BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 21.08.2019

Share
Embed
 • Published on Aug 21, 2019
 • Na Salim Kikeke & Beryl Wambani

Comments • 52

 • Saleem Ali Uthumaniy

  #2118 Mwenyezimungu Asimame Pamoja nanyi kufikia Uchaguzi 2022#

 • Saleem Ali Uthumaniy

  #Hongera Sudan Amani uwe muongozo wenu

 • Cathe Richy
  Cathe Richy Month ago

  It takes two to tangle, both men and women are prostitute dont point on women## bbc London

 • YUSUFU KAZAMBA
  YUSUFU KAZAMBA Month ago

  Sudan? Not yet uhuru

 • Hamid Jaka
  Hamid Jaka Month ago

  Why watu wasiokuwa na hatua wanakufa Syria na jumuiya ya kimataifa haichukui hatua??
  Umoja wa mataifa kazi yake ni nini????

 • Isayah Paul
  Isayah Paul Month ago

  Vita haina refa na kila siku inazidi kuenea tuwe makini sana, wanatengeneza vita na pesa

 • Sam Part
  Sam Part Month ago +1

  Sasa jamani nyie munao dislike munakusudia nini??

 • VTA-VITONGOJI UFUNDI NI AJIRA

  kikekee?
  u ur big up

 • Moussa Tiger
  Moussa Tiger Month ago +1

  Naipenda BBC

 • Rmadhan Hussein
  Rmadhan Hussein Month ago

  Namkubali sana Zuruma Kassim

 • Richard Michael
  Richard Michael Month ago

  1. Huyu Trump kama mtoto, yaani kukataliwa kuuziwa ardhi inamfanya ahairishe ziara
  2. Huko Syria wasiingiliwe maana hao wanaoingilia wanachochea mapigano na kuchangia watu wasio na hatia kuuliwa zaidi.
  3. Kama serikali itakataza biashara ya Ukahaba pamoja na omba omba Addis Ababa, je itawatengenezea fursa nyingine?
  4. Mimi ni shabiki wa Arsenal na sahivi nimekuwa sugu ikija kwenye swala la klabu inavyofanya. Kwa kuwa klabu inakuwa mguu nje mguu ndani, na mimi nimekuwa hivyo hivyo
  Pata shuka, blanketi kuchanika 😂😂😂😂🙌

 • ZANZIBAR ONE TV
  ZANZIBAR ONE TV Month ago +2

  Wasyria mnakera mnapiga adi akinamama, watoto na wazee kama wababe kweli kaeni uwanjani mpigane mapanga na sio muwaadhibu watoto inauma sana

 • Feisal Issa
  Feisal Issa Month ago +1

  Naombea sudan mtulie tu amini ni Zuri sana

 • Madjaliwa Amosi
  Madjaliwa Amosi Month ago +1

  Nawapata mojakwamoja

 • Shabani mohamedi Miraji

  Pamoja san salim kikeke

 • Asta N. Lomacks
  Asta N. Lomacks Month ago

  Sudan hita gehuka dikteta.

 • Romeo Romeo
  Romeo Romeo Month ago +8

  Amani ni muhim sana. Ndugu zetu wa Sudan mridhike na makubaliano yaliyofikiwa, msianze kutia shaka!!

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga Month ago +2

  Kuna wakati mm huwa nahisi kwamba ss watu weusi ndio wabaguz wakubwa kuliko watu weupe kwa sababu kwann huwa tunajibembeleza kwa watu weupe na kama tunahisi tuna weza kwann tujikombe kwao???? Sasa mm nasema ivi watu weupe hawatubagui bali wanaongea ukweli kabisa

 • Ramadhani Adam Makange

  Well done Russian/Syria

 • Salim Doctor
  Salim Doctor Month ago +1

  Eleza kazi na hela shaurio asante kwa habari zenu nzuri mno

 • mtaki mjinja
  mtaki mjinja Month ago +4

  Namkubali Zuluna Yusufu kwa uvaaji wake. Sipendi wanawake wanao vaa shuluwali zinazo bana na kuchola maumbile yake!

 • Iijole dawa
  Iijole dawa Month ago

  C

 • Razia Mbwana
  Razia Mbwana Month ago

  Amani ya kweli inaanza nanyinyi wenyew kwahyo Sudan jitahdini kuridhia mipango ya viongoz yenu.

  • Razia Mbwana
   Razia Mbwana Month ago

   Thomas mbunge Abdullah Hodari kweli kweli tunamsubir likizo aje atusomee tarfa ya Habari Tbc1. walau kidg tufurah.

  • Thomas mbunge Abdullah
   Thomas mbunge Abdullah Month ago +1

   Kikeke poa sana

 • Blessing Fataki
  Blessing Fataki Month ago +1

  Bbc swahili
  ❤️❤️❤️

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi Month ago +1

  BBC nawapata vyema congratulations

 • Kim Rudiger
  Kim Rudiger Month ago +6

  Amani Amani Sudan Mungu Awakalie amani na maelewano na mfikie malengo ya baraza lenu

 • UVCCM MASWA
  UVCCM MASWA Month ago +1

  Alex molavi BBC

 • Musa Michael
  Musa Michael Month ago +2

  sijachelewa like tafazali

 • Steve Degreat
  Steve Degreat Month ago +2

  Always mwaaa🥰🥰

 • Thobias Chacha
  Thobias Chacha Month ago +2

  Asante BBC kwa taarifa mujarabu na murua