BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 15.08.2019

Share
Embed
 • Published on Aug 15, 2019
 • Na Zuhura Yunus

Comments • 46

 • Neymar Suleyman
  Neymar Suleyman 2 months ago

  Abdul shareef was not a right person in this dialogue of india and people of kashmir

 • Zefa Mange
  Zefa Mange 2 months ago +1

  WEWE MTANGAZAJI MSHENZ, TAZANIA UNATANGAZA MABAYA, MAREKANI UNATANGAZA MAZURI. SIKUPENDI KAMA NINI.

 • jafari bori
  jafari bori 2 months ago

  Sijui tatizo nini mpaka dunia kila kona Amani inatoweka nyinyi wahindi hao pakstan na Kashmir mbona sura na tabia mnafanana ugovyi wanini mbona hamueshimiani. WAACHENI RAIA WAWE HURU ANAEMUABUDU NG'OMBE USIMKASIRIKIE na yule ANAEMUABUDU MUNGU MPE UHURU WAKE CHIKI IPO WAPI KILAMTU AFANYE LAKE.

  • Anasy Malki
   Anasy Malki 2 months ago

   Dunia imefika pabaya kabra Allah hajaihangamiza ulimwengu wataimariza wenyewe maana haya mashindano ya. Nyukria baraa tupu mmi Anas maliki tanzania

 • jafari bori
  jafari bori 2 months ago

  Sijui tatizo nini mpaka dunia kila kona Amani inatoweka nyinyi wahindi hao pakstan na Kashmir mbona sura na tabia mnafanana ugovyi wanini mbona hamueshimiani. WAACHENI RAIA WAWE HURU ANAEMUABUDU NG'OMBE USIMKASIRIKIE na yule ANAEMUABUDU MUNGU MPE UHURU WAKE CHIKI IPO WAPI KILAMTU AFANYE LAKE.

 • Salhina Selemani
  Salhina Selemani 2 months ago

  Bila ya Iran kudinda meli isingeachiwa

 • Mishael Misana
  Mishael Misana 2 months ago +1

  Ongera BBC +255

 • Richard Michael
  Richard Michael 2 months ago

  1. Daah! Nakumbuka nilivyoumwa TB miaka mitano iliyopita, dawa zake hazikuwa za mchezo na kwa miezi 6 nilikuwa kama muuguzi pale hospitali nilipokuwa nikifuata dawa kila wiki. Ila naishukuru sana serikali ya Tanzania kwa kutoa hizi dawa bure maana vinginevyo sidhani kama miti-shamba ingeweza kutuponya (zinaonekana ni gharama kweli kweli na watu tunaoumwa kifua kikuu ni wa kipato cha kati na cha chini). Hivyo basi mnastahili pongezi kwa kugundua hizi dawa mpya za kifua kikuu. Kifuatacho ni dawa za UKIMWI.
  2. Mbona huyu waziri mkuu wa Pakistan anajaribu kusukumia hili swala la Kashmir kwa vikundi visivyo vya serikali. Anachochea vita ya kidini ambayo itapelekea kuhusisha hata watu wa nchi nyingine. Hili linabidi lichukuliwe kama swala la kisiasa na si vinginevyo.
  3. Nigeria ina utajiri mkubwa wa maliasili watu pamoja na maliasili nchi ila rushwa na vita vinaiathiri kuendelea sana. Hii inadhihirisha jinsi uongozi ulivyokuwa changamoto nchini huko maana hata makundi kama Boko Haram yametokana na kutokuridhishwa na uongozi wa nchi. Hili kanisa linachofanya ni mfano wa kuigwa ukilinganisha na makanisa ya Tanzania ambayo huchukua zaidi ya kurudisha kwa wananchi wake.
  4. Swala la plastiki litapunguzwa kama serikali za nchi mbali mbali zitapunguza matumizi ya plastiki kama ilivyofanya Tanzania kwa kukataza matumizi ya mifuko ya plastiki. Baada ya hapo unahakikisha soda zinauzwa kwenye chupa za glasi na tin pekee etc.
  5. Goli maridadi kabisa, nadhani litawania Puskas. Hii tuzo ya Balllon d'Or iende kwa Van Dijk na wachezaji wengine wa kati ya Liverpool au Tottenham.

 • Hussein Yahaya
  Hussein Yahaya 2 months ago

  India wanatumia ubabe ndio maana haitaki suala la kashmir kupelekwa UN lakini mara nyingi mnyonge aonewapo huwa na nguvu kuliko beberu mtakabari hii ni chuki ya kimkakati ya wahindu dhidi ya waislamu lakini india tambueni dhulma ina kipindi lakini haidumu poleni sana kashmir

 • Jamal Mmoja
  Jamal Mmoja 2 months ago

  Hivi huyu Zuhura ananguo kiac gani?

 • Abdallah Ally
  Abdallah Ally 2 months ago

  Kwa nini Pakistani hanaingiria mambo ya ndani ya india kashimiri ni ya india Pakistani mbona roho hinamtoka himahanisha Pakistan hinamanufaha binafsi na kashimiri

 • Ali Arkam
  Ali Arkam 2 months ago

  Hiyo habar ya huyo Dada irejee Tena

 • Kishore Chudasama
  Kishore Chudasama 2 months ago

  Huyu professor yuko zanzibar ana juwa historia lakini hataki ku sema ukweli na yeye pia ni muhindi

  • Ahmed Albahry
   Ahmed Albahry 2 months ago

   Kishore Chudasama,wacha ujinga huyu ni Mzanzibari pure mana kazaliwa zanznzbar na makabur ya bibi zake yapo hapa zanzibar, ila ww ndo wakuja kutoka kwenu bara et leo ushakuwa unamdomo wakumtowa Mzanzibari uzanzibar wake ama kweli nyie watanganyika bana hatar mumepewa nyanda munaxhkuwa pima harar hii bas haya wambie ww nasabu yako na tutajie makbur ya bibi wa babu zako

 • Kishore Chudasama
  Kishore Chudasama 2 months ago

  Kashmir hakuna ma endeleo ila utali tu. Serekali ya India ina lipa pesa nyigi mno ku endesha serekali ya Kashmir, lakini viongozi wa Kashmir Farooq Abdulla na mwenza ke Mrs Mehbooba Mufti wali kuwa na kula hizo pesa
  India ina haki juu ya Kashmir ni upande wa India

 • Kishore Chudasama
  Kishore Chudasama 2 months ago

  Dada zuhura kwa kweli Kashmir ni eneo ya India na pia ujuwe kwamba Pakistan pia ni eneo ya India Pakistan ime za 1947

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz 2 months ago +1

  NAWAPATA MUBASHARA

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 2 months ago +1

  Uislamu na ukiristo kamwe nchi nyingine hautochanhama kamwe Ni Mungu tu atende muujiza

 • Ump Ump
  Ump Ump 2 months ago

  πŸ‘πŸ˜

 • modest tryphone
  modest tryphone 2 months ago +1

  Mbarikiwe saanaa madaktari kutumika kama mkono wa Mungu Muumbaji kuokoa maisha ya wanadamu

 • Annya Epmack
  Annya Epmack 2 months ago

  asante BBC kwa taarifa zinazo eleweka

 • Alex Inano
  Alex Inano 2 months ago

  Mnasitaili kuigwa zuhura na salimu kikeke

 • Peter Mbijima
  Peter Mbijima 2 months ago +1

  Bbc mmekosa habari ya ndege iliyo tua kwenye mahindi,kweli mpo na ubaguzi wa habari

  • Zefa Mange
   Zefa Mange 2 months ago +1

   Hao wabaguzi mnoo, nahic BBC hicho ni chama cha siasa

 • Tahira Abdul
  Tahira Abdul 2 months ago

  Napenda BBC

 • Kharoun Ngavason
  Kharoun Ngavason 2 months ago

  Sijambo mtoto wangu Asante kwatarifa za dunia Allah akujalie maisha mema

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi 2 months ago +1

  Shukran Sana BBC kwa kutupa habari za dunia . Sito wasahau Wana habari wote mungu awabariki na awape maisha marefu.

 • jack china
  jack china 2 months ago +1

  India na Pakistan kaeni meza ya mazungumzo mana msije kuleta madhara kwa raia wenu mana wote mmanucria

 • Zuley Vendor
  Zuley Vendor 2 months ago +1

  Asante dada zuhura yunus kwa habari zinazoeleweka.... Umependeza sana leo😍

 • Hamad Bajaj
  Hamad Bajaj 2 months ago

  Hongera BBC muko juu zaidi

 • Juma Edward
  Juma Edward 2 months ago +3

  Lissuuuuuuuuuuuuuuuu...!!!

 • Juma Edward
  Juma Edward 2 months ago +2

  Leo nimeona vazi la chini la Dada zuhuru !! ooooh!

  • Maryam Maram
   Maryam Maram 2 months ago

   πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

  • Chobastian - Chobo
   Chobastian - Chobo 2 months ago

   Juma Edward ww acha mambo yako vazi kila siku tunaliona we sema umeona shape leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 • mtaki mjinja
  mtaki mjinja 2 months ago +1

  Nawapata vyema niko tz

 • Makame Haji Or Mr Al Ahadi 1

  umependeza Dada zuhura

 • Brother Mo
  Brother Mo 2 months ago +3

  nawakubali sana BBC

 • Blessing Fataki
  Blessing Fataki 2 months ago +2

  Fataa good news kutoka bbc swahili ❀️❀️🀞

 • Abdalah Mnyawi
  Abdalah Mnyawi 2 months ago +4

  Gonga Meza.

 • DC KEYDAD
  DC KEYDAD 2 months ago +2

  Yes !