BBC News Swahili
BBC News Swahili
 • 2 485
 • 21 114 301

Video

Comments

 • Lucy isaac
  Lucy isaac 9 hours ago

  Tunawapata vizuri

 • Mavis Figba
  Mavis Figba 11 hours ago

  Wow love you baby girl

 • Dan Ogega
  Dan Ogega 17 hours ago

  Kila siku mi husubiri sauti ya Chama Omar Matata. dope

 • victoria mumo
  victoria mumo 23 hours ago

  "Ari ya kusoma huwa inajengwa!!" Shafi Adam Naamini bado ari hiyo yaweza kujengwa ila tu mpaka sisi wenyewe tufanye uamuzi!

 • Mo A Omar
  Mo A Omar 23 hours ago

  Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ is for Somalia πŸ‡ΈπŸ‡΄ and Somalia πŸ‡ΈπŸ‡΄ is for Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

 • Henrick Chambilo

  Hatulazi damu

 • Mo A Omar
  Mo A Omar Day ago

  Kuwa na watoto au kukosa kuwa sio shida kwa sababu ni mpango wa Mungu labda mumgu anakuandalia jambo ambalo ni kubwa kuliko hya yote kaka, Mshukuru Mungu kwa hali yoyote. From Somalia πŸ‡ΈπŸ‡΄. BBC news Swahili is my favorite news channel. Love you guys.

 • Shayo Paterini

  Tarifa nzur bbc nawashukuru

 • Ngome tv Arusha

  Mungu Linda nafasi ya urais wa Trump kwasababu mashoga hawampendi.

 • david petro
  david petro Day ago

  hongera taifa star kwa ushindi mwembamba

 • SAM Online TV
  SAM Online TV Day ago

  Asante kwa taarifa za uhakika mbarikiwe sana...

 • Joel Sule
  Joel Sule Day ago

  Mimi nikiwa mshabiki wa mpira wa miguu, nikiwa nashabikia timu! Hapa kwetu Tz na shabikia Yanga, na huko ughaibuni niko Arsenal the gunners. Lkn leo nimeamua kuongeza timu nyingine ambayo ni AS ROMA.

 • Kenyata Togota

  Tanzania je shirika la ndege

 • Hafeedh platnumz

  Kutoka south Africa ongera Taifa stars

 • husein mudy
  husein mudy Day ago

  hongera tz

 • Stephen Kimani

  Hongereni Sana BBC na hongera kwa taifa star mmetutoa kimasomaso

 • michael joseph

  Nimefurahishwa na mgomo wa wafanyakazi wa taifa la ndege African kusini hilo ni funzo kwa taifa

 • Maxwell Rabala

  Hongera Taifa Stars hongera nchi yangu Tz.

 • Eddi Malon
  Eddi Malon Day ago

  Leo wa kwanza from Ireland.

 • Ally maketajr
  Ally maketajr Day ago

  Hongera sana timu yetu taifa stars kwa ushindi

 • Digo Buba
  Digo Buba Day ago

  Wa kwanza leo🀸

 • prosper msanzi

  What is halal

 • Maher zain
  Maher zain Day ago

  Kenya wao kila department ni corruption.hawaezi endelea kwa upmde wwte wao nikupora tu

 • goodluck masige

  God be with Zimbabwe.

 • Florian Temba
  Florian Temba 2 days ago

  Enyi wa kongo acheni vita

 • kwediboma ni kwetu tv

  MUNGU HASHINDWI NGAMIA NIKIUMBE CHENYE SIFA NYINGI SANA

 • kwediboma ni kwetu tv

  BBC NAWAPENDA SANA SAM KINONDO KUTOKA

 • kwediboma ni kwetu tv

  NAMIMI KWASASA NTAFUGA NGAMI

 • John Simoni
  John Simoni 2 days ago

  Mbona malekani hakuna magonjwa meengi kama huku Afrika au wao ndiooo

 • Salim Kadenge
  Salim Kadenge 2 days ago

  Mashaallah pamoja Sana brother Salim

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz 2 days ago

  nakuombea ushindi nasoro upeperushe taifa letu.

 • Mpenda Mabadiliko
  Mpenda Mabadiliko 2 days ago

  Japo furaha yangu ni kuwa u salama, tusidanganyane kaka, KIKULACHO KI NGUONI MWAKO! Msumbiji waje kutafuta nini TZ? Hebu tutumie akili bwana! Mipaka hailindwi! Pia kuna kimtindo sikuelewi -- hujafunguka vya kutosha.

 • Feba Mohammed
  Feba Mohammed 2 days ago

  Baada miez kadhaa utskia mlipuko mpya wa ebola n wote n hao waliopewa chanjo...tumeshajuwa adui yetu kwhyo hawattubabaisha tena

 • famitoissa nawanda
  famitoissa nawanda 2 days ago

  Huyo mzee hajagundua Ebola yeye ndo alitumwa kuileta Ebola Africa kuipandikiza nakutoa majibu washenzi sana kagundua wapi?!!!

 • Tahira Abdul
  Tahira Abdul 2 days ago

  Matokeo ya Kenya na misri Kule Cairo saf sana

 • Mamboleo Malebule
  Mamboleo Malebule 2 days ago

  Afrika lazima tuungane bila hivyo tuta pupuchika.

 • Donald Mwahalende
  Donald Mwahalende 2 days ago

  Una sauti nzur Sana salimu ya utangazaji

 • Almost Goro
  Almost Goro 2 days ago

  Thanks BBC swahili

 • Fatma Muhmmed-Yusuf

  Yote kazi ya Wakoloni Mamboleo. Yote Kwaajili ya VIKWAZO sanctions Zimbabwe.

 • Shayo Paterini
  Shayo Paterini 2 days ago

  Jaman mnasubir nn bado ya dawa ya ukimwi au chanjo yake bhana fanyen haraka

 • david petro
  david petro 2 days ago

  mungu awasaidie jirani zetu wakongomani na awapatie mwisho mzuri kuhusiana na chanjo ya ebola msijali sana kwani duniani tunapita tu kama ni kweli wazungu ndo wamewaletea ugonjwa huo ata wao hawataishi miaka yote kila nafsi itaonja umauti.

 • Mascherano zuber
  Mascherano zuber 2 days ago

  Asante sanaa πŸ‡²πŸ‡ΏπŸ‡²πŸ‡ΏπŸ‡²πŸ‡Ώ tunawashukuru

 • Edie M.Y
  Edie M.Y 2 days ago

  Mmeleta chanjo ya EBOLA Asante. Sasa mwaleta ugonjwa gani baadaye?

 • emily clemence
  emily clemence 2 days ago

  Always mzungu ni adui kwa Africa wanatutengenezea magonjwa na tiba watu hawalali kwenye maabara zao kugundua ugonjwa mpya na tiba kwa Africa ila ipo siku tu yatawageukia Mungu yupo

 • Mpango Mzima
  Mpango Mzima 2 days ago

  BBC swahili mko vema kabisa ukweri wa mambo soka bara africa bado lina mashaka sababu kubwa ni viongozi na si soka tu makisimamu ni michezo yote

 • Mascherano zuber
  Mascherano zuber 2 days ago

  Africa yetu hii jamani tuziache tu..πŸ‡²πŸ‡ΏπŸ‡²πŸ‡ΏπŸ‡²πŸ‡Ώ sisi tunao rais nyusi ana ubaguzi wa makabila

 • Isayah Paul
  Isayah Paul 2 days ago

  Lakini hii ebola bhana mbona kama yakuandaa hivi

  • Isayah Paul
   Isayah Paul Day ago

   BBC News Swahili naamini kuna kipindi kinaitwa bbc eyes kama sikosei huwa kina vumbua mambo mbali mbali ebu fanyeni uchunguzi wa hili maana toka hii Ebola hapa imekuja na imeuwa watu hasa Congo na maeneo mengine kisha kampuni furani imepata chango na baada ya muda huu ugonjwa utapotea na chango yake itapotea na baada ya miaka kadhaa tena utarudi maana umeandaliwa mahali na unajua magonjwa mengi chango zake uwa zinachukua muda sana kupatikana ila huu duuuh muda kidgo tu tayari. Pia swali langu ni kwamba serikali inanunua hizi chango au zinatolewa bure kwenye serikali zetu.

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili Day ago

   Mmmh

 • Emmanuel Mayombo
  Emmanuel Mayombo 2 days ago

  Sipendendi neno chanjo na neno mfume dume

 • Isayah Paul
  Isayah Paul 2 days ago

  Mr Twitter

 • johnson wilison
  johnson wilison 2 days ago

  jamani BBC naipenda naomba hata like

 • Zesoo Tv
  Zesoo Tv 2 days ago

  Kati ya shetani na muzungu nani mubaya kwaajili yakulinda maasilai zao za kibepari wameakikisha wananchi wa Zimbabwe wafe kwa njaa na magonjwa kwakuwawekea vikwazo vya kiuchumi..

 • Dangala Fransis
  Dangala Fransis 2 days ago

  Bora chanjo inapatikana ili kuokoa maisha ya watu na baadae tuleteeni chanjo ya kuzuia maambukiz ya vvu

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili Day ago

   @john kasawa Asante sana John

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili Day ago

   Ni wazo zuri sana rafiki

  • john kasawa
   john kasawa 2 days ago

   Big up sana kikeke

  • official Mbeya one
   official Mbeya one 2 days ago

   Ndugu yangu wazungu niwa shenzi sana magonjwa yoote ayo wametengeneza wao nadawa wanazo nayoote hayo nikwajili ya mtumweusi kikubwa tunatakiwa kulipa kisasi na tukae tukijua mzungu ni adui yetu

 • Frank Timoth Kisimbo

  Nisipowaangalia bbcswahili kwa siku sipo sawa kbs.... Nikikosa star tv.... Naitafuta you tube mna Habar za uhakika

 • Zesoo Tv
  Zesoo Tv 2 days ago

  Wazungu wanatengeneza magonjwa mbalimbali kwa madhumuni ya kupiga ela barani afrika

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili Day ago

   Mmh

  • Zesoo Tv
   Zesoo Tv 2 days ago

   Waafrika lazima tuwewaelewa hapa duniani kwamba kile kiumbe Chenye nguvu ndyo kinaishi

  • official Mbeya one
   official Mbeya one 2 days ago

   Mzungu ni adui yetu Africa

  • Jerry Wilhelm
   Jerry Wilhelm 2 days ago

   Kweliiiiii.... Sasa wamegundua kinga baada ya miala 40. Kumbe wanajua walivyoitengeneza

 • Mwemez Innosent Rwamafa

  Nawakubali sana BBC

 • Anselmo Constancio Dalepa

  Hatar zana ebola

 • Mursal Seleman
  Mursal Seleman 2 days ago

  Deni la taifa wakt mwingine ni uongozi usio makini ktk utendaji mfano hapa tz miradi mingi inayo endlea tunaifanya kwa pesa zet wenyew mi nadhani mikopo isipo kuwepo bado mmb yatasonga tu na umakini wa kukusanya kodi utaongezeka la mno mikopo so suluhisho la kuleta maendleo kwa nchi husika bali umakini wa viongozi ktk kuleta maendleo na kua wabunifu ktk kuongeza pato la taifa na kuvumbua vyanzo vipya vya mapato gonga like kma unakubaliana nami

 • Joseph Lyasenga
  Joseph Lyasenga 2 days ago

  Good news

 • husein mudy
  husein mudy 2 days ago

  duh b!olivia wanalia upinzani umewadangajya

 • Pan Africanist Tanzanian

  Morales, hakupendwa na Marekani ndiyo maana akaitwa dikteta.

 • Pan Africanist Tanzanian

  Morales, hakupendwa na Marekani ndiyo maana akaitwa dikteta.

 • Pan Africanist Tanzanian

  Hatari za Ukame, moto mkubwa unaoteketeza maeneo makubwa na kuacha watu katika umaskini mkubwa, haya nayo ni utungu, dalili za kuja kwa Kristo YESU Mara ya pili.

 • Juton Mbilinyi
  Juton Mbilinyi 2 days ago

  Africa na ss tufikie level za juu ukizingua unaachia madaraka kilazma

 • Trophaina Magogwa
  Trophaina Magogwa 3 days ago

  Africa Wabadirike ili watoto wetu wafikie ndoto zao

 • Salym Salym
  Salym Salym 3 days ago

  Salym kikeke√√√√

 • SAM Online TV
  SAM Online TV 3 days ago

  Umechapia dia walioozoroshwa ahahahaha

  • SAM Online TV
   SAM Online TV 2 days ago

   @BBC News Swahili hahaha hapana sijawasahihisha napenda sana habari zenu na wafatilia sana,,alipata tabu tu katika kutamka neno waliozoloteshwa lakini alitamka tu vizur mwenyewe BMW,,Mungu awajalie mazuri leo na kesho ndugu zangu,,sema mpeni salam zangu Zawadi Machibya nikifika London nitaomba nokutane nae nampenda sana..

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili 2 days ago

   Asante kwa kutusahisha Sam

 • Costantin Charles
  Costantin Charles 3 days ago

  Morales hongera kwakuwaachia nchi yao kwan walkuona hufai wakaandaman Leo wamekukumbuka hakka bnadamu hawama mema kabsa tulia huko Mexico ule bata mpaka kuku wakuonee gele.

 • Thomas Mwaruka
  Thomas Mwaruka 3 days ago

  Kwangu Mimi ninaona kuwa baada ya Marais wa Tanzania kustaafu ndipo upofu au matongo tongo hutoka machoni pao wakiwa Uraiani ndipo huanza kuandika vitabu vyao vya Malalamiko fulani fulani juu ya Katiba ya Nchi yetu, Uongozi wao wenyewe na juu ya Uongozi uliopo sasa na kujaribu kwa Umbali kujutia na Kuomba kuhurumiwa kwa Makosa yao pindi walipokuwa Madarakani. Kwa Mfano, Mkapa anasikitikia Kuuwawa kwa Watanzania (wa Upande wa Zanzibar) 22 lakini haelezi Viongozi Waliowajibishwa kwa jambo hilo kubwa kiasi hicho..! Aibu kubwa sana kwa Nchi ya Mwalimu Julius K. Nyerere wauwaji kuja hadharani kupongezwa na kada ya Viongozi wataowaiga kesho kwa kuwa hawatawajibishwa nao kama Mkapa asivyowajibishwa..!

 • Naila Mohd
  Naila Mohd 3 days ago

  Nice habari

 • Donald Mwahalende
  Donald Mwahalende 3 days ago

  Sipika kutofautiana na rais kawaida nchi zilizoendelea Lkn nchi za Africa haiwezekani spika lzm amukumbatie rais

 • WAZAINA tv
  WAZAINA tv 3 days ago

  Hao makafiri Wa kiyahudi walaniwe

 • aristid richard mrema

  Daaa yaani Africa tukifikia level hizi za democracy itakuwa fresh balaa

 • Binadamu Hachekwi
  Binadamu Hachekwi 3 days ago

  Assalamualaikum BBC nawapata vyema shukran kwa habari za dunia nzima

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili 2 days ago

   Wa-Alaikum-Salaam rafiki, Asante sana na karibu tena

 • Salim Mohamed
  Salim Mohamed 3 days ago

  Ndivyo somo

 • Mwita Sabai
  Mwita Sabai 3 days ago

  Nchi za wenzet fuul democracy, no one above the law

 • Saw Baa
  Saw Baa 3 days ago

  Hogera rais mstafu

 • Amani Pascal
  Amani Pascal 3 days ago

  Dawa IPO anayehitaj tujuwane

 • hussein samo
  hussein samo 3 days ago

  BBC habari poa

 • Mr. Hanjumad
  Mr. Hanjumad 3 days ago

  Me naona hawaogopi kupima bali wanaogopa majibu watakayoyapata Baada ya kupima. Ndo mana hata ukienda kupima hospital, Wakat mgumu ni pale unaposubiri majibu. Tumbo huwa halitulii, unahisi kujisaidia tu.

 • Hammer Q
  Hammer Q 3 days ago

  inakera sana

 • Ali Khamis
  Ali Khamis 3 days ago

  Dayo yussuf naona umemaliza mapumziko ya chan amerudi tena

 • Charles Ngofilo
  Charles Ngofilo 3 days ago

  Hivyo vitabu waadike kwa manufaa ya watanzania na vinginevyo na waki zingatia hilo lazima wazingatie lugha ya watanzania walio wengi tunaelew kiswahily bila hivyo bado watakao soma kitabu ni wachache sana

 • Gody Rasta
  Gody Rasta 3 days ago

  Vijana wanaogopa kujipima

 • Emygidius George
  Emygidius George 3 days ago

  ukifanya kitu kile unapenda inaweza kuleta faida zaidi kuliko kufanya kitu kwa ajili ya maslahi tu, angalia kitu unachopenda ufanye icho hata kama ni kidogo kitakusaidi. lakini kama unafanya kitu ambacho ulikuwa hukipendi ila ulifanya kwa masalahi basi, badilisha mtazamo na anza kukipenda punguza kuangalia mapato angali kazi na kuipenda, still you can make it

 • Emygidius George
  Emygidius George 3 days ago

  kujipima mwenyewe inaweza kuwa na changamoto kubwa zaidi, kwasababu ushauri unahitajika mtu kujua namna ya kuishi hata kama atajikuta hana maambukizi lakini hata akijikuta ameambukizwa basi itakuwa kawaida kiasi kwake japo si sana maana atakuwa kisaikolojia ameandaliwa kupokea majibu. lakini akipima mwenyewe inaweza kuwa na madhara zaidi, fikiria mtu ambae hakutegemea kukutwa na gonjwa hilo na akajipima kwa lengo tu la kuthibitisha maana anajijua yuko poa na ghafla anajikuta yuko positive , reaction nyingine zinaweza kuwa tofauti zaidi hasa pale ikimkuta mtu amabe kisaikolojia hayuko strong. but yote mema mtu achague mwenyewe kujipima au kwenda kupimwa na kuandaliwa. Shukran BBC

 • Juton Mbilinyi
  Juton Mbilinyi 3 days ago

  Mm mwenye ness amewahi niambia nivue surualy Mara nikapigwa kibao kwenye kalio et Mara ya mwisho umeoga lin

  • Jisam Joseph
   Jisam Joseph 2 days ago

   πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unfair

 • Swaleh Mwamazola
  Swaleh Mwamazola 3 days ago

  Wauguzi wako na ujuzi lakini awajali wao wanaangalia kumaliza cku yake na kuisabu taree ya mshaara

 • James Makori
  James Makori 3 days ago

  Wanawake wajawazito kwanza jamani Mungu awalinde na mabaya yotr

 • emmanuel kasalali
  emmanuel kasalali 3 days ago

  Uamuzi wa kizalendo kabisa kwa Rais mstaafu Mkapa kueleza kizazi kinachofuata maana halisi ya uongozi

 • Wahida Shabaz
  Wahida Shabaz 4 days ago

  tunapata shida sana wakina mama wakati wa kujifungua wauguzi wanazarau.

 • Aruna Mwaholi
  Aruna Mwaholi 4 days ago

  Hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha gani mbona hamtuambii km ni kingereza hicho hakiwahusu watanzania maana hapa ni kiswahili wewe unandika lugha ambayo wachache wanatumia hapa unaficha nini ndani yake

 • Mbarouk Mohammed
  Mbarouk Mohammed 4 days ago

  Kwa kweli b b c mnailimisha kwa kutujuza mengi

 • Justne Bugyem
  Justne Bugyem 4 days ago

  Mkapa alifanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kama alivyoahidi katika kampeni zake.Mungu azidi kumbariki.Sasa?Mbona hamkutuambia kakitoa kwa lugha gani nyie BBC? Watanzania wanaongea Kiswahili Humphrey.

 • Hassan. Khamis
  Hassan. Khamis 4 days ago

  Umenikumbusha mauwaji pemba

 • Nassor Suleiman
  Nassor Suleiman 4 days ago

  hongereni bbc

 • Gitteyulemcute mcute

  Missed you dayo

 • Zuley Vendor
  Zuley Vendor 4 days ago

  Asanteni sana BBC Swahili kwa habari za ukweli na za uhakika me uwa nawaelewa sana.... Ila kwasasa maisha yalivyo magumu siwez kutoa pesa yangu nikanunue kitabu cha mtu anajisifia mwenywe sorry for that babaangu MkapaπŸ™... Katiba mpya ndio mpango....

 • david petro
  david petro 4 days ago

  VAR inaharibu passion ya soka na morali kabisa kwani zamani enzi za masta kama de lima,kaka,figo,zidane na wengine wengi mpira ulkuwa na raha yake na wachezaji walikuwa na passion .inabidi waangalie sana wapishi wengi uharibu mchuzi .technolojia ikizidi sana itapoteza maana ya soka

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili 3 days ago

   Asante David kwa maoni yako

  • Julius Akilimali
   Julius Akilimali 4 days ago

   Kwa mtu mwenye akili timamu kitabu cha Ndugu raisi mstaafu Benjamin ni kisomo kuanzia chekechea mpaka phd!!

 • Lumu Liy
  Lumu Liy 4 days ago

  "Nakuomba kk yangu salim ukipata likizo njoo visiwani Zanzibar utoa nafasi ya kuzihirisha kipaji cha uwanahabari kwa vijana wa 15-25

 • hassan mahmud mohamed

  Watanzania tunataka katiba mpya sio kujitungia vitabu na kujisifia,hazitusaidii kitu.Katiba mpya ndio ufumbuzi wetu na vizazi vyetu vijavyo

  • paul daniel
   paul daniel 2 days ago

   oto tek well said akawaulize Kenya wenye katiba mpya ila mambo bado ovyo. Na sasa wanataka kufanya marekebisho tena katika katiba yao

  • hassan mahmud mohamed
   hassan mahmud mohamed 3 days ago

   @Thomas Mwaruka Kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo inaondoa Kinga kwa viongozi wakuu.Ndiyo maana mkapa kaamua aombe radhi anajua katiba mpya ikipitishwa anaweza kushtakiwa makosa aliyoyafanya wakati alipokuwa madarakani.Ndio maana Rais magufuli anawaonea huruma viongozi wastaafu kwa kutoipitisha mchakato wa katiba mpya. Inaweza kuwafunga hao marais wastaafu kwa sababu watakuwa hawana Kinga ya kutoshtakiwa

  • Thomas Mwaruka
   Thomas Mwaruka 3 days ago

   Kwangu Mimi ninaona kuwa baada ya Marais wa Tanzania kustaafu ndipo upofu au matongo tongo hutoka machoni pao wakiwa Uraiani ndipo huanza kuandika vitabu vyao vya Malalamiko fulani fulani juu ya Katiba ya Nchi yetu, Uongozi wao wenyewe na juu ya Uongozi uliopo sasa na kujaribu kwa Umbali kujutia na Kuomba kuhurumiwa kwa Makosa yao pindi walipokuwa Madarakani. Kwa Mfano, Mkapa anasikitikia Kuuwawa kwa Watanzania (wa Upande wa Zanzibar) 22 lakini haelezi Viongozi Waliowajibishwa kwa jambo hilo kubwa kiasi hicho..! Aibu kubwa sana kwa Nchi ya Mwalimu Julius K. Nyerere wauwaji kuja hadharani kupongezwa na kada ya Viongozi wataowaiga kesho kwa kuwa hawatawajibishwa nao kama Mkapa asivyowajibishwa..!

  • BBC News Swahili
   BBC News Swahili 3 days ago

   Mmh asante Hassan kwa maoni yako