BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 23.04.2019

Share
Embed
 • Published on Apr 23, 2019
 • Na Salim Kikeke

Comments • 60

 • Janeth Massawe
  Janeth Massawe 4 months ago

  Nawakubali sana

 • Julius Lupumbwe
  Julius Lupumbwe 5 months ago

  🤔🤔🤔🤔

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  mtamkumbuka kadafi marekani iriwadanganya mamuua bira hatia

 • danstan mrosso
  danstan mrosso 5 months ago

  Mimi nina uhuru wa kuabudu kama vile alivyo mwingine, sharti tu bila kuvunja sheria za nchi husika.Kwanini mwingine amchukie mwingine kwa kuabudu kwingine. Mungu tulinde.

 • A B
  A B 5 months ago

  Libya hapakuwa na mapinduzi. Ubabe na Uhaini wa Magharibi, NATO na vibaraka ndio waliomtoa Gadafi wetu.
  Ndio yale jilimwanaume shoga (senge), kumpindua mke halali wa ndoa na kutaka shoga hilo likae na mume wa mtu. Inaingia akilini?
  Uhaini au Mapinduzi?
  Tusiharibu na kubadilisha maana neno zuri “Mapinduzi”.
  Mapinduzi ni pale panapo ondolewa dhulma na kuweka haki.

 • A B
  A B 5 months ago

  Vikundi vya kidini walioegemea mrengo mkali vikifanya mashambulizi ya kigaidi, huwa hayaogopi kujitokeza lakini hatujaona kikundi chochote kimejitokeza na kudai shambulio hilo.
  Ni rahisi kuwalaumu na kuwazingizia Waislam, hapa ndio tunaona kuna kasoro kubwa sana.
  Hakuna mafundisho ya dini yeyote yanamrisha kwenda kuuwa waumini wa dini yeyote kwenye ibada zao. Huu ni unyama wa hali ya juu na unaashiria umefanywa na wana siasa kama Tamil Tiger au vikundi vya kijasusi. “False Flag”.
  Inasikitisha sana kuona binadamu wasiokuwa na hatia, wao ndio wanalipa kwa kupoteza maisha yao kwa ajili ya siasa mbovu, ajenda za kijinga zinazokanyaga ubinadamu kama vile Marekani na Demokrasia yake au Israel na Uzayuni wake.
  Mungu anapenda Amani kwenye ardhi yake.

 • A B
  A B 5 months ago

  Vikundi vya kidini walioegemea mrengo mkali vikifanya mashambulizi ya kigaidi, huwa hayaogopi kujitokeza lakini hatujaona kikundi chochote kimejitokeza na kudai shambulio hilo.
  Ni rahisi kuwalaumu na kuwazingizia Waislam, hapa ndio tunaona kuna kasoro kubwa sana.
  Hakuna mafundisho ya dini yeyote yanamrisha kwenda kuuwa waumini wa dini yeyote kwenye ibada zao. Huu ni unyama wa hali ya juu na unaashiria umefanywa na wana siasa kama Tamil Tiger au vikundi vya kijasusi.
  Inasusikitisha sana kuona binadamu wasiokuwa na hatia, wao ndio wanalipa kwa kupoteza maisha yao kwa ajili ya ujinga na ajenda za watu wengine.
  Mungu anapenda Amani.

 • Juma Mkanjima
  Juma Mkanjima 5 months ago

  Mmi cwezi kuwa na huruma na walibya kwn ni washenzi wasiokuwa na shukrani walitaka nni kama c hichi kinachoenderea. Waribya mulishindwa kuu2mia uhuru mukataka kutawaliwa sasa hiyo ndo faida ya unafki na usariti mutakufa sana na munatakiwa mufe kifedhuri kama mulivoshiriki kumuuwa gadafi kidharimu washenzi wakubwa nyie

 • timothy musau
  timothy musau 5 months ago

  Uganda kwa kweli wako nyuma . sai do wananunua ndege.

 • timothy musau
  timothy musau 5 months ago

  Uganda kwa kweli wako nyuma . sai do wananunua ndege.

 • MASWALI na MAJIBU
  MASWALI na MAJIBU 5 months ago

  Habari za huyo muasi bona hamzionyeshiii. Mnaegemea upande mmoja

 • Zubeir Mohammedy
  Zubeir Mohammedy 5 months ago

  Moyo wng leo upo burdan kwa kumsikia mama yng bi soluma khasimu,allah wajaaliee umri wenye baraq watangazaji wote wa bbc swahil

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 5 months ago

  Kumbe ht uganda walikuwa hawan shirika lao binafsi hakika kwel kenya wametuzid mbali

 • SAMSON MAGESA
  SAMSON MAGESA 5 months ago

  Hakika "ALLAH'AKBAR" ndo maana tunasema Libya mliyataka wenye kwa upumbavu wenu mlitongozwa na kuvuruga nchi sasa mbwa nyie ngoja mfe Gen. Khaftar anataka kuikomboa nchi mliozwa bure mlilipwa bila kaz, mlijengewa na serikali ila fadhila mkalipa kwa Kumzalilisha Ghaddaf bila kwakujua mnalolifanya sasa DAWA YA WAPUMBAVU NI KUPIGWA MAKOFI WAO WAKICHEKA TU sasa wale waume wenu wamewakimbia ngoja mkome mbwa nyie mlitutia aibu kwa kutema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa

 • Azizi Brand
  Azizi Brand 5 months ago

  BBC Swahili Sahihisheni Hii habari Ni ya jumanne 23.4.2019 na sio Ijumaa 23.4.2019.

 • omar kanout
  omar kanout 5 months ago

  Na bado libiya mutaumia sana mwambieni marekani basi ajeawasaidie yy ndie alimpindua gadafi sasa mwambieni awasaidie

 • Omar Atik
  Omar Atik 5 months ago

  kuna nchi ziko nyuma yashambulio la kigaidi ili kuleta fitna waislamu srilanka niwacheche ili kuwaondolea furaha na kuwekea khofu

 • George Tryphone
  George Tryphone 5 months ago

  Nyie Libya piganeni tuu mliyataka wenyewe mlikubali democracy uchwala mkakataa amani mkamuua gadaff Leo mnataka Aman mmeshindwa democracy Sasa piganeni tuu Amna jinsi

 • Benjamin Lijongwa
  Benjamin Lijongwa 5 months ago

  Halafu mtu anasema ooooh uislamu sio dini ya kigaidi

 • RAYMOND OYIEKO
  RAYMOND OYIEKO 5 months ago

  Ila Marekani Mwisho wao uko karibu saaana, Venezuela, Afghanistan,Libya, Iraq, Syria, Iran , Congo n.k

 • Paschal antony manyasula Manyasula

  Poleni Sana Wanasililanka nawakilstu wote dunianzima wameingiwa namyoyo zakijini lengo wabaki wao ndunia nzima.!!!!

 • Amissa Niyonzima
  Amissa Niyonzima 5 months ago +2

  Nashukuru Salim Kitete katika habari za dunia,ila naomba muwe mnatupa hari za Burundi,Rwanda na DRC yani Congo please team BBC.

 • Abdul Swamad
  Abdul Swamad 5 months ago +1

  Lipiza kisasi uwa makafiri wote

 • Liberatus Ulaya
  Liberatus Ulaya 5 months ago

  Kwann marekani inatumia nguvu zake kuzikandamiza nchi nyngne kiuchumi

 • Liberatus Ulaya
  Liberatus Ulaya 5 months ago

  Poleni watu Wa Libya kwa ilo jinamizi LA vita,.serikali za Africa hazinabudi kujifunza kupitia Libya,.mungu amrehem Gaddafi huko kuzimu

 • Liberatus Ulaya
  Liberatus Ulaya 5 months ago

  Baraza LA kijeshi sudani, wafanye maamuzi haraka ya kuunda serikali ya kiraia, ili damu za watu wasio na hatia zisije mwagika

 • Basharah Alhamgarra
  Basharah Alhamgarra 5 months ago +11

  #HOTUBA YA MWISHO YA KUSIKITISHA YA GADDAFI._
  QADAFFI ANAANZA HIVI:
  "Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema....
  Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo.
  Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili. Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.
  Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.
  Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.
  Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia" waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo.
  Walikua hawasikii wala hawaoni. Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).
  Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.
  Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.
  Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.
  Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua.
  Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kutuletea mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubepari"
  Lakini wote katika dunia ya tatu tunajua maana yake. Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka.
  Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake.
  Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida.
  Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!
  Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.
  Wakati wengine walipokuwa wanajenga majumba ya kifahari, mimi niliishi kwenye nyumba ya kawaida na kwenye mahema. Siwezi kusahau maisha yangu ya utoto kule Sirte.
  Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.
  Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni. Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.
  Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.
  -- Mu'uammar Qaddafi.

  • Ally Swalehe
   Ally Swalehe 5 months ago

   Basharah Alhamgarra

  • Basharah Alhamgarra
   Basharah Alhamgarra 5 months ago

   @Khalid Kibakuli Kweli kabisa kuridhika, kutosheka na kuwa na shukrani ni utajiri tosha. Ila walibya wenzetu hawakuwa na shukrani kwa kiongozi wao, wacha washikishwe adabu ili iwe mfano kwa nchi nyingine barani Africa.

  • Khalid Kibakuli
   Khalid Kibakuli 5 months ago

   Walibya walitaka mabadiliko achaa waone matokeo yake cku zote mtoto akilia wembe mwache achezee nahicho ndoo walichokuwa wanalilia achaa watesekee tu

 • THE KINGDOM UMPIRE
  THE KINGDOM UMPIRE 5 months ago +2

  Tukisema waislamu wana mapepo kama mtume wao, mnasema wakristo makafiri.,ona sasa bangi zenu, mmeenda kuua wasiyo na hatia, viroho kwatu,,Nyie waislamu kuma kweli nyinyi👌👌👌 mnakung'utwa kavu kavu.

 • Liberatus Ulaya
  Liberatus Ulaya 5 months ago

  Polen wananchi Wa Sri Lanka kwa pigo hilo kubwa,,.mungu atulinde atujui kesho yetu

 • Jerry lauden
  Jerry lauden 5 months ago +2

  Wazunguy wasenge kamamae yaani Africa ndo kwa kujaribiaa madawa yao

  • Hamisi Bakari
   Hamisi Bakari 5 months ago +1

   Kweli wanazingua kwann wasijijalibie wao

 • Juma Edward
  Juma Edward 5 months ago +4

  waislamu mkoje mbona wakatili hivyo ndio maagano ya mwenyezimungu???

  • jarsa duba
   jarsa duba 5 months ago

   Hapana sio sheria ya kislamu kuuwa watu wao ni magaidi tu

 • rich hurt
  rich hurt 5 months ago +1

  waislamu kwa visasi

 • Witness Mulambika
  Witness Mulambika 5 months ago +1

  Damu ya Gaddafi itawalaani nyie Walibya
  Mlifurahia kuandamana mkiungwa mkono na hao mabepari sasa kimewapata mlicho kitaka

  • George Tryphone
   George Tryphone 5 months ago

   Bora waendelee kupigana ili upinzan Africa ujifunze Nini maana ya upinzani

  • SAMSON MAGESA
   SAMSON MAGESA 5 months ago

   Hakika Walibya watakoma hata mm napenda Gen. Khaftar achukue nchi maana Walibya walichomfanyia Col. Gaddaf si kizur

 • dominic boniphace
  dominic boniphace 5 months ago +1

  Tanzania msituletee mnatupqndkizia virus mkajarbie uko uko kwenu sio afrika

 • D.W.BON. abhaf
  D.W.BON. abhaf 5 months ago +1

  Thank's BBC swahili kwa kutuhabarisha!!!!!

 • Pancras Joseph
  Pancras Joseph 5 months ago +1

  Nakupata vzur kupitia online ..BBC naipenda

 • Karimu Bakari
  Karimu Bakari 5 months ago

  Pole sna mliopata msiba mm npo tz kusin mtwara masasi

 • Only eyes
  Only eyes 5 months ago +2

  Kila mmoja anatakiwa aishi na abudu anachotaka, wao wanadini zao na sisi tunadini yetu haina haja yakuuwana na kulipizana visasi

 • The Wan
  The Wan 5 months ago

  Vifo Elf nne duniani au laki nne?

 • Mariam Fritsi
  Mariam Fritsi 5 months ago

  Poleni sana wafiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu, kwani huu ni msiba wa dunia nzima. Mungu akawapumzishe kwa Amani.Amen.23.04.19.

 • Wamala Ibrahim
  Wamala Ibrahim 5 months ago

  uchochezi tu Silia Libya pakistan ...... wanaoua wanani wazungu wanajua

 • Musa James
  Musa James 5 months ago +4

  Kwanini hamuongeyi habari ya DRCongo???

 • leyman salim
  leyman salim 5 months ago +2

  Huu ni uchochezi bt ukweli ni kwamba hii ni siyasa ya kidunia so tusitumie dini kupakana matope mbona waislamu walipo uwawa hawakusema kuwa ni wakristo so tuacheni chuki

 • Nuru Abdallah
  Nuru Abdallah 5 months ago +1

  Dira ya jumanne

 • dotto moshi
  dotto moshi 5 months ago

  Libya vilaza sana nyie

  • Ismail T. Nyawawa
   Ismail T. Nyawawa 5 months ago

   @sofyaa Venney
   Kuna Watu kama kina Tundu Lisu wa Libya waliyanzisha hizo vurugu

  • sofyaa Venney
   sofyaa Venney 5 months ago

   dotto moshi wajiga sana

 • jack china
  jack china 5 months ago

  Habari nzr sana

 • Ismaili Malak
  Ismaili Malak 5 months ago

  na mimi wa 3 kutoka burundi bujumbura

 • hussein omari
  hussein omari 5 months ago

  Mi ni wa pili leo hahahahahahahahaha from Moshi University

 • Eddi Malon
  Eddi Malon 5 months ago

  Ni wakwanza leo, gonga like.