BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 02.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 2, 2019
 • Na Zuhura Yunus

Comments • 61

 • hassan mpwepwe
  hassan mpwepwe Month ago

  pumzika Kwa amani Mzee mengi mbele yake nyuma 2

 • Cecilia Pkimario
  Cecilia Pkimario Month ago

  RIP doctor Mengi

 • Sam Oduor
  Sam Oduor Month ago

  kazi nzuri BBC

 • Siwema Melchior
  Siwema Melchior Month ago

  Zuhra Yunus nakukubali sana.

 • Zarina Bhulji
  Zarina Bhulji Month ago +1

  Mengi

 • Zarina Bhulji
  Zarina Bhulji Month ago +1

  Poleni sana familia Menghi.

 • Mishael Misana
  Mishael Misana Month ago +1

  R I p mengi

 • samson john30
  samson john30 Month ago +1

  tuta kukumbuka sn mzee wetu mengi kwa busara zako kwa watanzania

 • abdallah Muttaq
  abdallah Muttaq Month ago +1

  Hya ni Nani atakaewezakuzibapengo la mengi kwa kujaribu utu aliouonesha kwa watu ama sio kuzibapengo bali hata kuweka jino la bandia kitakalo fanana angalau kidogo na jino la kweli la marehemu mengi.

 • Wilson Maduhu
  Wilson Maduhu Month ago +1

  Asanten

 • Anuary Juma
  Anuary Juma Month ago +1

  R.I.P MENGI

 • Christopher Nzige
  Christopher Nzige Month ago +1

  Mchango katika nchi ni Mkubwa mno,kila mtanzania apaswa kukushukuru, umekua shujaa, na msaada kwa watanzania wote, mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, RIP DR. Mengi

 • wambaa mwambaje? 1
  wambaa mwambaje? 1 Month ago +1

  Hahaha ert Angalau wamefikiriwa

 • Magessa Magessa
  Magessa Magessa Month ago +2

  Mengi ww mlezi wa watanzania wengi

 • Abdu Bakar
  Abdu Bakar Month ago +1

  Fadhila za Punda zimetambulika 1.5.2019. miaka mingi lakini jasho la mja haliendi bure, bando sasa wanaodhalilishwa katika nchi zao katika baadhi ya mataifa huko, lakini M, Mkubwa.

 • Salome Kassa
  Salome Kassa Month ago +2

  R.I.P. baba yetu mpendwa nasijui kama tutapata mwingine mwenye roho ya utu kama wewe,mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.amina

 • anthony patrice
  anthony patrice Month ago +1

  nakupenda sana Zuhura

 • anthony patrice
  anthony patrice Month ago +1

  asanteee sana kwa taarifa

 • D.W.BON. abhaf
  D.W.BON. abhaf Month ago +1

  Thank's BBC swahili.

 • Abdalah Juma
  Abdalah Juma Month ago +2

  Pepo hawagawi watu unaweza kusaidian watu lkn una kiwanda cha pombe looooo peponi huingiiii

 • king Kibo
  king Kibo Month ago +1

  R. I. P MZEE WETU MPENDWA

 • Gabriel Daniel
  Gabriel Daniel Month ago +1

  mung ilaze mahal pema pepon....

 • Liberatus Ulaya
  Liberatus Ulaya Month ago +1

  R.I.p mengi, utakumbukwa kwa mchango wako mkubwa Ktk Taifa letu LA Tanzania

 • Zahir Ally Zorro
  Zahir Ally Zorro Month ago +7

  Mengi yatasemwa; lakini Tanzania imempoteza Mzalendo Mtukuka. Rest In Peace: Baba Mothie

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah Month ago +1

  Big up....bbc

 • A B
  A B Month ago +2

  BBC mnasema uongo juu ya masuala ya Uchaguzi. Wataalamu wamesema ANC imetoa ilani ya kurasa 66 na wamegusia sana uchumi jambo ambalo watu wengi Afrika Kusini hawalijui ndio maana wengi wanashindwa kuisifia ANC. Wapinzani wametumia misemo ya watu wasiokuwa wasomi yaani ile ya mitaani kama chuki au lawama dhidi ya Wazungu, kusema wanaonewa au wanabaguliwa...ndio sera zilizowapa umaarufu. Wasomi wengi, na wafanyabiashara na mashirika makubwa yanaonekana yakimsifia Bwana Ramaphosa na sera zake za kufufua uchumi na kuongeza ajira.
  Bwana Isaka tunaona anarudia kauli ya Bw Mbeki aliyoizungumzia juzi kwenye mahojiano kuhusiana na kukuwa kwa wananchi wanaotegemea pato au msaada kutoka serikalini. Mbeki alisema sio jambo zuri.

  • A B
   A B Month ago +1

   Lugano Nsubisi
   Elimu:
   Haya ni maoni na mtazamo binafsi.
   Kupinga na kukubali yapo ndani ya Uhuru na ndio maana BBC inatoa fursa ya sisi kuzungumza hapa.
   Wazungu wanasema “Nothing personal”.
   Wachina wamesema huu ni mwaka wa “Nguruwe”.

  • Lugano Nsubisi
   Lugano Nsubisi Month ago

   BBC ni idhaaaa bora kuliko idhaaa yoyote duniani usitupotoshe tuna imani nayo kuliko idhaaa yoyote anzisha yako ya uchwaro watu waisikilize

  • Nyilenda Sanga
   Nyilenda Sanga Month ago

   Yuhj

  • Nyilenda Sanga
   Nyilenda Sanga Month ago

   @A B g

 • A B
  A B Month ago +2

  Chama cha Narendra Modi ni cha udini, tena ni mabaniani wenye siasa kali. BBC mkisema uchumi wa India umekuwa kwa kasi sana kipindi cha NM, mnakosea. Uchumi wa India ulikuwa tayari umekuwa, NM yeye alichofanya ni kuengeza mahusiano ya wazi na sehemu nyingi duniani.

 • Adil Haj
  Adil Haj Month ago +1

  Huyu ni mwenye hekma sananaaa

 • Vitalis Nyagali
  Vitalis Nyagali Month ago +3

  Yaani mungu daa bora ungewachukuwa wabunge hamsini wa ccm ukamuacha mengi

  • Elias Angelo
   Elias Angelo Month ago

   Vitalis Nyagali ubongo wako umeundwa kwa mavi.

  • Fikiri James
   Fikiri James Month ago +2

   Vitalis Nyagali utakuwa unatumia matako kufikiri.... Kifo ni njia ya kila mmoja sasa wabunge wa ccm wanahusiana na nn ap🤔🤔🤔

  • leodger peter
   leodger peter Month ago

   Duh mungu amulaze pema mzalendo wetu ila bado viongozi wetu wengi ni wabinafsi

  • Salha Haji
   Salha Haji Month ago +1

   Tangulia ww then watafuataaa ccm ujingaaa huooo

  • Ibrahim Sheha
   Ibrahim Sheha Month ago

   50 mbona wengi

 • Kasele Hussein
  Kasele Hussein Month ago +1

  R. I. P Mzee wetu

 • Idha Idha
  Idha Idha Month ago +1

  mengi mungu amueke mahala pema peponi amen

 • lilian jeremia
  lilian jeremia Month ago +3

  Mungu ailaze roho ya marehem mahal pema pepon amen daima tutakukumbuk

 • A B
  A B Month ago

  thexvid.com/video/FxVep_xmRQ8/video.html

 • Simon Silau
  Simon Silau Month ago +1

  Poleni Familia, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wote kwa kuondokewa na mzee wetu mpendwa REGINAD MENGI.

 • Isaya Kinunda
  Isaya Kinunda Month ago +1

  BBC thanks for information

 • Leila Innocent
  Leila Innocent Month ago +1

  Kifo chake hakijajulikana?????

  • Marry Kilimo
   Marry Kilimo Month ago

   pole kwa watanzania wote kweli tumeumia sana kwa kifo chake

  • The Wandelt’s
   The Wandelt’s Month ago

   @Leila Innocent ngoja tusubiri taarifa baada ya kifo chake kujulikana. Tuvute subra

  • Leila Innocent
   Leila Innocent Month ago

   @The Wandelt’s aah inamaana habari za Mange zinaweza kua zinaukweli?

  • The Wandelt’s
   The Wandelt’s Month ago

   Leila Innocent hakuwa amelazwa hapo kwa matubabu kwa muda mrefu, inasemekana Alipelekwa hapo baada ya kuanguka, familia yake inaweza omba baba yao afanyiwe postmortem ili kujua sababu ya kifo chake. Kumbuka huyo kafia majuu siyo bongo ambako waandika andika sababu za kifo cha mtu. Mtu anavirus lakini ameenda hospital kwa tatizo jingine basi akifa wanaandika AIDS kisa tu alikuwa na virus vya ukimwi. Huko ni nje taratibu zinachukuliwa na zinaheshimiwa so nakushauri ikuingie akilini ndugu. Wakishaipata sababu ya kifo wataileta hapa. Hata mtu akianguka akafa bado huwa kuna chanzo cha kuanguka kule.

  • Leila Innocent
   Leila Innocent Month ago

   @The Wandelt’s haiingii akilini, kwani inachukua mda gani kujua chanzo cha kifo cha mtu hasa hospital?