BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 20.05.2019

Share
Embed
 • Published on May 20, 2019
 • Na Zuhura Yunus & Dayo Yusuf

Comments • 66

 • Paul Webb
  Paul Webb 3 months ago

  WA AFRICA WENGI WANATUMIA TECNO NA INFINIX

 • Gateway jr
  Gateway jr 3 months ago

  Ongeleni sana BBC kwa taarifa makin

 • KARIST KANUTI
  KARIST KANUTI 3 months ago

  Cku c nyng kihama kinacmama,,2swalin jaman

 • Hamad Bajaj
  Hamad Bajaj 3 months ago

  Hongera huyo bililionea kwa kusaidia wasio mudu ada za shule kuliko trump anae chochea wita zidi ya watu wasio na hatia

 • Ernest Laiza
  Ernest Laiza 3 months ago +1

  ni police hata wakikanusha vip Tanzania yetu sio salama tenaaaaaa jeshi LA police wamekuwa hadui na wapinzani na RAIA kwa ujumla

 • hussein hussein
  hussein hussein 3 months ago

  Zuhura Yunus watumia jina gani Instagram. Wewe ni mtangazaji bora kwakweli

 • Moses Erasto
  Moses Erasto 3 months ago +1

  Huyu mama was Kenya anayezungimzia kuhusu simu ya Huawei anaongea ukweli kwamba Kuna simu ya sumsang na Apple nyingine zote ni Huawei?

  • Msety Ntorah
   Msety Ntorah 3 months ago +1

   πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ naahangaa haijui TECNO mwenyeji wao..
   Au anaisemea familia yake.

 • Muhammad Mahmoud
  Muhammad Mahmoud 3 months ago

  Kwni China inashndwa kutuwekea App store yakichina+974πŸ‡ΆπŸ‡¦πŸ‡ΆπŸ‡¦πŸ‡ΆπŸ‡¦

 • Muhammad Mahmoud
  Muhammad Mahmoud 3 months ago

  Kwaiyo tunaotumia huawei tusiwe na was was?? +974πŸ‡ΆπŸ‡¦πŸ‡ΆπŸ‡¦πŸ‡ΆπŸ‡¦

 • John Mwandu
  John Mwandu 3 months ago

  Teeeeeh, BBC mmenichekesha hiyo head line, ety, GOOGLE YACHOMOA, kumbe CHOMOA ni neno rasmi mbandala wa neno KATAA!!?, sema YACHOMOA ni neno la kitaa sana

 • Khamis & Maulid
  Khamis & Maulid 3 months ago +2

  Δ°po siku yenu wamarekan

 • HILALI Salum
  HILALI Salum 3 months ago

  Ndio

 • Freemason Africa Makao Makuu Tanzania

  Marekani nakupenda sana

 • Thomas Raiton
  Thomas Raiton 3 months ago +1

  Hivi tunaotumia simu inaitwa tecno kumbe ni makopo gani haya hata hayatajwi?

 • David Chungu
  David Chungu 3 months ago +2

  POLIS TANZANIA MMEKUWA NA MANENO MEEENGI YASIO NA MATOKEO MMEKUWA MABINGWA WA KUKANUSHA SHUTUMA ZA UTEKAJI NA UTESAJI LAKINI HAMJAWAHI KUTUELEZA NINANIHAO WATEKAJI NA WATESAJI NINYI KAMA USALAMA WA RAIA WA TZ. IKIZINGATIWA MATOKEO HAYO YANAFANYIKA NDANI YA NCHI. SASA!!!!!!??????.

 • Mamba Mrisho
  Mamba Mrisho 3 months ago +1

  Huyu mdude wangemfanya kama jamal kashogi na uctuambie unahic bwege wewe

 • VaΓ± GeΕΊ
  VaΓ± GeΕΊ 3 months ago

  kutoka 254 nawapata vyema

 • lilian jeremia
  lilian jeremia 3 months ago

  Asante bbc kwa habar

 • Karimu Bakari
  Karimu Bakari 3 months ago +1

  Marekani inataka kutawala kila kitu dunian

 • NICHOLAS MWAKIHABA
  NICHOLAS MWAKIHABA 4 months ago +2

  zuhura hajawahi muongerea vizuri trump mimi naona kwenye kitengo chako cha habari unaingiza udini kuwa makini

  • Msety Ntorah
   Msety Ntorah 3 months ago +1

   @NICHOLAS MWAKIHABA: we utakuwa na yako tu. Sasa kama habari ni mbaya yeye ndo ailembe iwe nzuri. labda bas upewe wewe uwe wa kusoma habari za Trump.

  • Abuu Farhat
   Abuu Farhat 3 months ago

   nabila dini utaish vp

  • Abuu Farhat
   Abuu Farhat 3 months ago +1

   ameingiza udini gan

  • Yazid Zuberi
   Yazid Zuberi 3 months ago +2

   NICHOLww ujue kheli hujui kua rais huyo Kua ni mtata nnchini kwake ndunia,

 • christopher sanga
  christopher sanga 4 months ago

  BBC NAWASHUKURU KWA HABARI NZURI NA ZENYE UKWELI

 • Basimise cadet
  Basimise cadet 4 months ago +3

  BBC, ebu tupeni habari za moise katumbi huko drc

 • E Ten
  E Ten 4 months ago +2

  Duh wamarekani bwana ni wabishi sana hadi wanaikatalia huawei kutumia google jmn
  Wanapenda kujitutumua sana hawataki kushindwa mhhhh

 • Salim Doctor
  Salim Doctor 4 months ago +3

  Marekani pumbavuuu munataka kila mtu awe Chini yenu hovyo kabisa

 • Ahmed Mohammed
  Ahmed Mohammed 4 months ago

  Siyo mwesho wa iran bali itakua mwesho wa serkali ya galf hakuna petroli itatoka mkondo wa galf

 • Kiza Selepa
  Kiza Selepa 4 months ago +2

  Trump anawaonea waarabu korea wamechemuka

 • Ahmed Mohammed
  Ahmed Mohammed 4 months ago +1

  Kazi ya usa wevu kwa vile i. Phoni hainunuliwi huawei kiboko ya tramp

 • Amri Bihume
  Amri Bihume 4 months ago +1

  Trump waheshimu na wenzako

 • Saleem Ali Uthumaniy
  Saleem Ali Uthumaniy 4 months ago

  #Mtaalaam umejitahidi Muhimu Huawei nikuwa na OS( Operating System yake)Halafu kuna( Open source operating ystem)Muhimu na kujiweka vizuri silazima kuwepo Google tu peka yake Tunaweza kuwait Na Application tofauti na TheXvid muhimu niagara kumilki soko laager Mawasiliano Kwani Google nab You tube wanawategeme zaidi wateja kufanya Application zao bilabial yap kuwait nab wateja Google nab TheXvid hawawezi kufanya kaxi=> Marekani anachoringia niagara kuwepo nab [ USSD command=1] Jmbo ambalo anona china anweza kuingilia mfumo huo wackier [ USSD command] Kama waliweza Marekani nab China Pia wanaweza nab Hapo ndio atajua Trump kuwait kukimbia tatizo ndio sababu yap Kufel8

 • mtaki mjinja
  mtaki mjinja 4 months ago

  Nashukulu BBC. kwakuniyumia habali Moja kwamoja....

 • mtaki mjinja
  mtaki mjinja 4 months ago

  Hata Mimi ninayo. HUAWEI....

 • Pius Mnanka
  Pius Mnanka 4 months ago +6

  Huawei IPO China nyie mnamhoji mkenya....!

 • Naila Mohd
  Naila Mohd 4 months ago +3

  Zuhra waaangu😘

 • Msety Ntorah
  Msety Ntorah 4 months ago +1

  🎢 🎢 🎢 THIS IS AMERICA 🎢 🎢 🎢

 • Msety Ntorah
  Msety Ntorah 4 months ago +4

  Hahahah Marekani kataa kuwa kaa..
  Kama kuna mtu hataki ufanikiwe kupitia yeye basi ujue huyo ana AMERICAN SPIRIT. /ROHO YA KIMAREKANI.
  πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 • Jamal Mmoja
  Jamal Mmoja 4 months ago

  Jamani huyo nimpuuzi tu! Huna lolote wala hajulikani kwa lolote unatembea nawake zawatu labda

 • Jamal Mmoja
  Jamal Mmoja 4 months ago +11

  Marekani mmekimbia Korea kusini mnatishia Iran
  Ipo cku mtaaibika

  • Pius Mnanka
   Pius Mnanka 3 months ago

   Marekani kawakimbia korea kivipi huku kawanyanganya meli yao,kiduku anambembeleza Trump amrudishie....!

  • Pius Mnanka
   Pius Mnanka 3 months ago

   Trump kawakimbia korea kivipi huku kawanyanganya meli yao,kiduku anabembeleza...!

 • Wahida Wahida
  Wahida Wahida 4 months ago +1

  Tramp na ww kazi ipo

 • SIGFRID SHAYO
  SIGFRID SHAYO 4 months ago +1

  Programu tumishi ndio operating system ama?? hahaaaaa

  • makjuma ali
   makjuma ali 4 months ago

   No
   Programu tumishi ni app
   Operating system mfumo wa kuzifanya app (programu tumishi) zifanye kazi.
   Ni vitu tofauti
   Kwa mfano, whatsapp ni programu tumishi inayoendeshwa na google kama ni operating system

  • Romeo Romeo
   Romeo Romeo 4 months ago

   Ingia google upate jawabu lakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 • Salim Bade
  Salim Bade 4 months ago +2

  Sasa kihuawei changu kitakuwa jau mda si mrefu daaah ngoja niuze

  • Msety Ntorah
   Msety Ntorah 3 months ago

   @Salim Bade zilizopo haztakuwa na shida yoyote, ila hizo zijazo ndo shida, wajiandae kuisahau TheXvid, playstore n.k
   Au watabuni software nyingine.

  • Salim Bade
   Salim Bade 4 months ago +2

   Maboya wapo bro ambao awasikilzi taalifa hbar wala hawana smartphone so ntampata ndezi tu

  • Msety Ntorah
   Msety Ntorah 4 months ago +3

   πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ utamuuzia nan..

 • Jamal Mmoja
  Jamal Mmoja 4 months ago +3

  Wamarekani niwajanja sana jamani na niwezi ki-akili sana,Hawa wameona Uchumi wa China unapaa kila mwaka wakahofia kuachwa nyuma hawana lolote

  • Wahida Wahida
   Wahida Wahida 4 months ago

   Nikweli mwisho wanaanza mambo ya vita

 • mwasapili charlie
  mwasapili charlie 4 months ago +4

  dah pengine wanatekana wao kwa wao,,,huwezi jua

 • haji haroub
  haji haroub 4 months ago +3

  Hakika napenda sana habari za BBC Swahili

 • Mwinyi Johari
  Mwinyi Johari 4 months ago +1

  +971....πŸ€”

 • Konshazi Konshazi
  Konshazi Konshazi 4 months ago +1

  Tunawapata vyema

 • Ally Hamic
  Ally Hamic 4 months ago +3

  Huwawei new O.S sio lazm adroid

 • Sadick Thobias
  Sadick Thobias 4 months ago +27

  Kama unaamini bbc gonga like hapa

 • Emmanuel Samora
  Emmanuel Samora 4 months ago +4

  Hongera xn BBC Swahili nawapata vilivyo

 • Gerard Jacob
  Gerard Jacob 4 months ago +3

  ongera BBC kwa taarifa makini