BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 15/04/2019

Share
Embed
 • Published on Apr 15, 2019
 • Na Salim Kikeke

Comments • 59

 • Sunrish Mussan
  Sunrish Mussan 5 months ago +1

  Yan Saut hyo salim nawehuka hku an tamu balaa ntaman kuifatsha lakni u have been gifted by god ur own voice

 • gegan gphray Mwaigoga
  gegan gphray Mwaigoga 5 months ago

  Uyu ni demu.,du añàweza kujitià mimbà¿?

 • Zarina Bhulji
  Zarina Bhulji 5 months ago

  Grazie Salem.

 • Aaron Paul
  Aaron Paul 5 months ago

  hapo umenena huwez mchagulia mtu jinsia yake

 • ernest sinje
  ernest sinje 5 months ago +1

  ushoga huoooo

 • ernest sinje
  ernest sinje 5 months ago

  njia huwa inanguvu kuliko nyingine

 • Ali Abdallah
  Ali Abdallah 5 months ago +1

  Chama Omar Matata

 • Ali Abdallah
  Ali Abdallah 5 months ago +2

  Wallaahi nawatakia kila la kheri sudan lakini nawaasa Watanzania wenzangu tusijetukajiingiza kwenye maandamano yoyote tutauliwa au tutaachwa vilema

 • Wahida Wahida
  Wahida Wahida 5 months ago

  Iyo ushu ya jinsia kwakweli nimtihani

 • Kassim Mohammed
  Kassim Mohammed 5 months ago +1

  Sawa kabisa kabisa achague ile ilio kuwa na nguvu Zaidi

 • Almost Goro
  Almost Goro 5 months ago

  Thanks BBC swahili

 • Josophat Ngeme
  Josophat Ngeme 5 months ago +3

  Jopo ongeren kwa maamux mazuri, maana ule mfumo wa kumchaguria jinca moja ulikuwa ni mbaya coz waweza mtoa seem moja kumbe ile uloitoa ndo inamfaa, shukhuran

 • THE KINGDOM UMPIRE
  THE KINGDOM UMPIRE 5 months ago +5

  Huyu jike dume, naona kama amekwepa swali lako lililo hoji, kuwa jinsia yake ipi inayofanya kazi,tunataka kujua.😄😅😆.

 • THE KINGDOM UMPIRE
  THE KINGDOM UMPIRE 5 months ago +1

  Huku kwetu Tanzania wananchi kama hao vihere here wasiyo na msimamo ,ndo wanaogongwa risasi kisha lawama kwa serikali,

 • Zubeir Mohammedy
  Zubeir Mohammedy 5 months ago +3

  Hawa wa Sudan wanalo wanalotafuta kwa hali hii!!!!!

 • Hb Omy
  Hb Omy 5 months ago +3

  Serengeti boys ni timu ya tanganyika na sio tanzania kwnn hmpnd kutumia jina lenu

 • Aisha Bashiru
  Aisha Bashiru 5 months ago

  Allah akulipe na ukupe afya njema zaidi salim uzidi kumtumikia yeye

 • Chaazy Saabaya
  Chaazy Saabaya 5 months ago +3

  iyo ni njia ya Wakenya kupitisha ushoga kimyakimya

  • sophie hans
   sophie hans 5 months ago

   Ndugu, mshukuru Mwenyezi Mungu we si miongoni mwao, na kwa sababu hiyo huwezi kujua inavyowaathiri kisaikolojia. Ni amezaliwa hivyo inahusiana vipi na ushoga!

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 5 months ago

  Jamn moto imetokea wap na nin chanzo icho

 • Suleiman hassan
  Suleiman hassan 5 months ago +7

  Huyu wa jinsia mbili mbona hajajibu hilo swali.kati ya hizo njia mbili nigani yenye hisia zaidi

 • Bakar Hamad
  Bakar Hamad 5 months ago +4

  Hongera Salim kama Zanzibar maandamano ayo raiya tungali uliwa kwa risasi wengi tu

 • Abuu Wadii
  Abuu Wadii 5 months ago +3

  Duu. Hatari sana husa wanataka Uhuru kuifanyia kazi kwamwanamke au VIP toba

 • saul paul
  saul paul 5 months ago +4

  Mungu ibarik Tanzania

 • Kulagwa Mathias
  Kulagwa Mathias 5 months ago +2

  Kuhusu arsenal kazi imekwisha

 • nkunzimana augustin Ziggy
  nkunzimana augustin Ziggy 5 months ago +5

  Wananchi wa sudani jazeni buti sana. Musikubali ukoloni

 • Awadh Khamis
  Awadh Khamis 5 months ago +6

  Ukweli salim sisi tunataka usimame weeeeeeee hapooo

 • Yunuss Othman
  Yunuss Othman 5 months ago +3

  Bora kila cku uwe unatangaza ww Salim mie kama hutangazi ww Salim cpendi kuangalia asa

  • Yunuss Othman
   Yunuss Othman 5 months ago

   @Said Issa dada zuu namkubali ila Salim ndo kila kitu

  • Said Issa
   Said Issa 5 months ago

   Yunuss Othman ww utakuwa na tatizo lako binafsi... Yani huwa humuelewi ZUHURA YUNUSI???

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 5 months ago +5

  Chama Omar matata

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 5 months ago +4

  Alex muridh

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 5 months ago +3

  Like zote kwenu

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 5 months ago +3

  Salim
  Dayo
  Musembi
  Khamsin
  Machibya
  Z yunus
  Maryam Omar
  Dina gahamany

 • michael p. ndwike
  michael p. ndwike 5 months ago +4

  naitabilia kenya kua miongoni mwa mataifa yalio starabika zaidi africa baada ya s,a , hongera sana

 • Abuu Hafsah
  Abuu Hafsah 5 months ago +3

  Sijaona mtangazaji mbovu ndani ya bbc

  • Awadh Khamis
   Awadh Khamis 5 months ago

   Tuseme kweli broo maslahii na mazingira yanachangiaaa 💯

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga 5 months ago +1

  Bila shaka hao wanaotaka mabadiliko kiino chake lzima utakuta ni nchi za ulaya hasa Marekan na wanachotaka hapo ni mafuta na si kingine wakishaiacha nchi ya sudan kama ilivo libya wataanza kuanza kujifanya wanatoa msaada Eeee Mungu saidia Africa ifike kipindi tujielewe

 • Hamisi Abdul
  Hamisi Abdul 5 months ago +3

  BBC saf sana kwa habar za ukwel na za kueleweka nusu saa tu lakn kama Massa sita

 • Sindaharaye Sergeskibo
  Sindaharaye Sergeskibo 5 months ago +3

  Thanks Salim

 • Francis Chima
  Francis Chima 5 months ago +2

  😂😂😂 kenya wameshayumba

  • Chaazy Saabaya
   Chaazy Saabaya 5 months ago +2

   Wameyumba sanaaa apo sasa ninjia nyingine ya kupitisha ushoga maana mtuakiwa na sura yakiume afuakisema anajinsia mbili huwezi mpinga maana uweziona jinsia yake kwaiyo wataoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake kwasababu utoweza mkagua mtu jinsia yake

  • Lugano Nsubisi
   Lugano Nsubisi 5 months ago

   Mala wapigania haki za mashoga

  • Abuu Hafsah
   Abuu Hafsah 5 months ago

   @philipo masawe .......

  • Abuu Hafsah
   Abuu Hafsah 5 months ago

   @philipo masawe .....umbumbumbu ndio umekuathir ..kapime kimeta .....

  • philipo masawe
   philipo masawe 5 months ago +1

   Waislam+ boko haram pumbavu sana

 • Amri Bihume
  Amri Bihume 5 months ago

  pamoja sana bbc

 • Mishael Misana
  Mishael Misana 5 months ago +4

  Ongera BBC kwa habar zenu moto moto

 • Hamad Juma
  Hamad Juma 5 months ago +1

  tuko pamoja san