BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 12.09.2019

Share
Embed
 • Published on Sep 12, 2019
 • Na Zuhura Yunus & Beryl Wambani

Comments • 76

 • francis elias kaboja

  Afrika itaendelea kutawliwa na Ngozi Nyeupe 2 kwa namna yoyote ile

 • UVCCM MASWA
  UVCCM MASWA Month ago +1

  MUNGU ibariki Tanzania

 • Isayah Paul
  Isayah Paul Month ago

  Afrika sijui tatizo lipo wapi...!?

 • Viona Sindani
  Viona Sindani Month ago

  REST IN PEACE MZEE SHUJAAH

 • Agripinnah Andrew
  Agripinnah Andrew Month ago

  Rip President mgabe

 • Pastory Mwalimu
  Pastory Mwalimu Month ago

  uongozi wa nchi zetu ndo hauna misimamo

 • Amani na Upendo.
  Amani na Upendo. Month ago

  Amen amen. Inasikitisha sana. Afrika ndiyo kwetu uko ni ugenini na hatari ni kubwa. Wakuu wetu tafuteni suluu ya watu kutokimbia nchi walipo zaliwa. Mgabe pumzika shujaa wa Afrika. Mungu atusaidie wa Afrika. Amen.

 • Mnalikah Ngeme
  Mnalikah Ngeme Month ago +1

  Sawa alikuwa ni shujaa wa africa lakin azikwe kwao 7bu aliondolewa kibabe serikal acheni unafiki

 • stella peter
  stella peter Month ago

  Nashukuru mungu kuzaliwa tanzania.๐Ÿ™

 • Mwanaisha Hussein
  Mwanaisha Hussein Month ago

  Mbona mwaidhalilisha maiti?, azikwe huku ama huku,.atafufuka huyo MUGABE

 • Mood Khamis
  Mood Khamis Month ago

  subhanAllah hivi africa kuna nn mbona kila cku ni sisi tu

 • SKY5 ONLINE TV
  SKY5 ONLINE TV Month ago

  thexvid.com/video/tqBJrnH3bUU/video.html

 • Steven Titus
  Steven Titus Month ago

  wambea awo mbona walimtoa madarakan wanafk

 • Fikiri Mwaipopo
  Fikiri Mwaipopo Month ago

  Mugabe azikwe kijijini kwao Maana hata kule kijini bado ni Zimbabwe mbona baba wa Taifa la Tanzania na mkombozi wa bara la Africa alizikwa kijini kwa Butiama ,naomba busara itumike

 • Ashrita Abdallah
  Ashrita Abdallah Month ago

  Ivi ni shida ya nchi zao au ni tamaa za ulaya tu mmmhh

 • Ashrita Abdallah
  Ashrita Abdallah Month ago

  Tutake tusitake tutubaki kua watumwa wa wazungu tu ivi waafrika viongozi wenu wako wapi

 • Kassim Mohammed
  Kassim Mohammed Month ago

  Mtu akisha kufa hayakosekani mema Hata Firauna anayo mema

 • chris massawe
  chris massawe Month ago +1

  Tupo siku ya mwisho tupo siku ya 7 saa imefika na majira imefika mwisho yupo tayari kuifuta dunia na mambo yake HAKIKA KILA MMOJA NA AMGEUKIE MUNGU WA MAJESHI

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz Month ago +5

  wahamiaji poleni sana mmejitolea kutembea usiku na mchana yote hinikutafuta amani hakika amani nikitu muhimu sana ehhh mwenyezimungu tujalie amani katika taifa letu la tanzania

 • ras vegas
  ras vegas Month ago

  Hawa wanatamaaa kwann wasikimbilie nchi za afrika kwan lzma ulaya

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  serikari za afrika mashariki zote wauwajitu ukiwaona kama watu

 • Rashid. mwenyezi mungu akurinde na mabaya Athumani

  iyondio tanzania kabendera umeonewa sana

 • IDRISSA JUMA KONA
  IDRISSA JUMA KONA Month ago

  siasa ndizo zinopelekea....watu watofautiane mazishi ya mugabe

 • Aruna Mwaholi
  Aruna Mwaholi Month ago

  Mgabe azikwe kwenye makaburi ya mashujaa .maana ni baba wa taifa kutolewa madarakani kwa nguvu hicho isiwe sababu ya ya family yake eti akazikwe kijijini yule alitumikia wazimbabwe wote cio family yake tu ielewe hivyo

  • James Amani Masalu
   James Amani Masalu Month ago

   Hiyo sio sababu mbona nyerere alizikwa kijijin kwake butyama wakt alkuw baba wa taifa

 • john alex
  john alex Month ago

  mugabe hastahili kuwa ni shujaa kwani alikuwa kiongozi mwenye uchu wa madaraka mwishowe kuondolewa kinguvu na jeshi lake.vipi leo atakuwa shujaa?

  • Ruben Megiro
   Ruben Megiro Month ago

   poleni sana mungu awalindee

  • john alex
   john alex Month ago

   @UCoUE0rCnlJm37gxK_osiFZQ huo ndio ukweli dunia yote tumeona alivotolewa kwa nguvu ya kijeshi madarakani .ni kiongozi mwenye uchu wa madaraka .akapewa kifungo cha ndani na wanajeshi wake.

 • Rising With SB
  Rising With SB Month ago

  CLICK LIKE ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
  We have created a TheXvid channel for our fans, click link below to
  SUBSCRIBE and PARTICIPATE
  thexvid.com/channel/UCsJn2Ov-s_lXI7ItwCzj5bQ

 • Mohamed Juma
  Mohamed Juma Month ago

  Kama hamelewani mtieni baharini

 • julius jaliwa
  julius jaliwa Month ago

  Jameni tumekosa nini Africa? Au sisi ndio tulio muuwa Yesu? Na hata kama si alisema yote yali kwisha musalabani mungu turehema, tunakimbilia kwa wakoloni tunafikiri eti njo tuta pata musahada laa hasha. Sikuzote najiuliza umoja wa matahifa Kazi yake ni nini? ninamengi yakuzungumuza ila twachie hapo Daaaaaaa

 • Mbaja Wagome
  Mbaja Wagome Month ago +1

  God may you help Africans, why do our own governments make us run so as to be enslaved

 • Haji Vuai
  Haji Vuai Month ago

  labda wamgawe pande mbili, upande azikwe kijijini na upande uzikwe kwenye makaburi ya mashujaa

 • Haji Vuai
  Haji Vuai Month ago +1

  na wewe Zuhura ukifa uzikwe wapi London au Zanzibar?

 • Luendo Sabah
  Luendo Sabah Month ago

  R.I.P Mugabe

 • Luendo Sabah
  Luendo Sabah Month ago

  Mungu awalinde ndani ya njiyani

 • Omar Ramadhani
  Omar Ramadhani Month ago

  Kafanya mengi ni shujaa iwe fundisho kuachia uongoxi ukiwa unaitajika na wananchi axikwe mashujaa

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka Month ago

  Huu ni ujinga..,Yaani familia ya Mugabe haikusikitishwa na ndugu yao kung'ang'ania madaraka ila imesikitishwa jinsi alivyo tolewa madarakani..!

  • Pius Mnanka
   Pius Mnanka Month ago

   @James Amani Masalu OK.kama kung'ang'ania madaraka kuna raha basi raha yake ndiyo hiyo,tena washukuru tu maana huyo Mugabe angeuliwa kama Gaddafi na hiyo familia yake ingenyang'anywa kila kitu...ndo wangejua kuwa kustaafu kuna raha kuliko udicteta..!

  • Dotto Edward
   Dotto Edward Month ago

   Hata mandera alizikwa kijiji kwao

  • James Amani Masalu
   James Amani Masalu Month ago

   Angekuwa mgabe baba ako au sehem ya famila yake ungesikitishwa sana yeye kubakia madarakan kwa mda mrefu ??acha kutudanganya mzee madaraka yaskie kwa watu tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 • Brian Karua
  Brian Karua Month ago +4

  Hongereni kwa habari nzuri BBC.

 • Cali Mahad
  Cali Mahad Month ago

  Tusiwalaumu vijana , tuwalaumu viongozi wetu Africa. Mtu kuchagua njia hizi ujue kafikwa.

 • Sharon Paur
  Sharon Paur Month ago +2

  Mungu awape nguvu hao wanao kimbia vita aiseee chezea vitu vyote sio amani Mungu wasimamie

 • Shayo Paterini
  Shayo Paterini Month ago

  Hongeren bbckwa habar nzur

 • Deus tutu
  Deus tutu Month ago +6

  azikwe kijijin tu ukisha kufa hakuna ushujaa zaid ni kusubilia hukumu

  • Maher zain
   Maher zain Month ago

   @fatuma issa kwani amekosea kusema hivo.ukisha kufa nkuzikwa tu kkte hakuna mijadala

  • Maher zain
   Maher zain Month ago

   Umeongea bro

  • fatuma issa
   fatuma issa Month ago

   Kwani wewe huto hukumiwa so sad ๐Ÿ˜ 

 • Aziza Muhali
  Aziza Muhali Month ago +2

  Mugabe azikwe ktk sehemu ya mashujaa

 • Ibra Augy
  Ibra Augy Month ago

  Mgaze mungu awe nawe daima

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga Month ago +1

  Maoni ya wengi kuhusu MUGABE yangeheshiwa lkn kama yy mwenyewe slitaka azikwe kwao basi akazikwe huko

 • Elimisha Nyamoga
  Elimisha Nyamoga Month ago +6

  Sasa si bora mfie nyumbani kwetu AFRICA???kuliko kudhalilika na kufa kwa aibu ugenini????? Kingine viongoz wa Africa jalibuni kuheshimu binadamu

 • EZEKIEL MAYERA hongera bbc kwa habari za uhakika

  Azikwe kwake Robert mugabe

 • Laurian Simon
  Laurian Simon Month ago

  Bora kuzaliwa Tanzania

 • Omary Ahmed
  Omary Ahmed Month ago +1

  Bora mtuachie ndovu maana wanauzwa nje hata faida hatuzion

  • mahmud mohamed
   mahmud mohamed Month ago

   Kweli bro ata nashindwa na hawa wazimbabwe wanapinga nn wakati watu weupe wenyewe wanatu support au ndio wale vichwa vya wendawazimu๐Ÿค”๐Ÿค”

 • Omary Ahmed
  Omary Ahmed Month ago

  Mgabe nivyema azikwe kijijin kwao

 • George Mchalumbi
  George Mchalumbi Month ago

  Asante bbc

 • Onesmo Josephat
  Onesmo Josephat Month ago +2

  Tuko pamoja # BBC Swahili.com

 • PASCAL LULANDO
  PASCAL LULANDO Month ago +1

  Wandugu muijenge africa yenu acheni kwenda inje,

 • Tahira Abdul
  Tahira Abdul Month ago

  Napenda BBC

 • Issa kawanya
  Issa kawanya Month ago +9

  Africa tunaenda wapi viongozi wetu wa Africa iyo inatia haibu angalieni mikataba ili tunufaike na rasilima zetu

 • mohamed Aideed
  mohamed Aideed Month ago +2

  ๐Ÿ‘Œ

  • Sharon Paur
   Sharon Paur Month ago

   Daah hao wahamiaji wanao tembea kwa miguu mim ndo wamenisikitisha hii yote ni kwenda kutafta amani hakika cheza na vyote ila sio amani Mungu awape nguvu na awasaidie huko waendako

 • Bijampola Msemakweli
  Bijampola Msemakweli Month ago +1

  Pamoja sana BBC

 • Mamu Juma
  Mamu Juma Month ago +1

  good

 • doope dp.
  doope dp. Month ago +1

  gud

 • Thobias Odhiambo
  Thobias Odhiambo Month ago +1

  Asante BBC kwa taarifa matata.

  • Solomon Bendera
   Solomon Bendera Month ago

   Hakika ni matata, hasa hiyo taarifa ya hao wanaotaabika msituni wakitafuta usalama. Inasikitisha sana.