 4 months ago +1

  Namuona km nabii tito kwambaali

 • Vañ Geź
  Vañ Geź 4 months ago +1

  Mungu asaidie syria🙏

 • Wahida Wahida
  Wahida Wahida 4 months ago +2

  Jamani siria mnateseka sana mpk natokwa na machozi watoto hawana hatia

 • Mishael Misana
  Mishael Misana 4 months ago +3

  Ongera mtoto wa chiseked kwa kurudisha mwili wa baba yako nyumban

 • Yohana Jakobo
  Yohana Jakobo 4 months ago +1

  Bbc mko vizuri

 • rich hurt
  rich hurt 4 months ago +1

  Asante BBC habari nzuri sana.

 • ANTHONY JOHNKISS
  ANTHONY JOHNKISS 4 months ago +2

  Ee Mungu angaza siria iwezekuwa na amani

  • Emmy Mchau
   Emmy Mchau 4 months ago

   Mungu awasaidie watu wa siria

 • mohamed rashidy
  mohamed rashidy 4 months ago +1

  Bbc mko juu

 • Romano Ntundu
  Romano Ntundu 4 months ago +2

  hapo unasema mara ya mwisho club za nchi moja kufika fainali si sahii... 2013-14Real MadridAtlético Madrid4-
  2012-13Bayern MunichBorussia Dortmund2-12011-)2009-10InternazionaleBayern Munich2-02008-_
  2007-08Manchester United vs Chelsea
  Milan vs Juventus 2002/3

 • Salim Mwakugomba
  Salim Mwakugomba 4 months ago +1

  Kiswahili cha kicongo kimenimaliza! #LubungaBya'Ombe ❤️

 • enock pascal
  enock pascal 4 months ago +1

  asanteeeeeee sana kwa taarifa

 • haji haroub
  haji haroub 4 months ago +2

  Safi sana BBC Swahil nawapata vyema nikiwa kizimbani zanziba

 • Daudi Darema
  Daudi Darema 4 months ago +1

  +255...🤔

 • Ngome tv Arusha
  Ngome tv Arusha 4 months ago +2

  Ee Mungu naomba urehemu siria hii ncho inamwaga damu sanaaa

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason 4 months ago +1

  Alhamndulillaah Allah awape her zao wanaijeria

 • HUSSEN KYANDO
  HUSSEN KYANDO 4 months ago +2

  BBC mpo vzuri Sana mungu awasaidie muendelee kutupatia habari kutoka sehem tofaut🙏🙏🙏 blessed BBC SWAHILI 💪

 • UVCCM MASWA
  UVCCM MASWA 4 months ago +3

  KIKEKE, ZAWADI, ASANTENI

 • gayany mwansasu
  gayany mwansasu 4 months ago +1

  kalibu na hujambo naipenda sana hiyo salama SALM ukojuu sana

 • Zena daud Zena
  Zena daud Zena 4 months ago +1

  Duhh mtu kafa kawekwa miaka2

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 4 months ago +1

  Tz tumevimisi sana viroba ase RIP viroba uko UG

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka 4 months ago +2

  Mungu wape amani wananchi wa sirya...,!

 • G.D D.G
  G.D D.G 4 months ago +1

  Asanteni sana

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 4 months ago +1

  Bora mwili wa TSHEKED uzikwe nyumban kwake azikwe kwa heshima zote na mila za kiafrica